KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 28 July 2013

BY FLORA LYIMO~ KIPINDI CHA JUA SIKU ZA IJUMAA MJI MKUU LONDON KWENYE PUB (BAA) ZAO HIVI NDIVYO KUNAKUWAGA''


Watu wakielekea kwenye mabaa hasa yale yaliyopo kando kando mwa Barabara''
 Watu wakiwa kwenye mazungumzo yao ,huku mengi yakiwa yanachangiwa na pombe'' simnajua wengi huwa hawawezi kuongea sana ikiwa hawajaonja pombe''subiria uwape hata bia moja uone watakavyo anza kuropoka ovyo''tena hadi na sauti hubadilika haswaaa''

 Hapa Mrembo akiwa amesaidiwa Handbag na Mpenzi wake'' Ila siyo Wanaume wengi hupenda kubeba mikoba ya kike au kuwabebea Wake zao /wapenzi zao mabegi yao''Only 1/10 will do that''
Mrembo kabla hajachokeshwa na handbag lake na kuomba kubebewa''
 Hapa wamekutana baada ya kazi ,yani hapa kama mnavyowaona pichani ndo full kujirusha baada ya kazi'na mazungumzo yao huwezi kuwasikia wakizunguza juu ya kazi ilikuwaje''yani ni mazungumzo ya Maisha hasa sana sana 'kuhusu Holiday mapumziko' mahali pa kwenda for a weekend kabla kipindi cha jua Ulaya hakijaanza kuisha '
 Alafu Mimi kinachonishangazaga kwenye haya mabaa huwa hawachoki miguu kusimama''Mimi nikiingia lazima nikatafutane na kitu yani sijazoea kusimama na kunywa mbege''pengine ni vile hata kule Uchaggani kwetu tumezoea kukaa kwenye Viti tena vya mbao vimejengewa kwa foleni mkikaa majikuta ni kama mnasubiria kuhesabiwa au mpo kwenye kikao kumbe watu mpo kwenye mteremko wa mbege'''mbuta nanga''
 Off you go 'now''Hahhaaa ,jamani kilichonichekesha na kunishangaza pia ni huyo Kaka mwenye Red vaazi lekundu apo na maua yake Red Rose's yani hivyo yeye amekuja kufanya biashara zake'' kuuzia Wanaume single  Red rose la ishara ya upendo kwa Walionao,au Alonae ''basi akakutana na mmoja wa Boss wa Baa hili '' na kuanza kutimuliwa apo'' subiri uone kilichofuata picha za chini''
 Off you go and don't come back here again''Mfanyakazi wa hapa kwenye hili baa ambae amevaa  vaazi la nyeupe huku akiwa kabebana na glass za vinywaji '' akimfukuza na kuhakikisha kamsimamia hadi aondoke kabisa sehem hii ,ambayo ipo kando kando ya barabara tena katikati haswaa ya Mji huu Mkuu wa London ambapo ndipo hukutana na Watu na Vitu vya kila aina''hasa kipindi hichi cha jua ''utauziwa vitu vya ajabu na vingine vya maana unakutana na Mtu barabarani anakusimamisha anakuambia unataka kununua kitu hichi 'atakuonyesha saa au sim au chochote kile anachokiuza 'na kwa bei ya juu kabisa akijaribu Bahati yake lakini ukiwa Mjanja wa Mujini unampa bei ya Chini kabisa na unaona akikubali '' kweli Shida haina Garama kabisa''
 Huyo muuza maua alipotimuliwa kwenye sehem ile ya baa,alijiondokea zake huku akitukana kweli''na Mimi nilimuhurumije na pia nilitamani nimfuate yule sijui ndo Boss au sijui ndo mfanyakazi wakawaida baa lile tena mkusanya vikombe vya pombe baa,,yani nimuambie aache wivu ''kwani huyo muuza maua hajaingia ndani yupo kando kando ya Barabara na hakuna anachokiharibu kwa kujitafutia riziki yake'' kwani yeye ndo anayanunua ndo amfukuze ''kweli Biashara  jamani ni kazi kweli kweli ,msione Mtu akifanya Biashara mkadhania ni kazi ndogo''nikazi kweli kweli tena ambayo unahitaji kujitolea haswaaa''
 Happy London People wakijilia vitu vyao baada ya kazi ,why not''Yani hii ni baa Ingine tena ambayo nayo ni hivyo hivyo Watu husimama na kulewa wakiwa wamesimama hakuna kukaa ndani na nnje huwa hamna viti au niseme siyo sehemu ya kukaa kwenye viti  lakini unaweza kusimama upendavyo na kwa masaa yako hadi wafunge baa lao''
 Full house kabisaa pameshonaje''Yani hapatoshiiiiiiiii""
 Cheki palipo karibu  na barabara yani Watu wanapita magari yanapita'Kila kitu hapo kwa hapo  ''Tuombe Mungu isitokee siku Gari likatae njia''Ruwa Mangi''





Kwa raha zao ,,yani bora kulifurahia hili jua la msim sasa hivi 'maana ukipitwa umepitwa haswaa''hakuna kurudi nyuma ni mpaka mwaka ufuatao tena au ufungasha mabegi ukalitafute kwingine lakini siyo hapa UK -London ''Jua linakuja kwa Msim na likiisha limekwishaaaaaaaaaa""Mbuta Nanga''

2 comments:

  1. looks like we ni mshamba sana, wenzio wanaenjoy, we umekaa kuwapiga mipicha,

    ReplyDelete
  2. mshamba wewe unayeingia kwenye blog yake na kuongea pumba. hii ni blog yake na ana uhuru wa kuposti chochote...kule kwingine wakiweka hadi wametoka kulalana mbona hamsemi kama ni ushamba? koma..simji Flora hanijui but hapa lazima nikushukie wewe mburula

    ReplyDelete