KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 21 June 2013

BY FLORA LYIMO~ KILICHONITOA LONDON KUHUDHURIA PRIVATE SHOW YA WENYE BIASHARA ZA MATAWI YA JUU NDICHO HICHI '

 African Print Cloth design by Flora Lyimo zikiwa kwenye Private maonyesho kwa wenye Biashara za Matawi ya Juu' Hapa Flora Lyimo na Wafanyabiashara ambao walikuwa waalikwa waliweza kufika na kuongea nao na maswali jamani yalikuwa ya kuchemsha ubongo hatari 'But niliweza kujifunza Mengi sana na nategemea kufika mbali hadi kutaka kuwafikia Mabosi hawa walioanza biashara zao kimzaha mzaha weni wao wakiwa wameanza na Nguo za Wazazi wao ambazo hawakuwa wanazivaa tena basi yeye akawa anazipeleka kwenye masoko market za vijijini kila Jumamosi'Mbuta Nanga' was so Proud of yeye kabisaa"
 Chaguo ni lako" Karibu sana kwa jumla au Reja Reja"


 African Print Handbags design by:Flora Lyimo' on Sale now"
 Flora Lyimo African Print Cloth and Handbags za next Month zitakuwa na muonekano wa Vitenge hivi na Vinine vingi kutoka hapa hapa Mji Mkuu Uingereza London ""

Hapa ni kwa nyuma ya nguo hizi"
 Hapa ni kwa Mbele ya Nguo hizi"
Hapa ni Flora Lyimo CEO akionyesha Vitu alivyo design mwenyewe na anavyoendelea kuwapeperushieni popote pale mlipo kwani hiyo ndiyo Ndoto yake" Don't miss next Album's zitakuwa niza kila kitu kilichofanyika kwenye Maonyesho ya Flora Lyimo Designer " Also don't forget to FOLLOw THIS BLOG!

6 comments:

  1. this is the best of you miss FB 'keep up the good work 'I LOVE flora lyimo african print '

    ReplyDelete
  2. CONGRAT'FLORA LYIMO designer...give us the price please!!

    ReplyDelete
  3. follow this blog for sure 'flora lyimo this is waooooooooooooooo........i love kila kitu on point...yani yule wa mtaaa wa kule sijui anasunyaje...hahahha!!

    ReplyDelete
  4. hii ndiyo kazi 'sasa siunaona flora lyimo unavyojua kufanya mambo mazuri , wachana na wale walala hoi wa sinza 'yani wewe ni mfano MZURI SANA kwa watoto wetu wa kesho na Mungu azidi kukubariki na kazi za mikono yako.

    ReplyDelete
  5. FAB'' vitu vyako vizuri sana flora nimevipenda ,naweza kununua wapi hayo mabeg yako ya african print..

    ReplyDelete
  6. FLORA HONGERA KWAKUAMUA KUWA DIZAINA NA WEWE,ILA NAOMBA NIKUPE USHAURI KAMA WEWE UNAVYOWAPAGA WENGINE NGUO ZAKO USIZISHONE KIMAMA MAMA SAANA,ANGALIA AFRICAN PRINT ZAKISASA ,PIA UNAVYOSHONA PANT HIYOO MBONA CHINI NINYEMBAMBA SAANA NAKAMA WEWE UNAMIGUU MIEMBAMBA SAANA SO INAKUCHONGA SAANA UNAONEKANA MKUBWA JUU CHINI MDGO JARIBU KUDIZAIN PANT VIZURI ZAIDI.UTAPATA SOKO SAANA HATA MIMI NTAKUNGISHA PIA,ILA ZIWEZAKISASA ZAIDI SIO ZAMAMA WAZEEE.WEKAKISASA ZAIDI PLZ.NIHAYOO TU

    ReplyDelete