KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 12 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~ TUMETOKA MBALI JAMANI ''HII INAWAHUSU SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA'' NO LIMIT FOR YOUR DREAM NA KAMA WEWE NI WAKUSHIKWA SHIKWA AU KUSHIKA SHIKA OVYO KWENYE MABAA ,SOMA HII''MBUTA NANGA!!

TUSISAHAU TULIKOTOKA'WENGI TUMEISHI HIVI NA BADO TUNAISHI HIVI LEO '

NDUGU ZANGU WATANZANIA ,LEO NIMEONA NIWAKUMBUSHENI NILIKOTOKA KWA HII PICHA'' YANI IMENIKUMBUSHAJE NILIKOANZIA ,I HOPE NINA KUKUMBUSHA MAISHA PENGINE SIKU MOJA USHAYAISHI PAMOJA NA SASA HIVI KUKUWEPO MAJUUA AU KUJALIWA NA UTAJIRI FULANI ' HAYA NI MAISHA AMBAYO SIKU MOJA NISHAYAISHI ' NA NIKAONA NIWAWEKEENI NANYI PIA MNAWEZA MKAWA PIA MSHAYAISHI HAYA MAISHA YA KUWA NA KACHUMBA CHAKO TENA UMEKIKODI MJINI HASWAA'NA HAPO NDIPO MAMBO YOTE' KITANDA,JIKO LAKO LA MKAA AU LA MAFUTA YA TAA. MEZA YAKO MOJA AMBAYO NDIYO YA KUWEKEA TV IKIWA UNAYO NA PIA KUWEKEA VYOMBO VYOTE PAMOJA NA CHAKULA .
KIUKWELI NAMSHUKURU MUNGU SIKUISHI MAISHA HAYA KWA MUDA MREFU KABLA SIJAANZA KUISHI MAHOTELINI NA MWISHO KABISA KUKODISHA NYUMBA YANGU YENYE ROOM MOJA ,CHOO,SEBULENI ,JIKONI NA CHUMBANI ' YANI ILIKUWA INA ROOM NNE, NA KWA HILO NAMSHUKURU MUNGU SANA NA VILE VILE NDIYO MAANA NAPENDA SANA KUANGALIA MAISHA YANGU YA KULE NILIKOTOKA BADALA YA KULE NINAKOELEKEA MAANA HATA HAKUNA ANAEKUJUA TUNAKOELEKEA'
KWAHIYO NIJAMBO LA MUHIM SANA KUWEZA KUPENDANA NA KUSAIDIANA PALE TUNAPOWEZA BADALA YA KUTAFUTIANA MAUGOMVI NA KUTILIANA MINUKSI KILA KUKIKUCHA'' HASA KUWAFUNDISHA WATU PALE WANAPOKOSEA' NA SIYO KISIRI SIRI FLORA LYIMO MIMI WAKIBANDIKA NA BANDUA''YANI ADHARANI ILI NA WENGINE WAJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA HAYO '
MARA NYINGI HUWA NAJIANGALIA MAISHA NINAYO ISHI HAPA ULAYA SASA HIVI ALAFU NASEMA MUNGU WANGU I DONT THINK THIS IS FLORA LYIMO MTOTO ALIYEZALIWA MOSHI VIJIJINI NA SASA HIVI YUPO ULAYA -LONDON MJI MKUU MPAKA NAWASIMAMIA WAZUNGU KUFANYA KAZI ? RUWA MANGI ''YANI SIWEZI KUMSHUKURU MUNGU ZAIDI '' NA ISITOSHE TUKUMBUKENI KWAMBA 'KATIKA MAISHA ,KUNA BAHATI ZAKE NA HIZO BAHATI KILA MMOJA WETU ANAZIPATA KWA MGAO''
KWA MFANO ..MIMI NAWEZA KUSEMA NINA BAHATI YA KUISHI MAISHA MAZURI YENYE AFYA NJEMA NA YENYE KUJAA UPENDO TELE '' NA HIYO NI BAHATI AMBAYO NINAMSHUKURU MUNGU SANA MNO KWA KUWEZA KUNIPA HIYO BAHATI ''
WENGINE MNABAHATI ZA KUOLEWA KILA BAADA YA MIAKA KADHAA UNASIKIA KAACHIKA NA SASA ANAOLEWA TENA NA ANAWATOTO SITA AU NANE'' YANI BAHATI YA HUYU NI KUOLEWA OLEWA NA KUZAA ZAAA FASTA FASTA'' HIYO PIA NI BAHATI YAO NA WANATAKIWA WALIFAHAM HILI ,MAANA KUNA WENGINE HAWAJA WAHI KUOLEWA NA WANATAMANI SANA KUOLEWA KIHALALI KAMA FLORA LYIMO HUKU ''NA VILE VILE TUKUMBUKENI KILA MTU PIA ANA NDOTO ZAKE ON TOP OF BAHATI ZAKE'' YANI MIMI NDOTO YANGU NI KUOLEWA KIHALALI NA HARUSI YANGU IWE NINAVYOPENDA MIMI NA MME WANGU HUYO MTARAJIWA '' NA SIYO KAMA YA FULANI AU YA FULANI ''NO''..IWE YANGU NA MME WANGU '' YANI TUPENDAVYO SISI NA WATU WENGINE WAKIITIZAMA PIA WASEME ARUSI YA FLORA LYIMO KAMA ARUSI YA FLORA LYIMO NA SIYO KAMA YA KINA YAHAYA'' RUWA MANGI ''
 YES MY DEARS ''OTENI SANA NAMJUE KUFUATILIA NDOTO ZENU PIA''HASA PALE USIPOJIVURUGA'SIYO USEME UNATAKA UOLEWE ALAFU HUKU WEWE NI KICHECHE NA HUWEZI KUTULIA SIKU MOJA KAMA HUJAKUTWA UKIITWA MBEBE BEBE KWENYE MABAA NA HUKU UNAKUMBATIWA KUMBATIWA HOVYO NA KINA YAHAYA''NIKIIMANISHA WALE WANAUME SIKU ZOTE WAPO KWENYE MABAA WANAWINDA STAR'S SIJUI MABEBE WAKAREEZ SIJUI KINA MUKE YA TAJIRI MKUBWA TANZANIA/DUNIAN , SIJUI MWANAUME MAARUFU IN BONGO ''JIULIZE HILI IKIWA WEWE NDIYO MTAFUTAJI WA MASTAR NA MATAJIRI HAO ? WEWE MBONA USIFANYE YAKO NA UKATAFUTWA NA KINA YAHAYA KAMA UNAVYOWATAFUTA WEWE'' AGAIN NARUDIA TENA ZINGATIA NDOTO ZAKO NA ZIFUATILIE NGAZI KWA NGZI''BILA HIVYO  YANI UTAKUWA HAPO UNAIHARIBU NDOTO YAKO YAKUOLEWA NA ARUSI YAKO YA KIAINA YAKO''USIKUBALI MIJITU KINA YAHAYA KUKUSHIKA SHIKA OVYO NA KURUSHA RUSHA PICHA ZAKO MITANDAONI UPO NAO UPO NAO ''KILA MTU ANA WIVU NA ANAYEKUTAKA PIA LAZIMA ANA MACHO NA ANAONA KINA YAHAYA WANAVYOJIVUNIA WASOYAPANDA'' TAFUTA WAKO WAKUJIVUNIA NA WAKUPANDA NAE PAMOJO MAVUNO YANU MLE PAMOJA '' ZINGATIA HAYO NDIYO MAMBO AMBAYO HUSABABISHA NDOTO ZAKO ZAKUOLEWA KUISHIA KUWA NDOTO ZISIZOKUWA NA MAANA YOYOTE''FUATILIA NDOTO ZAKO NA JUA KWAMBA NO LIMIT FOR YOUR DREAMS''
ANYWAY 'TUENDELEE KIDOGO NA BAHATI '' YES BAHATI ZIPO KWA MAFUNGU NA HUWA MAFUNGU HAYO YAPO SABA TUU'' UKIZINGATIA YA MAANA NDANI YA HAYO SABA NI (1) UBATIZO (2)KOMUNYO(3)KIPAIMARA (4) NDOA (5)KIFO' MNAONA HAYO NI BAADHI YA BAHATI AMBAZO SIYO WENGI HUBAHATIKA KUZIPATA KAMA IPASWAVYO 'KUNA WENGINE HUZALIWA NA KUFARIKI 'BAHATI MBAYA HATA UBATIZO HAWAKUUONA ,,HOPE MPAKA HAPO USHANISOMA NA KUNIPATA VIZURI '
TUKIENDELEA NA MBILI ZILIZOBAKIA KUKAMISHA BAHATI MAFUNGU SABA NI KAMA YAFUATAYO '(6) WATOTO (7) WAJUKUU''
KUNA WENGI AMBAO HUKOSA HIYO BAHATI YA MWISHO YA SABA NA KUFA BILA HATA KUWAONA WAJUKUU WAO NA HUKU WAMEKUFA WAKIWA NA MIAKA HATA 90' HIYO HAIKUWA BAHATI YAO NA KAMA HUJAIPANGIWA UTASUBIRI SANA HADI HATA KIFO WEWE BADO ULIKUWA UNASUBIRIA BAHATI YAKO FULANI '' KWA HIYO MY DEARS TUZIZINGATIENI NDOTO ZETU NA KWENYE BAHATI ZAKE 'USIPATE KITU FULANI BASI WEWE UKAJIRIKINGISHIA KWA WENZAKO NA KUONA NDIYO THE MWANZO NA MWISHO ''YANI KUMBUKA ULICHO NACHO WEWE KUNA ALICHO NA AMBACHO HUNA NA UNAKISUBIRIA KIBAHATI '''KWAHIYO CHA MUHIMU NI KUMSHUKURU MUNGU NA KUSAIDIA WENZIO WAWEZE KUZITIMIZA NDOTO ZAO KIBAHATI PIA'' NA TENA KABISA HATA UKIMSAIDIA HUWEZI KUMPA HIYO BAHATI, HIYO BAHATI ATAKAE MPA NI MUNGU PEKE YAKE'' WEWE MSAIDIE KWA PALE UNAPOWEZA LAKINI KWA MFANO HUWEZI KUMSAIDIA MWENZIO ETI APATE MME  /MKE MZURI AMBAE YEYE MWENYEWE ATAMKUBALIA NA KUJIRINGISHIA KWAMBA KAPATA BAHATI '' AU MTOTO /WATOTO 'HAYO HUPANGWA KIBAHATI NA MUNGU PEKE YAKE''
MIMI BINAUSI HUONA KWAMBA WANAUME /WANAWAKE AMBAO HUPEWA KWA MFANO WEWE RARIKI YAKO AKUTAFUTIE MCHUMBA AU FAMILIA AU MTU YOYOTE AKUTAFUTIE MCHUMBA HUYO ''AU MSHAZISIKIA ZILE ZA ARRANGED MARRIAGE, YANI HIZO MIMI SIKUBALIANI NAZO KABISA ,BORA NIKAE MAISHA NIKISUBIRIA WANGU MWENYEWE KIBAHATI '' UNATAKIWA MTAFUTANE WENYEWE ,MKUTANE WENEYWE NA MKUBALIANE WENYEWE'' TRUST ME MY DEARS ''NISHAPITIA HUKO AMBAPO MTU ATAKUAMBIA MANZEEE'KUNA MKAKA FULANI YUPO POWA RAFIKI YANGU YANI HUYO ATAKUFAA KABISA'MWENYEWE MKIMNYA KAKA POWA AJABU HANAGA MAMBO MENGI ''
SO WEWE UKAPATWA NA HAMAKI MAHAM HAM YANAKUJAA HADI HUWEZI KUKAA DAKIKA BILA KUMUWAZA NA KUZITIZAMA PICHA ZAKE MAANA HAPO MPAKA FACEBOOK YAKE USHAPEWA TIYARI ''HUKU KAKA HUYO HANA HATA HABARI NA WEWE AU KAMA KUNA MDADA KESHAFIKSIWA KWAKE ,NA  CHAKUSHANGAZA NI KWAMBA UTAKAPO KWENDA KUKUTANA NAE HAPO NDIPO UTAJUA USUKE AU UNYOE NA MWISHO WA SIKU UTABAKIA UKIMLAUM ALIE KUFIKSIA '' YANI UNAMKUTA MDADA/MKAKA HANA LOLOTE LAKUKUFANYA HATA UCHEKE..SASA WEWE UNATAKA MME/MKE AMBAE SAAA ZOTE MNAKAA KAMA MMEFIWA? YANI USIKUBALIANE NA MAMBO YAKUPEWA MWANAMME/MKE  KAMA MKOPO ''WANAUME /WANAWAKE SIYO WAKUPEANA KAMA MKOPO ''
BASI UKIKUBALI WAKUPEWA JUA 'UTAJALIPA KWA KURUDISHA ULIKO MKOPESHEWA'' TAFUTA WAKO MWENYEWE AJE AU MTONGOZANE WENYEWE IKIWA NI FACEBOOK AU POPOTE''NA UKIMKUTA NI MKE WA MTU BASI YEYE AKAE AKIJIPANGA NA HUYO MKE /MPENZI WAKE ALOMUACHA HUKO 'NA SIKU ZOTE MWANAUME/MKE MTU MZIMA HAIBIWI''ALOKWENDA KUMTAFUTA AMBAE HAYUPO NA MME/MKE NDIYO MWENYE MAKOSA ''
 KIPARA MNYOENI HUYO HUYO'' MBUTA NANGA!!
HABARI NDIYO HIYO JAMANI HABARI YA MUJI MKUU WA UINGEREZA LONDON KWA FLORA LYIMO FASHION POLICE''
TUTAENDELEENI TENA NA MAPOCHOPOCHO HAYA YA UKWEE NA MENGINE  KAMA HAYA SIKU INGINE''FOLLOW THIS BLOG AND ALSO KNOW THAT YOU WILL GET 20% OFF ANYTHING ANYTIME AT FL DESIGNES&TRADES''
KARIBU''

No comments:

Post a Comment