KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 22 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~ MATOKEO YA MPIRA WA JANA 'SIMBA NA YANGA 'ANGALIA VILE WATU WALIVYONOGEWA NA KUVUA HADI NGUO UWANJANI 'MBUTA NANGA ''

 HAPO KWAKEEEEEEE''ANGALIA MPIRA ULIVYO MNEGEA HUYU SHABIKI WA SIMBA ,HADI KUVUA NGUO HUKU KENGELE CHAKE KIKIBAKIA KIKINING'INIA'' MBUTA NANGA'' MABAO MATATU -MOJA SIYO MCHEZO //POLEENI WAHUSIKAAA''
KIMEELEKAJE SASA''''''''''''''POLENIIIIIIIIIII SANAAAAAAAAAA WAHUSIKAAAAAA''
 HAYA MWAULIZWENI SWALI .NADHANI JIBU MNALO''
 HAPA NDIYO WALIPOANZA KUINGIZA MAGOLI YAO KWA KUHESABU ''YANI MIMI NAKUMBUKA ZAMANI NILIPOKUWA BADO MDOGO KAKA ZANGU WALIKUWA WANASIKILIZA KWENYE REDIO ''BASI UTASIKIA,MTANGAZAJI HIVI>,Kadenge,Kadenge na mpira ,anakwenda,anapiga chenga,anakwenda na mpira ,anakwenda na mpiga anapiga chenga,Kadenge,Kadenge,Kadenge na Mpira''GOOOOOO'''LAAAA'''LA'LA'LA'''''' KIDOGO AINGIZE LAKINI KAKOSEA PAKUINGIZA NA KUJIKUTA AKIINGIZA KUSIKO TAKIKANA NA HAPO KUSABABISHA MIMI MTANGAZAJI KUBADLISHA GO''KWA LA'' MBUTA NANGA!!
 HATAREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE''MBUTA NANGA!!AN
AND THE WINNER IS................SIMBA ...............HONGERENI JAMANI 'ILA JUENI KWAMBA KUTESA NI KWA ZAM '' SO IPO ZAM YA WENGINE PIA ''KINJIANI '

No comments:

Post a Comment