KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 31 August 2013

BY:FLORA LYIMO ~ PATA PICHA ZA YANAYOENDELEA KULE NYUMBANI TANZANIA KWENYE UZINDUZI WA FILAM MPYA YA LULU (FOOLISH AGE) MLIMANI CITY MUDA HUU''





FAB''Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti  wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa ujumla, Uzinduzi huo unafanyika usiku huu.
Msanii wa muziki Lady Jay Dee aka Komando aka Anaconda akitunzwa wakati akitoa burudani safi sana katika Uzinduzi wa Lulu ndani  ya Ukumbi wa Mlimani city uzinduzi unaoendelea Muda huu''More photos to come soon ''and what Flora Lyimo Fashion Police think ''
9Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu.10Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo.11Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo.12Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.Ila hapa naona kama Wageni wengine bado hawajafika au ndo Ukumbwi kuwa Mkubwa kulikoni''Mbuta Nanga''jamani Mimi yangu Mathoo tuu'' But I AM so Happy to see the Girl she is out kule jela na she is Doing her thing''Bila kusahau kusema''R.I.P. KANUMBA''' WE LOVE YOU AND MISS YOU SO MUCH''SOB SOB SOB ''Flora Lyimo 'I wish you were here Dear''1Elizabeth Michael (Lulu) akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam tayari kwa uzinduzi wa filamu yake inayokwenda kwa jina la  Foolish Age
14 
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Age.
Aliyefanya kweli kwa kuturushia Picha on Time shughuli zikiwa ndo bado zinaendelea kule Home Tanzania' Mmiliki wa LUKAZA BLOG' Josephat Lukaza akiwa kwenye picha ya pamoja na Mmoja wa watembeleaji wakubwa wa Blog yake, Mama Fetty''
 
 
 
ENJOY WIMBO WA LADY JAYDEE MPYA WA YAHAYA''
Lady JD'Akiendelea kutuzwa yani hapa ni wakina YAHAYA ndo walijitokeza kwa wingi ''chezea Mtu na Kitu chake Kipya wewe'' Yahaya''Ndo Mpango Mzima kwenye Kusindikiza Lulu kwa Uzinduzi wa Filam yake mpya ya Foolish Age''I think''Yani I cant wait kuiona ''
YAHAYA''WACHA FIKSI ZAKO TUMESHAKUSTUKIA''MBUTA NANGA''' Yahaya Unaishi wapi ?na Jina lako halisi nani ? Yahaya eeeeeeeeeeeeeeee''''Hhahahhaa''Kweli na Wengi hasa Kina Dada wa Mujini wanapatikanaje''Kimnya Kimnya unamezea Mwenyewee''''hahaha''Nice one Lady JD''

HAPA NDO ANAKONDA MWENYEWE AKITUNZWA NA MDAU JUKWANI ''SIJUI ALIKUWA ANAIMBA WIMBO GANI ''LAKINI SIDHANI KAMA HUU WAKE MPYA WA YAHAYA'ALIKOSA KUUIMBA'' ANYWAY ''ENJOY HUU WIMBO WAKE LADY JAYDEE NA NYINGINE NYINGI'' I LIKE HER AND NYIMBO ZAKE PIA PROUD OF HER KAMA MWANAMKE ANAEJIAMINI NA KUSIMAMA IMARA' KUIWAKILISHA NCHI YETU TANZANIA''
 
TUMESHIRIKI NA KUCHAMBUA KUTOKA LUKAZA BLOG''NA FLORA LYIMO FASHION POLICE SAY''WELLDONE MY DEAR KWA KUTURUSHIA PICHA HIZI MTANDAONI MWAKO FASTA FASTA'' UMOJA NI NGUVU NA PAMOJA TUTAFIKA MTANZANIA NA BLOG MWENZA''STAY BLESS ALWAYS'''

1 comment:

  1. shimbonyi awae' Noamka fo kura?Nasubiria zile pochi mpnz nshapata wateja kama wane hivi'Najua busness itakuwa nzuri'Uwii Mungu akubariki uinue Wanawake hivyo hivyo' love love''

    ReplyDelete