Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa kuwa haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa.
''kutoka kwao''
" Tumesikitishwa sana na ujio wa Obama kwani tulikuwa tumejipanga kupiga hela ndefu sana .
"Bahati mbaya watu wake tuliokuwa tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale wa mikoani walizuiwa" Walisema akina dada hao''
Machangudoa hao wanadai kuwa kipindi cha Bush alipokuwa Rais ambaye alikaa nchini karibu wiki moja walinufaika sana ambapo wengi wao walijenga majumba kwa pesa za ziara ya Bush''"Bahati mbaya watu wake tuliokuwa tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale wa mikoani walizuiwa" Walisema akina dada hao''
TUMESHIRIKI KUTOKA BW'
hhhahahahahahhahaaaa mbuta nanga''umenichekeshaje leo''mbavu zangu eee''
ReplyDeleteMBUTA NANGA
ReplyDeleteMbuta nanga wewe ni kiboko #Flola
ReplyDelete