KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 20 August 2013

BY:FLORA LYIMO~NEW ''SELF-PHOTOJOURNALISM THE DIARY OF YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE' THE CAT THAT PRETEND TO BE DIED!!

 Paka huyu nilikuwa napita nikamuona hivi ,basi Moyo ukaniuma kweli nikizani kafariki...Lakini nilipofika karibu sikusikia harufu yoyote mbaya''basi nikadhania anaweza kuwa ndio kafariki siyo muda mrefu au anaumwa? nikaanza kumuongelesha''vip paka unaumwa? hakuongea wala kujigusa'' Ongea basi paka unaumwa au umejilalia kujipumzisha ? Bado hakujibu wala kujigusa' basi nikaona nikimpiga picha  ule mwanga wa camera utamuamsha ikiwa yupo hai''Nikachukua Camera yangu na siyo Sim''nikaanza kumpiga Picha wala hakujigusa'nikaanza kumuongelesha zaidi tena kwa ukali ''Haya Amka nikupe maziwa.Kasikia maziwa kafungua macho na kulia''meuuuuuuuuu'''Hhahahhahhahaaa'''akarudi tena kulala'' huku nikiendelea kumnasa picha zote''Enjoy ''Habari ndo hiyoo'''Flora Lyimo Fashion Police ''

 Hapa nilipomuambia kwa ukali 'haya amka nikupe maziwa..ndo kalia'meuuuuuuuu''nikagundua kumbe hajafa''mbuta nanga!!







 Uwiiiiiiiiiiiiiiiii'''Meuuuuuuuuuuuuuuu''''nilitaka kutimua mbio na camera yangu wewe acha tu''






Kwa wale wapenzi wa Cat ''paka huyu hajafa ni mzima ila siyo bure anajambo maana sijawahi kumuona Paka kalala hivi bila kuogopa hata ukimsogelea kalala na kulia Meuuuuu''' anaweza akawa hata ana mimba''yani naona siyo Bure,,again sijawahi kuona paka Nnje ambae hata ukimuongelesha anaacha kucheza na wewe au anakimbia maana hakufaham'' Haya wenye Paka leteni habari na Picha jamani''
FLFP''

No comments:

Post a Comment