KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 3 July 2013

BY FLORA LYIMO~ ANAEJIPENDA MPENDENI!!!

Nikiwa at my Home ,kabla sijaondoka yani lazima nijipige picha kibao mia kidogo ,mbuta nanga'yani huwa hata naachwa na mini cab baada ya kuiita wanapofika mimi najipiga picha na nimpaka nimalize kujipiga la sivyo siendi na wanarudi 'hahhaaa'' jamani huu ni ugonjwa au ni nini'' yani mimi na camera hatuachaniki kabisa 'bora nichelewe nakoenda lakini nijipige picha of the moment''


 Flora Lyimo Fashion Police CEO /Designer and Trader ''najipendaje sasa!!



Ndani ya Black Cab nikijiandaa kushuka na kulipa 'yani sitaki shida kabisaa''Ruwa Mangi''
Flora Lyimo Fashion Police na mtoko wake wa  29/06/2013 ndo huyo mwenyewe akiingia kwenye Shughuli ya MR & MRS Matonda' yani mizunguko niliyokuwa nayo ni balaa but Black Cab ndo tulizo langu na mambo yote 'I love usafiri huu kinoma''Black Cab for Flora Lyimo a.k.a.Muke ya African King wa ukwee to Bongo Please'' Piiiipiiii move out the way ' nachelewa kwenda kumuona Mpenzi wangu 'I wan't him ,I wan't Him so bad'' Mbuta Nanga'' Mistari imenyooka ee''hahaha"FLFP''

No comments:

Post a Comment