KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 25 August 2013

BY:FLORA LYIMO ~ HERE IS THAT NEW SONG OF JOKATE AND LUCCI EVERYONE WAS WAITING FOR'' AND HERE IS WHAT YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE SAY'' AND HAVE YOUR SAY TOO'' KWANI NI VIZURI KUAMBIANA UKWELI'' MBUTA NANGA'' KAKA NA DADA NDO THE TALK OF MIJI MIKUU RIGHT NOW'''

Enjoy the Song and Wacha maoni yako unaruhusiwa kusema what you think '' kwani hawawezi kujua kama wamefanya kweli bila Maoni yako au niseme maoni yetu'' 
FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
Hongera sana Jokate &Lucci '' Wimbo upo powa na leo umenifikia ukiwa na Mistari Muhim sana kwangu''Ila bado nabakia nikijiuliza ?hapo kwenye kuangusha hiyo Glass mbona haijavunjika au ni Plastic'' Ikiwa ni Plastic next time Msifanya na Plastic Glass tena ingekuwa Fresh zaidi Ungeangusha ile Ya Red wine more Romantic'' 
But all in All ''well done to you and All other Tanzanians Who are out there to Show the World we can too'' Yes we can '' Hata kwa Kichagga pia We can sing 'Luggha zote tunaweza'' Zinawezekana'' Ruwa Mangi''Chakufanya kwenu nyie nyie waimbaji ni kuzisambaza hasa kwenye Kufanya Show kwenye Mikoa Mbali mbali na Pia kwenye Vyombo vya kupeperushia Habari ''' Yani mnahakikisha mnawafikishia Watu Mambo yenu Mapya  on time'' na Watanzania mliopo kwenye Maradio matv Anatakiwa Msibague walokuja na Mambo yao mapya Ikiwa yana 'usikika'Wafanyieni kweli Ndugu zetu wanapokuja na Mambo mapya'' kwani hivyo mtasaidia Nchi yetu kujulikana zaidi pia'' Kumbukeni Nchi yetu Tanzania siyo Nchi bila Sisi Watanzania wenyewe'' So tupendane na tuyapende yetu na kuyaunga Mikono ,Miguu,Masikio na Macho zaidi''' Ameni ''Enjoy the New Song about KAKA NA DADA'' AND ALSO HAVE YOUR SAY'' WHAT YOU THINK'''

No comments:

Post a Comment