KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 20 October 2013

BY:FLORA LYIMO~ TIME TO PLAY WITH BAJAJI ZA ULAYA''HIVI NINGEANGUKA 'YESU RUWA MANGI'ETI HAPA NA ENDESHA BAJAJI MJII MKUU WA UINGEREZA OXFORD STREET MTAA WA MAPESA'' MBUTA NANGA!!

 FLORA LYIMO AKIENDESHA BAJAJI''KUMBE NI RAISI NILIZANIA KAZI NGUM 'HAHAHAA' ILA JAMANI SIPENDI KUENDESHA VITU VINGINE HUWA NAPENDA KUENDESHWA NDIYO MAANA HATA MNAONA SINA MUDA NA MAGARI YANI MIMI NA MAGARI NI BIG NO'' LAKINI NYUMBA NA PENDA SANA NA GARI NAPENDELEA MME /MPENZI WANGU AWE NALO AWE ANANIENDESHA POPOTE PALE ''YANI THE TOP IN TOWN NAPENDA KUENDESHWA NA MY AFRICAN KING'' MME/MPENZI WANGU SIKU NIKIWA NAE KWA KULA VILE VIAPO VYA UKWEEE LA SIVYO SIMTAKI MWANAUME YOYOTE WAKUJIFICHA ETI SITAKI PICHA''(tapeli wa mapenzi huyo)Yani NI HATAKI KUONEKANA NA MKE /MCHUMBA ALOMTOROKA KWA MUDA''MBUTA NANGA''KUWENI MAKINI NA WANAUME HAO MY DEARS''
KABLA HUJAAMUA KUWA NAE NA UHAKIKISHE DUNIA IMEJUA UPO NAE''LA SIVYO NI SHAURI LAKO ''UTAACHIWA KITOTO HAPO NA UTASHINDILIWA MIMATUSI YA ZAMANI MPAKA UTAMANI KUUWA NA WEWE UFE HASWAA''' MAANA HAMNA HAJA YA KUUWA ALAFU USUBIRIE KIFUNGO CHA MAISHA'HERI UJICHUNGE NA UJIHADHARISHE NA WANAUME VITOMBI TOMBI'' NA HERI UWE PEKE YAKO KAMA FLORA LYIMO KULIKO UWE NA VITOMBI TOMBI''YANI IM SO HAPPY BILA HAO VITOMBI TOMBI 'SIKU YANGU IKIFIKA NILIEMPANGIWA NA MUNGU NIKIAMUA MTAMUONA MY AFRICAN KING WANGU WA UKWEE HAPA HAPA'' ANYWAY 'ENDELEA KUTIZAMA  PICHA ZA YOUR TOP IN TOWN''FLORA LYIMO ''

 HAHHAHAHAA''ILA NI NGUMUUUUUUUUU''HAHAHHAHAAA''NIKIYAENDESHA HAYA KWA MWEZI MMOJA TU ''NAKWAAMBIA NITAKUWA KAMA KIFIMBO HASWAA''NA SITAKI KUWA KIFIMBO MIE''MWANAMKE NYAMA BWANA''BORA MWANAUME AWE MWEMBAMBA LAKINI SIYO MWANAMKE''YANI NAIMANISHA ULE WEMBAMBA WAKUJIKONDESHA 'SIYO ULE WA MTU AFYA YAKE''SIMNAWAJUA EEeeEE'' CAMERA IMESIKIA WIVU ''MWAONA EEEE''
 YANI I LOVE LOVE MIMI MTOTO WAKICHAGGA ULAYA''NIMEZALIWA MOSHI TENA KULE VIJIJINI 'NA WAENDESHA MBIO WENYE MIJI TENA MIJI MIKUU'' NYIE KULE BONGO WALALA HOI WALA MIFUPA CHINI YA MEZA KWENYE  MABAA MTANITUKANA NINI'' HAMNA MATUSI MAPYA ,MBONA YALE YALE YA ZAMANI' MTANIONA NIKINAWIRI NA BARAKA TELE NIKIJALIWA 'MBUTA NANGA''KYINDOKYAKOMBE!!

 HAPA NISHACHELEWA WATU WANAKULA MIMI NAENDESHANA NA MABAJAJI NA KUWANASA WAJA WA MUJI MKUU'' HAHHAAA''NAVYOPENDA PICHA MIE NI HATAREE''CHAKULA KULENI NYIE CAMERA NIACHIENI MIE''
MIMI MSINIWEKEE PILI PILI ''NIWEKEENI UCHUZI WA NAZI PEMBENI''YANI HUWA NAFANYA YANGU FASTA FASTA ALAFU NDIYO NAPELEKWA KWENDA KUPATA MSOSI'' IKIWA NIMEJISIKIA KWENDA KUKUTANA NA WENYEWE MJI WA LONDON WENZANGU '' LAZIMA BAJAJI IHUSIKE NA SIMU IPIGWE MAANA HUWA NACHELEWA KAMA KAWA'' KISA NAPIGA PICHA''HAHAHHAAA'' HABARI NDIYO HIYO ''LETENI HABARI ZENU ANYTIME''TUMENI HAPA EMAIL: flo1974@btinternet.com

No comments:

Post a Comment