KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 24 August 2013

BY: FLORA LYIMO~ HAHHAHHAHHAHHAAAAAAAAAAAA JAMANI SIKUIZI KUFA MMEKUFANYAJE ? YANI MWAONA WENZENU WANAKWENDA KWA MJOMBA KUSALIMIA AU ?? JUZI MMEONA MILIONEA ERASTO MSUYA AKIZIKWA NA JENEZA LA KUFUNGULIWA NA REMOTE CONTROL LEO NDO NOMAA..WENZETU KULE TRANSYLVANIA WAMZIKA SELF-STYLEED KING WAO KWA JENEZA LENYE AIR-CONDITIONED'' MBUTA NANGA!! NIMECHEKAJE'''

Fit for the King'' Hili ndiyo Jeneza la Air Conditioned likiwa na Mwili wake Self -Styleed King huyo'' Ambae Picha zaidi nitawaleteeni Badae kwani hapa nimecheka na nimeshindwa kupost hii kwa masaa mengi sana sababu yakufa kuchekaa''Mungu wangu sasa hii si nidhambi kwa wale wasio na Uwezo ''Yani maiti Mtu hana Faham kabisa awekewe Air Condition kwenye Jeneza lake ambalo siyo Bure ni Mapesa marefu ? Uwii is their any need of doing anything like this? Jamani semeni yenu ''Mimi ninakufa nakucheka '''na Vile vile next time naomba wawawekee na Plasma TV kabisa ili wajitizamie na Vipindi vyao walivyokuwa wanapenda''kwani Safari ya kwenda kwa Mjomba ni mbali jamani na pia  hawa Wenzetu wa kule Transylvania wanaamini kwamba kuna Joto pia''' Mbuta Nanga!!
 Fit for the Milionea'' Wenzetu nao kule Tanzania wakamzika Erasto Msuya Mfanyabiashara Mkubwa alie uliwa kwa Mabunduki na watu ambao hawajajulikana kina nani na wala lengo lao nini haswa 'ila kuna waloshikiliwa shikiliwa sijafuatilia tena nini kiliendelea pande ile ,,ila mtajua nikijua lazima mtajua tu''
Nyota zangu '' Sasa hili ni Jeneza lakufunguliwa kwa Remote Control ndani ukiwepo Mwili wa Marehem ukisubiria kulazwa kwenye Nyumba yake ya Milele'' 
Hawa wenzetu wa Tanzania nao wanaamini kwamba Kule kwa Mjomba Erasto kaenda kama Mme wa Mtu na Kumzika Kwa Jeneza lenye kufunguliwa na Remote 'ni kuwakomesha wale Wanawake/Dada wanaoiba wanaume za Watu 'Kiruuuu''Yani hiyo Remote alibaki nayo Mke wake HAIBIWI MTU HAPO KABISAA'' Hahhahahaaa'' Uwii jamani nacheka utadhani kweli siyo Vifo hapa'' Yani wanachekesha haswaaaa'''Kuna haja kweli hata kama Ni matajiri wa Dunia wamekufa kuzikwa kwa Majeneza yenye hivyo vitu vya mapesa marefu hivyo na huku Masikini na wasojiweza wakilia Njaa''kweli hiyo ni dhambi mnatenda jamani wazikeni watu kawaida'' Mwisho wa siku Wamekufa na hawanafaham'' Ruwa Mangi''What you think people? Semeni yenu jamani ''Mimi nachekaje''hahhahhaaaaa'Mpaka machozi yamemiminika kuliko Bahari ''kwa kuchekaa'' Eti maiti na Air Conditioned Coffin''HAHAHAAAA''
 JENEZA LA WATANZANIA WAO WAMETENGENEZA LENYE KUFUNGULIWA KWA REMOTE CONTROL ''
 R.I.P. AMEN''
 Msafara wakumzika Milionea'''
Msafara wakumzika Self-Style King''

R.I.P. AMEN'
Hizi ndizo Plasma TV.next time anzeni kuwazika nazo Watu ili wapate chakutizama wakiwa safarini kwenda kwa Mjomba Maana Mshaanza kuwawekea hadi Vitu vya kuwasaidia kupunguza Joto ''yani ni nomaa''na hizo TV zitawasaidia kwa kutizama Vipindi vyao walivyokuwa wanavipenda ili wasipitwe''kama Mpira vile ''simnajua tena Wanaume wengi na Mipira'' Hata kama Dem yupo Uchi Mbele yake yeye atatizama Mpira na Siyo Yule Dem Uchi Mbele yake''Habari ndo hiyo''hahhahahaaa bado nachekaaaaaaaaaaaaaaaaaa''
Hapa (kushoto)Ni Kaburi ndani tiyari kuna Jeneza la Remote Control la Mwili wake Marehem Erasto 'Ona lilivyojengwa yani Hiyo TV inekuwa powa sana Kuwekwa Ukutani haswaa'Plasma HD'' Mbuta Nanga''Chezea Mamilionea na Mapesa waloacha Nyuma nyie''More TV zakuwawekea kwenye Nyumba zao za Milele''Yani kweli siku izi mmefanya kufa kukawa kutamu kuliko hata Harusi ''Mbuta Nanga''Mungu  wasamehe hawajui walitendalo ''kwani kweli Hivyo vyote havihitajiki'' Haya basi na mtakapo wazika na hizi TV msisahau kuweka na Hizo Remote zake maana watazihitaji '''Hhhahahahhaaa''  JAMANI KAMA MLIVYO ONA AT MY FACEBOOK WALL NILICHEKA MPAKA NIKASHINDWA KUPOST HUM KABISAA''ANYWAY ENJOY YOUR DAY HAPPY PEOPLE'' MIMI NIMEFURAHISHWA SANA NA HAWA NDUGU ZETU KUZIKWA KWA KUFURUUUUUUZZ''''
Always Posted By:Flora Lyimo Fashion Police''

No comments:

Post a Comment