Sasa jamani kama ningemsema bila Picha mngesema namuonea,,Sasa muone huyo Dada hapa 'alifikiri anakwenda kuketi kibarazani kuwasumanga watu au alifikiria nini kwa kweli'' hilo lijinsi tena kama la Mwanaume Mchafu nilanini kwenye Red Carpet? Hivi mnajua nini maana ya Red Carpet? Mbuta Nanga' Alafu hivyo viatu usipime''AU NI MLEMAVU WA MIGUU) Basi mnaomfaham naomba mniambie ,na hata kama ''basi tuachane na Viatu ''Hapa angetakiwa avae Gauni tena lirefu mpaka chini hata hivyo viatu siyo lazima kuviona''
Ni wale wale'' yani dont ever wear majinsi kwenye Red Carpet ''ni Njaaaaaaaa''I do think so ''nyie mlifika kujishibisha kwa Pilau na Mbege za bure'siyo Siri ninawaambieni LIVE''' Msikwende kuchafua shughuli muhim ''Sasa wewe angalia hawa hapa wote''
AVOID KABISA''IS NOT FOR RED CARPET''
AVOID KABISA''IS NOT FOR RED CARPET'' Huyu tena katutilia na mapozi ya nguvu utazania ndio kavaa lile BEST DRESS OF HII SHUGHULI KABISA'''hahhahaaa'' niache nifanya kazi yangu jamani ''yani sitachoka kuwaanikeni hapa LIVE'' lazima mtaacha kama hamtaacha mtachapishwaaaaa''
AVOID KABISA''IS NOT FOR RED CARPET''
AVOID KABISA''IS NOT FOR RED CARPET''
AVOID KABISA''IS NOT FOR RED CARPET''
AVOID KABISA''IS NOT FOR RED CARPET''
Red Carpet Dress zinauzwa na your Flora Lyimo Fashion Police ''kama mnavyomuona hapa'' yani Mimi huwa kwa kweli ninajitahidi sana ili niweze kuwaona na Kina Mama/Dada wenzangu kufanya kweli hasa mliopo huko Nyumbani Tanzania'' Tena nawatumieni vitu vya mitoko kwa bei powa'' nyie msisite kunitafuta whatsapp +44 7787471024 hata unaweza kunipigia sim ''
Mwaona eee'' yani tizama picha ya chini nakuonyesha rangi ambazo hili gauni linakuja kwa rangi Tisa'' na pia tuna mitindo ya aina nyinggi na pia hizi zinafaa kwa hape zote''
Mwaziona eeee'Rangi ndizo hizoooo''chagua Rangi yako tutafute na in siku kumi za kufanya kazi utapata mzigo wako ''
Flora Lyimo kwenye Red Carpet ya The Tanzanian Super Star Didas Turabi' nadhani wengi mnamfaham anavyojituma hasa kuwa SUPPORT Mastar na Vile vile WATANZANIA WOTE WAFANYAO KWELI KUJISHUGHULISHA NA SIO WALE WAKAAO VIBARAZANI NA KWENYE MABAA KUWASIMANGA WATU NA KUPIGIANA SIM WASIHUDHURIE SHUGHULI ZA WENZAO'' Wagonjwa haooooo''tuwapelekeni Hospital 'pengine hata Hospital hawakufaham'' Mbuta Nanga''wacha Kazi ziendeleeeeeeee''
Hahhahaaaaa' Vicheko vyao hivyoooo''wenye Wivu na mafanikio ya wenzao wasiolala wakiyasaka maendeleo na maminoti ,na bila kuwasahau wale waendao kwenye shughuli za watu kuchafua''halooooo''wapi wale hodari wa vikaputula kwenye interview ? Mbuta Nanga!! ..Hakuna Maendeleo ya Mtu yoyote kama siyo Kufanya kweli jamani kaeni mkilijua hilo, Fanya kweli ukitumia haya'Kusema kweli na kusimama Imara, kutokuogopa kusema yote 'Ukitumia LUGHA MOJA'' UKWELI''
Haya basi my dears'' I think nimekwisha wapeni Ukweli wa hawa wenzetu waliokwenda kujishibisha matumbo yao badala ya kuzingatia shughuli hii ya Juzi ya WOMEN'S CELEBRATION''hasa Kimavaazi ZAIDI'' Kina Mama/Dada tuvaeni magauni zaidi''tunapendeza na kuonekana kwenye mistari ya Mbele kama kule HOLLYWOOD KWENYEWE'' Wasingejulikana Ulimwenguni ikiwa wangekuwa wanavaa Uchafu kama huo uliovaliwa na hao baadhi nilowarusha hapa'' eti wanajaribu kusema walikwenda kwenye Red Carpet''au ndiyo wale hutoroka makwao na kudanganya wanakwenda kwa jirani''' hahahhaaa'' sasa jueni mshanaswa na Flora Lyimo Fashion Police ''hapa kuna watembeleaji wa hii Blog zaidi ya Elfu ishirini kwa Siku ''hasa inapotegemea na wakati nimerusha habari HOT'' Kama HII''sasa leo hata kuposti nitashindwa kwa idadi ya watakao miminika hum ''kuja kuwaona wachafuaji SUGU'' Mbuta nanga'' habari ya Mujini ndiyo hiyoo''
Now follow this Blog ' Ili usipitwe na waliofanya kweli kwenye hii Red Carpet ya Women's Celebration'
Coming soon''
Flora Lyimo Fashion Police Blog
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK

KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mbuta nanga''wewe ni noumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa'''
ReplyDeleteMy Flora Lyimo Fashion Police wa Ukwee'' Wacha nikufahamishe na Umbea juu''
ReplyDeleteHuyoo Hadija Mwanamboka ni Mlemavu ndo maana anavaa vile kujificha ulemavu wake, Pili'' Ni maarufu sana hapa Bongo ni Mbunifu wa mavaazi,ila mmh''vaaji yake mie inaniachaga hoi na wanasema msagaji shamim alikuwa mtu wake
na wewe noma'kitochi chako inamulika loh'' Blog yako ndo kitochi kinatujuza mambo kibao.
ReplyDeleteHello dear I hope your well nilikuwa nakujulisha mzigo nimeupata na nimeupenda sana thanks very much
ReplyDeletejaman frolaa huyo wa kwanza ni ,lemavu wa mguu ndo mana anavaa suruali kubwa na hivyo viatu hana size wanasema mguu wake una kama matende ni mkubwa kupitilizaa..nilitaka kukujuza tuu
ReplyDeleteHi wapenzi wangu 'natumaini hamjambo na asanteni sana kwa wale wote mlio nipigia sim,whatsapp na kuni inbox facebook bila kuwasahau nyie nyota za Flora Lyimo Fashion Police Blog'
ReplyDeleteSasa hi hivi 'Jamani Mimi wala sikuwa namfaham huyo Dada'' Ila sasa nimemfaham na vile vile kugundua ulemavu wake kutoka kwenu,,,ILA MIMI SINA SHINDA NA HILO '' MIMI NILIKUWA NA MSHAURI ALICHOKIVAA KWENYE RED CARPET NI PASIVYO KABISA'' KWANINI ASIVAE GAUNI REFU MPAKA CHINI? KAMA NDIYO KUTAKA KUFUNIKA ULEMAVU WAKE? Nothing wrong with that'' whats is wrong with her is 'alituvalia nini kwenye hiyo red carpet..na je anajua nini maana ya red carpet'' ASIJITETEE KWA KUSINGIZIA ULEMAVU''' SHE NEED TO WEAR LONG DRESS'' SAWA MAMIIIIIIII''MBUTA NANGA!!