KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 29 August 2013

BY :FLORA LYIMO ~ JAMANI KULIKONI ?? SUPER STAR WETU -AUNT EZEKIEL KUCHOMWA KISU ?? NANI ANAMKANDA MZIMA ? MBUTA NANGA''UWIII''POLEEEE!!

 AUNT 'Akiwa Hospitali I think''maana nilikokutana na picha hizi hakuna hata Mkanda unaoelezea nini wapi wala what happen'' Watu wengine kwa Habari ovyooooo'''
 Yesu wangu na Maria'''Uwiiii''Poleeee'' Kisa nini jamani ?? Uwiii''
 Mdada Mrembo Aunt Ezekiel'what happen ? Jamni mnazaliwa na Sura Nzuri bila hata Dozari ''alafu mnakuja kuzipata Ukubwani ? Uwiii''Jamani nipeni Mkanda mzima''
Mdada Mrembo Ivon '' What Happen ? Jamani kulikoni ? Hebu mwenye Mkanda mzima nipeni jamani maana nimeingia kwa Viblog vingine Hodari Kupost Habari za Watu in Picha na Bila kusema nini kiliendelea''Ikiwa una haraka don't post it''maana kuna Watu ambao wanapenda kusoma Habari za maana na Picha kusema yake''lakini Habari za Maana kama hizi inafaa kusema pia whathappen''siyo mnarusha picha na maneno juujuu''ilimradi ulikuwa na huyo Star''Mburula wewe''jifunze kupost vitu vya maana''weka na Mkanda mzima wa What happen 'kama ulibahatika kujinafasi na huyu Super Star ''hayo weka pembeni na hakikisha umetupa mkanda mzima au pale penye uanzishaji wa tukio'' Pumbavu na Kiblog chako'' Mbuta Nanga'' Nyota Zangu hasa mlioko Tanzania hebu nirushieni Mkanda wa Hii Hatari ya Mujini''''

3 comments:

  1. Da Flora ni kwamba aunt ana mimba ya Jeff ambaye ni bwana wa yvonne ndio kisa kikubwa nasikia bwana wa aunt ni hasimamishi Yani habari ndio hiyo. Aunt kwanini umeolewa na shoga haya sasa unapenda kutombwa nyege kama Huna mdudu, na Kuna kipindi lulu alichanwa viwembe vya uso na yvonne Kila Huyo Huyo bwana''

    ReplyDelete
  2. Na Mwandishi Wetu
    MWIGIZAJI levo ya juu katika sinema za Bongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi, Risasi Mchanganyiko lina ishu nzima.

    Mkono wa kushoto wa Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ uliopasuliwa kwa chupa.

    Usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, mwanamke aliyejulikana kwa jina moja la Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa kushoto.
    Watu walioshuhudia tukio hilo waliliambia gazeti hili kuwa, wakati Yvonne anatekeleza ukatili huo, Aunt alikuwa amesimama na marafiki zake waliotajwa kwa jina moja moja, Sajenti na Rehema.

    Aunt Ezekiel baada ya kushonwa nyuzi sita mkononi.

    “Ndani ya ukumbi shoo ilikuwa ikiendelea, Aunt, Rehema na Sajenti walisimama nje, ghafla alitokea Yvonne akiwa na chupa mkononi, akailenga kwenye paji la uso la mwenzake, bahati nzuri Aunt aliiona na kukinga mkono,” kilisema chanzo.
    Kikaendelea: Vurugu kubwa ilizuka, ilibidi shoo ndani isimame ili kushughulia suala hilo. Aunt alikimbizwa Aga Khan, Yvonne akapelekwa msobemsobe Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar ambapo anashikiliwa.
    Baada ya taarifa hizo, juzi mchana, Risasi Mchanganyiko lilifika nyumbani kwa Aunt, Mwananyamala na kumkuta ambapo alikuwa na haya ya kusema:

    Aunt akiuguza mkono wake.

    “Ishu ni kweli kama mlivyosikia, lakini kule Agha Khan sikutibiwa, niliambiwa daktari hayupo mpaka saa mbili asubuhi na muda huo ilikuwa saa kumi alfajiri.
    “Ilibidi niende kutibiwa kwa Dokta Mvungi, Kinondoni Hospitali ambako nilishonwa nyuzi sita.”
    Risasi: Madai ya Yvonne ni nini hasa?
    Aunt: Yaani hata mimi sijui, nilishangaa sana. Kwanza lengo lake lilikuwa kunijeruhi kwenye uso, lakini niliiona chupa nikaikinga na mkono ndiyo maana ikaniumiza.
    Risasi: Siku za nyuma uliwahi kuingia kwenye mzozo na Yvonne kwamba unamchukulia mpenzi wake aitwaye Joff, siyo kwamba ndiyo kisasi?
    Aunt: Yale mambo yalipita, yeye ana maisha yake na mimi nina yangu'

    ReplyDelete
  3. HII NI KWA WALE MSOJUA''
    JEFF ANAMKE WAKE WA NDOA AMBAYE SIO IVON!!!!!! IVON IS JUST ANOTHER PRICELESS WORK OF ART IN HIS GALLERY!!! COZ YEYE KWA VIPESA VYAKE VICHAFU VYA SEMBE LA SHKUBA ANATEMBEA NA MWANAMKE WOWOTE MREMBO ASOJITAMBUA. SO WHETHER IVON KAMFUMA ANTY NA JOFU MARA 3 AU MARA 3000 BADO WOTE NI MALAYA TU 'HAWARA HAFUMANII HAWARA MWENZIE!!KARECCO KA WATU KAMEJIKALIA KWAO HUKO MASKINI HATA HAKAELEWI KALIINGIAJE KWENYE NDOA YA MAJANGA KAMA HIYO! INCASE JOFU AFE LEO (GOD FORBID) NDO ITAJULIKANA NANI ANAETAMBULIKA MBELE YA MADHABAHU NA NANI ANATAMBULIKA MBELE YA GUEST HOUSES.
    TENA TUSIWAONEE HURUMA KABISA YANI HAWA NI MALAYA/MAHAWARA''MBUTA NANGA""

    ReplyDelete