Chaguo ni lako" Karibu sana kwa jumla au Reja Reja"
African Print Handbags design by:Flora Lyimo' on Sale now"
Flora Lyimo African Print Cloth and Handbags za next Month zitakuwa na muonekano wa Vitenge hivi na Vinine vingi kutoka hapa hapa Mji Mkuu Uingereza London ""
Hapa ni kwa nyuma ya nguo hizi" |
Hapa ni Flora Lyimo CEO akionyesha Vitu alivyo design mwenyewe na anavyoendelea kuwapeperushieni popote pale mlipo kwani hiyo ndiyo Ndoto yake" Don't miss next Album's zitakuwa niza kila kitu kilichofanyika kwenye Maonyesho ya Flora Lyimo Designer " Also don't forget to FOLLOw THIS BLOG!
this is the best of you miss FB 'keep up the good work 'I LOVE flora lyimo african print '
ReplyDeleteCONGRAT'FLORA LYIMO designer...give us the price please!!
ReplyDeletefollow this blog for sure 'flora lyimo this is waooooooooooooooo........i love kila kitu on point...yani yule wa mtaaa wa kule sijui anasunyaje...hahahha!!
ReplyDeletehii ndiyo kazi 'sasa siunaona flora lyimo unavyojua kufanya mambo mazuri , wachana na wale walala hoi wa sinza 'yani wewe ni mfano MZURI SANA kwa watoto wetu wa kesho na Mungu azidi kukubariki na kazi za mikono yako.
ReplyDeleteFAB'' vitu vyako vizuri sana flora nimevipenda ,naweza kununua wapi hayo mabeg yako ya african print..
ReplyDeleteFLORA HONGERA KWAKUAMUA KUWA DIZAINA NA WEWE,ILA NAOMBA NIKUPE USHAURI KAMA WEWE UNAVYOWAPAGA WENGINE NGUO ZAKO USIZISHONE KIMAMA MAMA SAANA,ANGALIA AFRICAN PRINT ZAKISASA ,PIA UNAVYOSHONA PANT HIYOO MBONA CHINI NINYEMBAMBA SAANA NAKAMA WEWE UNAMIGUU MIEMBAMBA SAANA SO INAKUCHONGA SAANA UNAONEKANA MKUBWA JUU CHINI MDGO JARIBU KUDIZAIN PANT VIZURI ZAIDI.UTAPATA SOKO SAANA HATA MIMI NTAKUNGISHA PIA,ILA ZIWEZAKISASA ZAIDI SIO ZAMAMA WAZEEE.WEKAKISASA ZAIDI PLZ.NIHAYOO TU
ReplyDelete