TODAY I'M LOVING: MISS FB OF FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG. - *IF YOU LIKE HER DESINGS MTEMBELEE KWENYE BLOG YAKE... * *INGIA **www.missfbknitwearlyimo.blogspot.com*
Flora Lyimo CEO Mwenyewe na simama hapa Imara nikijivunia my Girl hapa jamani she is a Dada and Mtanzania wa Ukweli ambae hata Ndege angani wanaruka wakiliimba jina lake'' she is so Supportive and the kind of a person you will die to do anything for"And you know wapo wengi ambao wanajijua wapo kama huyu Dada yangu yani nikipata tabu wao wako wakwanza kunijulia hali ,nikitukanwa wao ndo wanalia'BLESS THEM" I so Proud to have nyie kama Watu wangu wa ukweli' Thank you so much my Blogger ''Star''Mwenza let's hope Urafiki na Ushirikiano wetu huu utaishi nasi Milele Amen' Ruwa Mangi'
No comments:
Post a Comment