KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 31 August 2013

BY:FLORA LYIMO~ SHE IS OUT TANGU AJIFUNGUE THE KING MTARAJIWA WA UINGEREZA AND SHE PROVE ME THAT SHE IS THE MOST BORING BRITISH YOUNG MAMA I EVER SEE'' YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 31/08/2013 'SO SAD AND JUST LUCK TO GET IN THAT ROYAL FAMILY!!

FLORA LYIMO  MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
Natumaini hamjambo Popote pale mlipo Ndugu zangu Watanzania na Wengine wote''
Leo nilitaka niongelee Kidogo Kuhusu Huyu Mama Mpya Mpora wa Umalikiani'Kate aka Mama King George Mtarajiwa  wa Kukalia Kiti cha Ufalmu wa Uingereza Siku moja'' Yani kwa kusema kweli kama mnavyo Muona Pichani hapo chini '' hivyo ndo katoka ndani baada ya kujifungua Mtoto wake wa Kiume wiki tano zilizopita'Na jana katoka bila hata mtoko wa kuridhisha wanasaji Mapochopocho ya Mujini hasa Miji mikuu''
Kitop chake alichovaa kakirudia mara ya pili sasa  na Viatu sijui mara ngapi hata hatuwezi kuhesabu ''yani kweli amekosa uwezo wakujinunulia hata New top ya duka lolote la Raisi hata Asda wanauza Nguo nzuri tu''Bila kusahau Matalani na Mengine mengi''she is just so so Boring'' yani aliingia huko umalikiani kwa Kibahati mbaya au niseme Nzuri kiumburula'' just take a look at her now''sina Mengi tena jamani lakini hata sisi kule Uchaggani MPORA ukitoka ndani Umejifungua ukiwa walelewa Vile unajitokea na Kangha zako Mbili Mpyaa''yani Mmeo lazima akununulie Kangha hizo au Mkwe au hata Mawifi ikiwa wapo'' Full kujirembua '' sasa huyu Full umburula''' Mbuta Nanga" Get in todays Style and Interesting Wear Mama''

Thrifty Duchess: Kate wore a blouse from High Street store ZaraBack to business: Kate in her skinny jeans yesterday
Back to business: Kate in her skinny jeans yesterday. She also wore a £38 blouse from High Street store Zara and a Ralph Lauren blazer she has been pictured in on previous occasions
Usually when the Duchess of Cambridge steps out in recycled outfits, women across the country look on with admiration and think, ‘maybe she is like us after all’.
But after Kate made her first public appearance since giving birth five weeks ago, those approving looks will probably be tinged with a little bit of envy.
Yesterday the Duchess, 31, stepped out in a recycled jacket and blouse, and, sensationally, her pre-pregnancy trademark skinny jeans, revealing just how quickly she has managed to snap back into shape.BUT THE FLORA LYIMO FASHION POLICE'' THINK SHE IS JUST SO BORING''SHE COULD AFFORD A NEW £5 POUND ''PRIMARK TOP '' NO NEED OF ZARA TOP TWICE'
 

Break from changing nappies: Kate joined Prince William at the start of an ultra marathon in Anglesey
Break from changing nappies: Kate joined Prince William at the start of an ultra marathon in Anglesey''
                              
As well as the £180 jeans by designer Paige, she wore a £39 sleeveless patterned blouse by Zara – last worn when she was just a few months pregnant – with a £570 Ralph Lauren hacking jacket and her favourite £80 Pied a Terre wedges.
 
Her trademark skinny jeans and Pied a Terre wedges made an appearance in Canada during the 2011 royal tour
Welcome: The Duchess was given flowers and cards from well-wishers
Welcome: The Duchess was given flowers and cards from well-wishers (left).  Her trademark skinny jeans and Pied a Terre wedges made an appearance in Canada during the 2011 royal tour (right) SO SAD''VIATU HATA HABADILISHI JAMANI'


Starter's orders: Prince William had been asked to officially start the long distance race
Starter's orders: Prince William had been asked to officially start the long distance race''

TUMESHIRIKI NA KUCHAMBUA KUTOKA DM''

2 comments:

  1. Kwani kuvaa nguo mara mbili ni crime, we mwenyewe kiraruuuu zako unavaa mara ngapi, sioni kosa alilofanya ni watu kwama wewe ndio mnamatatizo.

    ReplyDelete
  2. Halafu huyu price william havaagi pete ya ndoa,,,vimada wamemkataza nn?maana anaonekana mambo mengi...umeligundua hilo bi flora?

    ReplyDelete