KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 2 July 2013

SHOW TIME~FLORA LYIMO FASHION LTD 'DESIGN FOR HOUSE OF MBUTA NANGA!!

 Kitu cha mtoko wa Usiku ndo hicho ' African Print ipo ndani yake 'yani unavaa kitu chenye uhakika haswaa na kinachokufanya huru bila kuogopa au kubanwa banwa'Mtoto wa Kichagga Ulaya naweza eee''
 Picha zinasema yote wewe endelea kuzitizama mpaka chini ukimaliza nitwangie sim hii au ni peperushie kwenye WhatsApp + 44 (0) 7787471024 anything you want to know about Flora Lyimo design and Trade'




 Hhahaa Fyonza nikusikieee ''shiiiiiiiiiiiiiiii''Mbuta Nanga!!
 Hahhahahaaa mambo ya Jack Daniels and cocacolaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''la'la'laaaa"

 Hapa mbele pa hii skirt mmepaona mabadiliko yake lakini '' yani unaweza kudhania nimevaa nyingine lakini ni ile ile..chezea Flora Lyimo Designer ''

 Mikono mfukoni nikizilinda pesa zangu 'mbuta nanga"
 Kama mlivyo ona kwenye Show ya TID Mnyama wa Wanyama Unyamani'''
 Mmeona Jacket eee'' Kitu cha African Print design by:Flora Lyimo"
Ndo hapo sasa'' Flora Lyimo Spread the Love 'Mbuta Nanga ,jamani hii siku ya 29/6/2013 Ilinichokeshaje sasa but nilijitahidi sana kuweza kwenda kwenye shughuli Tatu mfulilizo na zingine sikuweza kwenda kikazi zangu za kupiga picha kwani muda haukuniruhusu kabisa kwa hiyo narudia tena kwa wale ambao shughuli zenu sikuweza kufika msijali next time''
Anyway ' Back to my Own design 'Flora Lyimo designer kama Mimi nitajaribu kuwarushieni Vitu ninavyowatengezea Wenyewe ambao wanajua nini maana ya Up coming Big World Fashion Designer kama wakina Prada 'Vera Wang ,Lara ,Miu Miu na wengine wengi ambao  mnawajua Top waliopo kwenye matawi ya juu '' now let me tell you kidogo niliyojifunza kwenye London  College of Fashion ''
Its all about Wanawake /Dada Wafupi kama Mimi' Today'' My design nitaongelea kuhusu Wafupi na Vi' skirt vyakuwapendeza' yani kama nilivyoivaa hapo ukiwa wewe una shape kama yangu kasi hii Skirt inakufaa'' Ikiwa huna basi wala usijisumbue 'wewe subiria Next Design's Kutoka kwa Flora Lyimo LTD' Mambo ni ya hapa hapa London 'kwa Mtanzania halisi aipendae Nchi yake kupita maelezo '' na kweli kujifunza siyo mpaka Elim ni Kujifunza Kitu hapo na hapo ambacho unakipenda na hujakilazimishiwa'' Anyway '' Style Skirts For Flora Lyimo and You if you have my shape''
As a short Woman who is within a good weight range and has long legs(kiasi) your best best skirts will be those that are vertical in shape or subtly 'A'lined. Your only Limitations will be due to your Age (MBUTA NANGA) And any prominent feature you may have. Skirt with a Waistband will be the most comfortable and flattering for you ' tuingie kwenye kuivalia viatu skirt yako 'When teaming shoes with your skirt a good rule of thumb is''the high the hem ,the lower the heel and the lower the hem the higher the heel'Mmeona kama nilivyoivaa ya kwangu hapa ee'' Habari ndo hiyo 'nitaendelea on my next Design's'' Hope you like my Design and please welcome to say what you think and also to buy buy buy and buy only ' you can buy many things from Flora Lyimo /Mbuta Nanga House' from her Trade to her Design of Hot London Accessories and Cloth' Karibuni /Welcome''
Flora Lyimo CEO /Founder"

7 comments:

  1. Awesome design 'keep it up my dear Flora Lyimo yes you can do it''

    ReplyDelete
  2. flora uko juu.
    watashindana sana lakini hawashinda my dia nimependa hiyo design balaa one day utamvalisha kim k na baby nori

    ReplyDelete
  3. Wewe Mbuta Nanga umechezea moto this time. Yaani Sheilla matako katoka kunipigia analia anasema mwaka huu lazima akuuwe na amesha kuanzia kazi huko kwa mganga wake. Sasa na wewe Sheila tena ukome kunipiga simu zako na kujiliza kwangu wewe ndo muongo na mchonganishi mkubwa London nzima mi mwenywe nakuchekea tu lakini havari zako ninazo na jinsi unavyo nisema ila nakuangalia tu na leo nimekuanika hapa na huo uchawi wako. Kazi kuendea wenzako kwa waganga halafu unawasingizia wao. Eti Flora anakuroga na wewe mbona umemuendea? Unikome na nimekurekodi maana hukawii kuruka sasa wacha Flora akufunze adabu kabla hajafa.

    ReplyDelete
  4. flora upo juu i just love your design ni yakwako mwenyewe na siyo zile za kule wanaojifanya madesigner kumbe wanaiba za watu'' upo juu flora na achana na uchafu huu wakupoteza muda na kina sheila matako wasio na lolote duniani' upo hapoooo''

    ReplyDelete
  5. anonymous of 13.03 matako yako uso kaa choo cha stendi .sasa unakuja kumsemea hapa mwenzio ulikuwa nae huko kwa waganga ,jamani watu kama wewe nahisi ndo wachawi wakubwa.nyao wewe..msuyooooo...flora hatishiwi maisha kwa taarifa yako 'hata top wachawi kina fifie walimshindwa atakuwa sheila''yasije yakamrudi atakayokwenda kwa mganga kumfanyie kiumbe yoyote hasa flora na kitu kikimfanyikia flora now tunajua who is responsible ''

    ReplyDelete
  6. now this is what i cal designer' flora lyimo you can do it ,soon you will dress kate and rihanna''

    ReplyDelete
  7. Nimekukubali flora lyimo the only Tanzania design in London anaefanya kazi zake za ku design mwenyewe bila kuiga'hasa zile zakufuma''wewe tupa wenye wivu kule tena wasikushughulishe kabisa,na lingine msamehe SHEILA bure'' kwani anamatatizo soon atakuwa deportee''

    ReplyDelete