KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 9 February 2014

BY FLORA LYIMO:BREAKING NEWS 'NOW YOU CAN SEE ZILE PICHA MZEE YUSEFU ALOTAKA KUMNYANG'ANYA FLORA LYIMO CAMERA YAKE NA KUSEMA ATAIVUNJA IKIWA HATA ZIFUTA'ETI MAGAZETI YA BONGO YATAZIFAIDI KUUZA NEWS KWANI NINA DILI NAO'MBUTA NANGA'HII NI ALBUM (1) TWO TO COME''
 Hapa ni Flora Limo na Mzee Yusuf kabla hayajapampanda ...yani ni nomaa jamani endeleeni kutizama picha zina nogaje sasa ''na alizitaka nizifute sasa sifutiiiiiiiiiiiiii''chezea Flora Lyimo weweeeeeeeeeyeee''

 then tukaona yanamshinda tukaingia stagini ''chezea sie weweyeeeeeeeee'''


 hapo kwaooooooooooooooooooooo''chezea sie hapana kabisaaaaa''
 Haya weee'' you know what yani nilijiuliza how come Jestina hajaja a camera yake ? yani is like she knew what was going on about mzee yusuf not want photos kwa sababu anawivu na magazeti ya bongo kuuza ''and Jestina she even speak to me yani akiniambia niwapige picha wakaka fuani and i was like you know what i dont want drama now days ''so chukua camera yanggu wapige wewe''hahhaaa''kusema kweli was hard not to talk to her ,,Kanichekesha sana jana'she was just like we are on our happy days''tulicheka sana watu wakipigania kumkalia Mzee Yusuf 'wasichana kwa Wavulana'' yani hujui who was who '' basi mpango mzima ni makelele na masukumo hatariiiiiiii'' anyway life is too short maisha ni mafupi sana kuweka kinyongo moyoni ''' I do like her for vicheko vyetu na Yes Nishamsamehe na yeye Ithink she did too'' lets ishi maisha yetu kwa tupendavyo na Munu apendavyo '' Be  Bless Always my Friends''UPENDO MUHIM ''
 So ana nini wajameni ''yani he wasok and need help on that stage and here Flora Lyimo was there to help Him '' matokeo yake wivu ukampandaaaaaaaaaaa'' watu wa magazeti ya bongo wana dili na Flora Lyimo'' mbuta nanga'' i wish i was''' i think now i should'''what you think people''

 hahahahaa naakuambie yote my shostitamuuuuuuuuuuu''yani mpaka kielewekeeeee''mbuta nanga!! makaka walotulia hawakuwa na fujo na mtu '' Jestina knows that''' right!!


 I love this one..utadhania ni wanataarabu wote...and bila kumkosa Flora Lyimo hapo ''she was taking hizi picha mnazoziona now''

 my super Mrembo was there too''yani kapendezaje sasa'hata sikumjua but nice when wanakuja kujitambulisha kwangu maana Flora Lyimo Fashion Police wao wanamjuaje sasa'' Me love you so much Fun's zangu wote,na kumbukeni hata kama mmefanya kosa lazima niwarushe maana siwezi kupendelea mimi ni msema kweli bila kumpendelea mtu yoyote wala kitu chochote''HABARI NDIYO HIYO ,,MORE PHOTOS TO COME''DONT FORGET TO FOLLOW THIS BLOG SO USIPITWEEEE''

No comments:

Post a Comment