KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 29 August 2013

BY :FLORA LYIMO~ BREAKING NEWS' LIVE FROM YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE TV AT HER LONDON HOME " SYRIA CRISIS..MIMI NAONA KAMA VITA VINANUKAA" MBUTA NANGA''TUOMBENI JAMANI''

FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
NDUGU ZANGU WATANZANIA POPOTE PALE MLIPO NATUMAINI HAMJAMBO'
Leo nilitaka niwagusieni yanayoendelea kwa Wakubwa zetu hapa Mjini London Mji mkuu  wa Uingereza' Our PM,leo yupo kwenye House of Common Mkutano wa zarura uliomfanya kukatisha mapumziko yake ya Likizo na kuja kutaka kuwajali wenzetu kule Syria''kwani Jamani kama mlivyoona Picha za juzi nilizowapostia hapa za wale watu walokufa kwa kuuliwa kwa Chemical'' wengi wao wakiwa ni watoto'' sasa wanaongelea kwamba wanaweza kuanzisha Vita''jamani jamani Mimi naogopaje ''Uwiii si ndo Watu wataongezeka kufa '?kwani hakuna utaratibu Mwingine wakuweza kusuluwisha hili jambo jamani? mbona wasimuite alohusika na kumstaki kiustaarabu bila kuingilia Nchi kwa Mavita na mamishine ya Kinomaa'ambayo ni ya hali ya juu''Uwiii''jamani Tuwaombeeni tuombeee''Dunia inakwishaa''hivi hivi mtaona Dunia inaingia kwenye Vita'''Ruwa Mangi tuepushiee'''AMEN''
 MKUBWA HUYOOO'''AKIFUNGUA MKUTANO WAKE ULOMKATISHIA HOLLIDAY YAKE''
MUNGU WANGU ''JAMANI HABARI NDO HIYO ''FULL HOUSE NA MASWALI NI YA MOTO MOTO MOSHI UKINUKIA VITA HASWAA'''RUWA MANGI'''
Flora Lyimo anaombaje sasa,,naombea Dunia Amani ''maana Bila Dunia Hakuna Flora Lyimo wala Tanzania wala Nchi yoyote''

No comments:

Post a Comment