KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 5 January 2014

BY:FLORA LYIMO ~THE BEAUT OF MISSY TEMEKE' JAMANI RAHA YA MTI WA CHRISTMAS NI WATOTO NA ZAWADI ZAO KAMA HUNA WATOTO 'NI BORA UFANYE KITANDA CHAKO MTI WA CHRISTMAS 'MBUTA NANGA!!

 HOW PRETTY IS SHE ?JUST LIKE HER MAMA MISSY TEMEKE'AND JUST TAKE A LOOK AT ZAWADI ZAO ZA XMAS 2013 'HONGERENI SANA KWA KUKUZA MISSY TEMEKE NA MUMEO ''BE BLESS ALWAYS NA FAMILIA YENU WAPENZI ''
 HAPA WAPOJE BUSY KUZIFUNGUA ZAWADI ZAO''
 WOOOOWWWW THANK YOU MAMA AND BABA!!
 JAMANI MISSY TEMEKE I WANT THIS ''UWIII INANIFAA SANA KWA KUZINYOOSHA NGUO ZANGU ZA BIASHARA''
 THE CUTE BOY  NA KITU YA KIMASAI ''CHEZEA MAMA YAKE MISSY TEMEKE THE DESIGNER OF KWETU FASHION WEWEEEE''


 MWAONA KAZI YAKE EEEE''YANI WANAFUNDISHWA IPASAVYO HASWAAA''WAKIWA WAKUBWA WANAJUA KILA KITU '' LOOOKKKKKKKKKKKKKK''THANK YOU MAMA AND BABA!!
 HAPA HUMUITI MTU AKAITIKA NA KUJA FASTA FASTA'' UWIII''MISSY TEMEKE UMEJIWASHIA MOTOOO''' HHAHAHHAAAA''


HABARI NDIYO HIYOO''JE WEWE UNA WATOTO ?NA ULIWEZA KUSHEREKEA VIZURI NA KUPIGA MAPICHA MOTO MOTO KAMA HAYA YA MISSY TEMEKE? BASI WEWE TUMA PICHA ZAKO KWA  flo1974@btinternet.com
Yani kama navyo ona Mimi hakunaga haja kabisa ya kuweka Mti wa Xmas at home wakati huna Watoto au Mtoto ''wewe fanya Kitanda chako Mti wa Xmas ikiwa hamna watoto 'yani Zawadi zenu mnazifungulia in Bed at Xmas day ''how Nice is that'' Yani mapenzi Tele Tele'' habari ndiyo hiyoo'nishakufunza Romantic Moja ya Xmas ''sasa Jipange for Xmas 2014'' Full marahaaaa in bed if you have no Children !!
Flora Lyimo Fashion Police ''

No comments:

Post a Comment