Kapendezaje sasa!! Dress in her Own Designs'
Hii kidole ni ishara ya Imetulia au Iko Moto ? yani ipo moto inawaka mbayaa''hahhaaa'' Love nyie Watu yangu''
Mimi nahesabu Moja ,Mbili ,Tatu ,Nne................Endelea mpaka usikie nimeacha kuhesabu''Mbuta Nanga,Missy Temeke Huyuu akimwaga radhiiiiiiiiiii'' |
Picha zilikuwa za kwenye siku ya Sherehe ya miaka mitatu ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni 'iliyofanyika wiki ilopita'
No comments:
Post a Comment