KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday 10 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~ OPEN FEEDBACK OF TANZANIAN INDEPENDENCE CELEBRATIONS IN UK 07/12/2013 'WHATS A DISAPPOINTING FROM YOU OUR MHESHIMIWA PETER KALLAGHE BALOZI WETU WA UK '' WATANZANIA WENGI WAISHIO HAPA UK WANAPENDA KUJUA NI KWANINI UKACHUKUA JUKUM LAKUTOKUJA KUSHEREKEA NA WATANZANIA WENZAKO NA BADALA YAKE 'UKAHUDHURIA SHUGHULI ZINGINE WHICH SIYO ZA MUHIM KULIKO OUR TANZANIA INDEPENDENCE,AND IF YOU HAVE TO ATTEND' THEN UNGEHUDHURIA ZOTE,,ONE WAS MCHANA SIJUI ASUBUHI NA INGINE WAS JIONI !!HAPA NI MPANGO WAKUJIPANGA TU MHESHIMIWA BALOZI ''

FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
NDUGU ZANGU WATANZANIA POPOTE PALE MLIPO ,NATUMAINI HAMJAMBO NA MMEJIPANGA VYEMA KWA MAANDALIZI YA SIKU KUU YA CHRISTMAS''
I HOPE MTAELEWANA NA MIMI KUHUSU NILIOMUANDIKIA BALOZI WETU WA UK ''
  1. HARD TALK ~ YOU CAN COMMENT OR YOU CAN LIKE OR UNAWEZA KUSOMA KIMNYA KIMNYA''LAKINI MWISHO WA SIKU NISHASEMA'' NA USHASOMA'' FLORA LYIMO ALWAYS TELL YOU THE TRUTH '' SO I DO THINK FOR OUR MHESHIMIWA BALOZI WETU WA UK ''TO DECIDE NOT TO ATTEND THE TANZANIAN INDEPENDENCE CELEBRATIONS ON 07/12/2013 KUSHEREKEA NA WATANZANIA WENZAKE WAISHIO UK 'WAS A BAD ONE EVER '' YEYE NI BALOZI WETU NA HII SHEREHE I...LIKUWA NI YA MUHIM SANA YEYE KUHUDHURIA KAMA ANAVYOFANYA MIAKA HIYO ILOPITA 'HUWA ANASHIRIKI NASI ,NA HUWA KILA MWAKA HUFANYIKA HAPA UK NA KUHUDHURIA NA BALOZI MUHUSIKA AT THE TIME IN UK'''
    NOW IS YOU WATANZANIA NA VIONGOZI WA JUMUIA UK 'KUJIPANGA UPYA MAANA HII ISHAPITA SASA,'' HILI JAMBO MNALIONAJE '' AND WHY KUHUDHURIA MAMBO MENGINE MBALI NA YAMUHIM YA OUR TANZANIA INDEPENDENCE ? TUNAMPENDA NA TUNAMHESHIM SANA MHESHIMIWA BALOZI WETU OF NOW IN UK KAMA WENGINE WOTE NA VIONGOZI WETU WOTE PIA'' YANI I WAS SO DISAPPOINTED KWA KWELI ' WE NEED TO COME UP WITH A MKUTANO WA WATANZANIA WOTE UK NA KUYATATUA HAYA MAMBO '' BUT MIND YOU ''UNAWEZA KUHUDHURIA MIKUTANO YAO THEN YOU END UP BEEN RAPE LIKE MBUNGE WA ARUSHA GODBLES LEMA DID TO ME''HAWA NDIO BAADHI YA VIONGOZI WETU TANZANIA'' AND CCM WENYEWE WANAODAIWA KUNITUMA WAMENYAMAZA KIMNYA KAMA HAWASOMI MAGAZETI YA TANZANIA NA WALA BLOG YA FLORA LYIMO NA BLOG NYINGI ZA TANZANIA PIA'''YANI KUSEMA KWELI SITACHOKA KUWAAMBIENI UKWELI WENU MPAKA SIKU NITAKAYO KUFA'' DAADHI YA VIONGOZI WA CCM NI WANAFIKI WAKUBWA '' BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA NI WABAKAJI NA WATU WANAVURUGU VURUGU '' NISHASEMA YANGU NANYI SEMENI YENU ''KWA MATUSI MAPYA ONLY PLEASE..MAANA BAADHI YENU WATANZANIA WENGI KWA MATUSI NI HODARI SANA''' MBUTA NANGA!!

6 comments:

  1. Flora Lyimo upo juuu'yani hata mimi i was disappointed sana''watanzania tunaelekea kubaya na tunaangushwa na viongozi wetu'

    ReplyDelete
  2. flora dada yangu kuna vitu vingi sana hujui kuhusu hii shughuli 'pengine unatakiwa kumuuliza balozi kwanza.......but all in all'' nakupenda for your confidence ''wewe ni mfano mzuri kwa kina mama /dada wakitanzania hasa waishio uk''endelea kutuwakilisha dada''

    ReplyDelete
  3. peleka ujinga wako kule ,nyau wewe au nawewe unatafuta kupewa kazi ubalozini?wewe nani kwanza wakumpangia balozi aende wapi''jipanje tena ''

    ReplyDelete
  4. Flora nakupongeza kwa kupasua ukweli ni vizuri ubalozi uwe na utaratibu wa kuwajumuisha watanzania katika sikukuu za kitaifa kupitia Jumuiya ya watanzania ili kuepusha watu binafsi kuandaa shughuli zenye hadhi ya kitaifa. Naamini kama mtu binafsi anaweza kuandaa shughuli kama hii basi haitakuwa suala kubwa kwa ubalozi ambao unawakilisha nchi. Nadhani Flora umetoa changamoto kwetu watanzania wote hapa Uingereza na pia kwa serikali na ubalozi. Ubalozi ujipange na ushike nafasi ya kuongoza shighuli hizi muhimu.

    ReplyDelete
  5. umetoa maneno mdomoni mwangu Flora Lyimo 'unahitaji kuzawadiwa kwa kweli 'you are STAR NA UPO JUU KAMA NYOTA MDADA''' lets hope wataitisha huo MKUTANO VERY SOON babla ya MUUNGANO DAY'' mdau hapo juu umesema kweli kabisa UBALOZI UJIPANGE NA USHIKE NAFASI YA KUONGOZA SHUGHULI HIZI MUHIMU'

    ReplyDelete
  6. well done flora, sema kweli ndo dawa ya kutatua matatizo

    ReplyDelete