KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 24 June 2013

THIS IS FOR MANGE KIMAMBI ,MISSY TEMEKE NA FLORA LYIMO TOP STARS WANAOPANDA NGAZI ZA MAENDELEO KWA KASI KINOMAA ''THE TOPIC ''UGOMVI WA BIASHARA NA WANAUME'IS A BREAKING NEWS THIS TIME FOR MASTAR WAKUBWA WA TENNIS SERENA WILLIAM & MARIA SHAROPOVA'MBUTA NANGA!!

Missy Temeke of Kwetu Fashion Designs na Mtanzania anayeishi Majuu'akiwa kikazi zaidi MAJUU' mwezi huu" Usitake kumchokonoa hasa Kwenye Biashara zake' She is Mtanzania Halisi Muke ya African King na Mama ambae Anapenda maendeleo hasa kwa Nchi yake Tanzania''
Flora Lyimo of Flora Lyimo Fashion Designs CEO,Fashion Police Blog,Trader  na Mtanzania anayeishi Majuu'akiwa kikazi zaidi MAJUU' mwezi huu" Usitake kumchokonoa hasa Kwenye Biashara zake' She is Mtanzania Halisi na not Mke wa African King ''yet'' also pia not Mama 'yet' Pia anapenda maendeleo hasa kwa Nchi yake Tanzania''
Mange Kimambi Fashion Designs and CEO of Bongolious also a Blogger na Mtanzania anayeishi Majuu'akiwa kikazi zaidi MAJUU' mwezi huu" Usitake kumchokonoa hasa Kwenye Biashara zake' She is Mtanzania Halisi Muke ya Mzungu na Mama ambae Anapenda maendeleo hasa kwa Nchi yake Tanzania''
Maria Sharapova and Serena Williams, pictured at the pre-Wimbledon partyMaria Sharapova and Serena Williams, pictured at the pre-Wimbledon party, have a competitive relationship both on and off the court
Maria Sharapova and Serena Williams, pictured at the pre-Wimbledon party, have a competitive relationship both on and off the court"  Yani hapa unajua kwamba Mwenzio anatoka na Mpenzi wako wa zamani na isitoshe anakutukana'mtabomoanaje na mitennis ball sasa" mbuta nanga!

‘She begins every interview with, “I’m so happy. I’m so lucky.” It’s so boring. She’s still not going to be invited to the cool parties. And hey, if she wants to be with the guy with a black heart [Dimitrov], go for it.’
Yesterday the Russian-born, World No 3 ace, hit back, saying: ‘If Serena wants to talk about something personal, she should talk about her relationship and her boyfriend who was married, who is getting a divorce and who has kids – and not draw attention to other things.’
Miss Sharapova and Miss Williams, 31, have had a notoriously competitive relationship on the court, fuelled by the fact Miss Sharapova hasn’t beaten her rival in nine years.

TUMESHIRIKI KUTOKA DM'' AND HERE IS WHAT FLORA LYIMO SAY''
Sikujua hata matawi ya kule yanakuwaga na ugomvi wa wanaume na vile vile wakimavaazi ,yani utadhani ni Wabongo vile 'na kinachanishangaza ni kwamba watapigana kwa mipira ya tenesi pamoja very soon 'uwiii yani I just cant wait kwa kweli maana 'Serena anahasira za kutukanwa na mtu ambae anatoka na Mpenzi wake wa zamani na isitoshe kumuambia ashughulikie mwanamme wa Mtu alie nae ambae hivi sasa  anampa Mkewe talaka kwa ajili yake na siyo Tennis (tenesi) Mbuta Nanga"
Serena nae kamjibu kwamba ,huyo Mwanaume anadam ya weusi kwahiyo kaa ukijua pia nishamuachia mauchafu yangu yote wewe sasa kaa ukijua umekuwa kopo la taka anakuingizia maushafu yangu yote nilomtupa nayo 'na kingine ni kwamba hujui kuvaa kitenesi mimi naishi ,napumua na kuvaa kitenesi (tennis) nafikiri ni wakati wako wakuachana na mchezo wa Tennis sasa" Seriously give it a rest'  hahhaa ''uwii habari ndo hiyo sasa msione Kina Mange Kimambi,Missy Temeke na Flora Lyimo tukiwashukia wale mahaters mkadhani hatujui ni kwanini au tunawaonea'' hata hawa nao wa matawi yale mengine wanayo na wanashukiana kibreaking news haswaa  na tena watakutana uwanjani kikazi na Dunia ikiwaangalia' nikama Mange ,Flora na Missy Temeke tuingie Uwanjani na wale Mahater's wetu 'uwiii 'Mimi ningependa niingie Uwanjani na kubwa jinga a.k.a. Le mutz''  This time''hahhaaa uwii ningemlishaje mipira ya Tumbo''Mbuta Nanga'  Alafu Umlete Yule Racheal T' Mwizi wa Marekani na Muuza M*undu Bongo aliekosa soko''kudadadeki walahi 'sasa inatakiwa ukiwa na Hater wako ukutane nao uwanjani ''aisee ingekuwa powa sana maana Matusi ya kwenye Facebook Blogs na  mitandaao yote pamoja na vyombo vya habari haviwafai kabisa yani dawa nikukutana uwanjani na miballs yakutosha muwekewe''
Anyway hii ndiyo taarifa ya habari iliyopo Mjini London a.k.a Wimbledon ' I WISH YOU ALL THE BEST MY GIRL SERENA' Na huyu Mwanamme wako a.k.a. Mme wa Mtu  hujamlazimishia Penzi kwani yeye mwenyewe anajijua alikuwa ana Mke au La''Na washangaa sana Wanaume wanaowaacha Wake zao kwa Ajili ya Tamaa 'Mungu aniepushie kukutana na miwanaume hiyo 'kwani kila kukikucha ni lazima utakuwa wa Pembeni wa kurushiwa mauchafu ya huko alikoanzia' kwa ukweli nilishafika hapo kwa kudanganywa na sasa nimejifunzaje sana, Mme wa mtu akija kwangu sasa na aje na Barua ya kutoka kwa Mkewe na pia kama Mkewe huyu yupo hai na wapo kwenye mawasiliano ningependa nisikie kutoka kwake mwenyewe'kwani moja kwa moja Dunia haina Wanaume wakutosha ,Wanawake tupo wengi na sasa basi nilazima utakuta Wanaume 6 kati ya kumi wameshaowa au wana Watoto tiyari' na wale wanne walobakia ambao hawajaowa na wala hawana watoto kuwapata ni BAHATI sana' na vile vile jua siku Moja utajajikuta hunae Mme huyo peke yako' hivyo ndivyo Dunia inavyokwenda kwa sasa hivi'' so cha kuzingatia ni unapompata wewe fanya nae yale yote yanayohusu kulitunza penzi lenu na ikiwa mtaowana pia Pendaneni kiukweli na kulitunza na kuheshim Ndoa zenu basi na Mungu atazibariki ziweze kuishi kwa Muda mrefu 'Hasa zingatieni kutokunyimana pale mnapotaka au mmoja wenu anapotaka kufanya mapenzi 'unapomnyima ndipo anaishia na mfanyakazi au na Warembo waliopo pembeni wakimsubiri alonyimwa au anaetafuta ,hata vile vile siyo ajabu akaishia kwa machangudoa kila baada ya kutoka Job'ni hayo tu kwa sasa kutoka kwangu Pia sasa unaweza kusema yako 'unaruhusiwaa'' FLFP"

10 comments:

 1. Hhhahaa kiruu,kweli flora lyimo leo ndiyo nimekujua unaakili ,thanks for the topic of wake za wazungu na afican king's.mpo juu na siyo majuu tu''..mbuta nanga''

  ReplyDelete
 2. I can't wait for the game to start'' go go Serena Williams!!

  ReplyDelete
 3. I love your topic ''24 June 2013 at 17:53

  Serena was talking about Maria but she was on the phone with her sister Venus and women gossip all the time!! It's just that it was careless of her to talk about it in front of a journalist. And the facT that she has apologised at the pre Wimbledon party is a class act considering that many would give excuse and don't bother apologizing. But Miss Russia decided to take a dig at her and boyfriend at press conference is unnecessary considering she dragged his future ex wife and kids into it. Maria needs to grow up and if she wants to get even do that on court and not off it. But what I'm amazed, if it's true, it's the fact they are fighting over Dimitrov? What a mess!!

  ReplyDelete
 4. UMEPENDEZA FLORA KULIKO WOTE HAPO MAAANA UMECHANGANYA SUKARI ASALI TENDE,VYOTE NGUO POCH VIATU MAPAMBO KICHWANI YOTE JUU ZAIDI SINA KA KUSEMA ZAIDI YA KUSEMA MAJANGA YAMEKUWA MAJANGA

  ReplyDelete
 5. USIBANIE COMMENT

  umetoka maana umemechisha . FLORA unachanganya rangi shost yena zote wakawaka

  ukivaa mauwa poch rangi moja ila najua ulikua unaitangaza nchi yako kwa vitenge labda hata chupi kitenge
  muona mange amevaa rangi moja juu. shoga unajipendekeza kwa hao au unaomba ushogaa ila mko juu wake za watu

  ReplyDelete
 6. Ya leo kali ,,ok flora lyimo fashion police a.k.a Top in town I cant wait for you kumdunda mipira ya tumbo yule mburulas wa mamburulas,and kumbe racael t.ni mwizi na muuza tigo aloshiwa wateja hahhaaa''atupishe sie maana aliingilia sana kesi chako cha kubakwa na Godbless Lema mbunge wa arusha'hivi walikuwa wanadhania utawaogopa eee....kiruuu''

  ReplyDelete
 7. Toka apo mburula of 17.58 mwanzo kuandika unakosea kosea kama mlevi ,pili flora hapo hajavaa kimtoko anaitangaza biashara yake kwa kuonyesha vitu vyote alivyoo design sasa wewe kazi kwako kuvinunua na kuvivaa kimpangilio chako'' tena ukome kabisa hajajiweka yeye na wenzake hapa kwa kushindana' sasa unasema ona Mange kavaa rangi moja juu,si nawewe umuunge mkono Flora kwa kununua Flora Lyimo fashion' hiyo skirt yake alafu ukaivalie kama Mange....mchochozi mburula wewe..waache MAFASHION DESIGNER WETU WA MAJUU WASONGE MBELE NA KIPAJI CHAO'' KEEP UP MANGE,FLORA NA MISSY TEMEKE'' WE LOVE NYIE KABISAA NA WENYE WIVU WAKAJINYONGE'''AU WASAGE CHUPA WAMEZE..Flora USIBANIE HII tena najua upo hewani"

  ReplyDelete
 8. huyo serena nae ni mshamba sana kuvaa pia ni zero hana lakumcheka mweupe ,sasa mme wa mtu nae anatoka nae wa nini na anawatoto pia serena you can still get your own man kati ya hao 4 flora aliyosema ukiwa na bahati utawapata ila jiweke single na out from married man ,hasa akiwa ana watoto tiyari''jamani mme wa mtu ni mavi''

  ReplyDelete
 9. Hhahahahahaha I love you Dear uwiiii mbuta Nanga

  Mange's fan

  ReplyDelete
 10. Mimi nataka Pochi tu toka kwako isiyozidi 40,000 maana nyie wa ulaya hamchelewi kutuletea mavitu ya mamilioni

  ReplyDelete