KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 28 August 2013

BY:FLORA LYIMO~ FROM OUR AUGUST WEDDING'' HUYO NDIE MCHAFUAJI MKUBWA WA KWENYE SHUGHULI ZA WATU''JAMANI VYA BURE VINAUWA NA VINAAIBUUUU''MBUTA NANGA!!


FLORA LYIMO ATANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA  MAELEZO''

TODAY YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE '' NIMEONA NIONGELEE KUHUSU VYA BURE''
 Jamani Ndugu zangu Watanzania Popote mlipo natumaini hamjambo kabisa'' Leo nimeona niwaambieni na pia kuwaonyeni wale mlio na hizi tabia za kuparamia vya Bure na bila kujijali Tumbo na Afya yako kwa Ujumla'' Yani unapo alikwa kwenye Mashughulini au unapojinafasi ukajikuta umetua huko''usiparamie kila kitu mle'' hasa Pombe bila Kula kwanza ''na Pia Kula kwa Mpangilia na kula taratibu'' Siyo wewe unabukia kila kitu ili mradi hujakitolea jasho lolote''no' utajiumiza na pia utajiaibisha kwani Mwisho wa siku hilo tumbo lako huna mamlaka nalo 'likiamua kukuchafulia maisha yako yote linaweza na tena wakati wowote'' Ila basi tukirudi Nyuma na vya Bure ni kwamba' Unapokwenda kwenye Maharusini kule kunakuwa na Misosi ya kumwaga na Pombe za kuogea' Na ruksa kuviparamia upendavyo'but mwisho wa siku unaweza ukajikuta taabani kama huyo kaka pichani hapa'' Na kitu ambacho Mimi nilibakia na mshangaa na bila kumuonea Huruma ni kwamba'' Haiwezekana kaanza kutaapia bila kujisikia dalili za kutaka kutaapika''sasa kwanini asinyanyuke hapo mara moja na kwenda Chooni au hata Nnje ya hapo Ukumbini ?? Yani hapo hapo alipoketi ni hapo hapo aliyamalizia na kubakia na Aibu bila hata kunyanyuka hapo 'Na watu walivyo mpuuza hakuna hata Mmoja aliekwenda kumwaambia chochote yani full kumpuuza na kumkimbia'' Aibuuuuuu''Mburula kwenye Mashughuli ya Watu''Jamani jiepusheni na vya bure sasa ona Aibu gani hizi'' Na hata kama kulikuwepo na Dem alomzimikia alimuachaje sasa''nani anataka Mwanaume wa maaibu hivi? Mbuta Nanga!!
 SASA HEBU MUONENI HAPA ALIVYOTAAPIKIA KWENYE SHUGHULI ZA WATU MBURULA ''PUMBAVU'' YANI MSICHEZE NA CAMERA HASA IKIWA NA FLORA LYIMO MNASAJI HODARI WA MAPOCHOPOCHO YA MUJINI''HAPANA CHEZEA YEYE KABISA''HAKIFICHIKI KITU KWAKE KABISAA''
AIBUUUUUUUUUUU''''
HEBU MUONENI HATA ALIVYOKAA KAWEZA KUVIEPUSHA VIATU VYAKE KWA MATAAPIKO YAKE ''NA HAJIONEE AIBU WATU WALIVYOMKIMBIA'' NA ALIVYOCHAFUA SHUGHULI ZA WATU''

Misosi aloiparamia ni kama hajawahi kula maishani mwake''

Misosi ndo hivyooo ''Ilivyoletwa Mji wetu wa Mapesa''chezea MwaaAfrica alisi nyie..hakuna kusahau utamaduni wetu kabisa'' Masufuria kwa kwenda mbele'' Mwanamke Sufuria na Mme Mwenye Kumjali Yeye Kabla ya Watoto ,Why ? kwasababu kabla ya Watoto Always Mke na Mme kwanza so ni Muhim sana kumuweka Mkeo mbele ya yote, na Mke kumuweka Mme wake kwanza mbele ya Watoto'' Kwani hata Hivyo Watoto hao hao watakuja kuwa wakubwa na Kukuacheni mkiwa Peke yenu na hata Mtu wakukuletea Maji ya kunywa na kikombe waumwa huna''na Watoto umezaa kibao'' so kwangu Mimi hata iweje'''Always My Man will be First then my Kids''' Habari ndo hiyo''Your Flora Lyimo Fashion Police'' Nawewe sema yako unaruhusiwa''

No comments:

Post a Comment