KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 16 July 2013

BY FLORA LYIMO~ HII NI KWA WALE MNAOTOKA NA WAUME /WACHUMBA ZENU BILA KUWATIZAMA NA MWISHO WA SIKU KUWAAIBISHENI'' FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 16/07/2013 MBUTA NANGA!!


Who's a pretty birdie? Kimberly Wyatt stood out in a bright canary yellow floorlength gown for the premiere
Who's a pretty birdie? Kimberly Wyatt stood out in a bright canary yellow floorlength gown for the premiere''

Bold and bright: The former Pussycat Dolls star was just one of the celebrities keen to get a first glimpse of the movieBold and bright: The former Pussycat Dolls star was just one of the celebrities keen to get a first glimpse of the movie
Bold and bright: The former Pussycat Dolls star was just one of the celebrities keen to get a first glimpse of the movie''

Date night: Kimberley smiled widely as she brought along her boyfriend for the night's movie entertainment
Date night: Kimberley smiled widely as she brought along her boyfriend for the night's movie entertainment''

Flora Lyimo Fashion Police say> What is her Boyfriend is wearing ?? Mbuta Nanga'' Hivi aligutuka Kitandani nakuamua kwenda nae baada ya kukataa au ilikuwaje mpaka avae hivi ? jamani hii nikujiaibisha bora asingeenda kabisa ,na If was my Boyfriend yani hata Poz nae nisingepiga picha kabisa ''' why kujiaibisha kwenye macho ya walimwengu wanaokumulika kuliko simba akiwinda'' Uwii'' Ndugu zangu Watanzania mnapokuwa na your Lover /Boyfriend or Hubby  na mnapendana kiukweli basi Vaaeni mkitizamana kama Vyeo (mirror)''yani Mmeo au Mchumba wako awe Kiyeo chako na wewe uwe kiyeo chake''ili mnapotoka mjue mmevaa ipasavyo '' Anyway ''
Kimberly, who had brought her boyfriend Max Rogers along, looked body confident in the bright ensemble which skimmed the floor.
The strapless dress looked even more elegant with its sequin embellishment on the bust area'

Kimberley look FAB''I just love everything'' Have your say Nyota zangu''what you think??

No comments:

Post a Comment