I dont like uncomfortable cloth 'so hii skirt nimeamua kuikata nyuma iwe na mpasuo ili hata ukiingia kwenye basi unaingia bila kuinyanyua juu au ukastukia imepasuka paa'mbuta nanga"
Flora Lyimo African Print Straight skirt kwa kuendana na Maumbile yote size yako ipo. 'Just let's me tell you kidogo about Straight Skirt 'Maana sikuenda kusomea mavaazi bure nilisomea na kuelewa hasa ni nini cha kuvalia wapi na kinatakiwa kiwe vipi 'Sraight Skirts are vertical and add height and slimness to the body'so ukae ukijua ndiyo maana Flora Lyimo anawaleteeni vitu vyakuweza kuwapandisheni kwa maumbile yenu na siyo kuwashusheni' kwani kila mmoja wetu tumeumbwa na maumbile tofauti kwenye miili yetu" na jinsi inavyo onekana kwangu siyo vile itakavyo onekana kwa wote'
Yaaaaaa Aika Ruwa Mangi Kyiflora kyako Lyimo kuorye cha Ruwa Pfo''hahaha ''Kyindokyako Mbee!!
Yani hapa sitaki kumlaum mpiga picha hizi kwani ilikuwa ni shughuli ya fasta fasta unaambiwa leo na kesho unaanza kujiandaa na safari na muda wa kumtafuta mpiga picha wakishua huna kabisa na safari yenyewe siyo ya mwendo wa kinyonga aisee''but nilifurahia sana siku hii 'hawa wafanyabiashara walioanzia chini tena chini kabisa sasa wapo juu tena juu kabisa aisee lazima na mimi nitafika kwani naanza kukimbizana nao' Ruwa Mangi"
Nyieeeeeeeeeee''Flora Lyimo naja nipo nyuma yenu angalieni msiharibu sana matawi hayo mlofikia kwa sasa hivi 'tuachieni nasi wachini tena wavijijini tunakujaje kwa kasi 'Miji tunaipakata inatulia na kushika adabu ukipita wanakurushia mapesa na siyo mashikamoo ya makelele'mbuta nanga"
Flora Lyimo Designer ' nikiendelea nikiwayeyushieni mambo nilosomea at London College of Fashion 'yani I wish Mchagga sikuacha nikaanza kutafuta mapesa' but niliweza kujifunza mengi sana kwa mwaka mmoja na miezi mitano nilokuwa nao'' na nilichoambulia ambacho hadi sasa hivi kinanisaidia sana ni my Personal Style Solutions Books and vimebeba mambo yangu yote niliyojifunza na niliyofuzwa and now I'm back there ndo maana mnaona mara nyingi siwarushieni mambo mengi sana hapa Bloguni kwangu hasa kutoka kule Nyumbani maana kutafutana na habari za kule nyumbani zenye Ukweli siyo kitu cha kutumia madakika ni kitu chakutumia masaa na hata siku nzima' But nitajitahidi maana napenda sana Blog yangu na hasa to do my own reporting na pia kizungu zungu I LOVE BLOGGING!!
more photos of Flora Lyimo Design African Prints Cloth and Handbags to come 'If you like anything you can call or WhatsApp +44 (0) 7787471024 Karibuni /Welcome'Also don't forget to FOLLOW THIS BLOG!!
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment