KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 20 October 2013

BY:FLORA LYIMO~RED CARPET NA MAUWA YALIHUSIKA JANA KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU MHE.MIZENGO PINDA MJINI SHENSHEN""


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013 Jana' na Nyuma unaweza kuona Mke wa Waziri Mkuu'Mama Pinda' natamani kuwaambia wasubiri Mama asogee Ubavuni mwa Waziri Mkuu (kulia au kushotoni mwake hapa)na badala ya kukuwepo nyuma ya Mme wake bwanaaa'' Mbuta Nanga''Im so proud of nyie my dears Viongozi wetu''
Waziri mkuu na Wajumbe wake wawasili Shenzhen wakitoka Beijing akiwa kwenye ziara ya kikazi Nchini China''
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China'

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo. Na ukitizama Nyuma ya Waziri Mkuu utamuona Mama Pinda Mke wake nae yupo na Mme wake kama kawa 'I love that ' and also inasemekana nae alipewa mauwa ila Picha nziyo zimegoma kutushukia hum mitandaoni'' zikichuka popote mtazipata hapa hapa kwenye hii Blog yenu ya Maukwee'' Tuna watakieni yote yaliyo mema Viongozi wetu wema'' Stay Bless Always''

Fasta Fasta bwana 'Wengine mikono ina uma kwa kusubiri kumshika mkono Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda ' Hapa anasalimiana  Mikono kwa Mikono na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye Ubalozi wa Mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi Nchini China Oktoba 19, 2013 Jana 'Haya yote yanaonyesha Ushirikiano mzuri wa Nchi hizi mbili China na Tanzania ambao ni wakujivunia  hasa kwetu Sisi Watanzania'

Mazungumzo ya Waziri Mkuu yakiendelea watu waonekana wakimsikiliza kwa MAKINI''

Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu''

No comments:

Post a Comment