And Yes Flora Lyimo Fashion Police lazima azinase Picha '' Mbuta Nanga!!
Mambo Tiyariiiiiiiiii''sasa mwaona tabasam la Shemeji yetu' yani kweli anaturingiaje sasa''chezea mpata chake Ubaki ukiziona namba za Kila mwaka''hahhahaa'We love it'' |
Jamani I just Mpenda huyu Dada mwenye Blue Nairobi Dress aka Blue Moshi Dress 'Yani her smile make me feel happy sijui kwanini'' keep that Hot Smile on at all the time my darling'' kuna wengi kucheka kwao ni bahati mbaya''' huwa hawajui kwamba ni jambo jema sana kucheka na kuyafurahia maisha ''hasa Ukiwa kwenye maisha Mema ya ndoa '' Stay Bless ''
Mtajuaje Likoje Nyuma'' haya wakuiga igeni Nyuma na Mbele pia''mbuta nanga!!
Hapa kwaooooooooooo''Jamani Flora Lyimo Fashion Police'' Kasema hivii'' follow this Blog ili usipitwe na waliochafua kwenye hii Harusi yetu'' yani ikiwa hawajanunua Kitenge chao na kushonesha na vyenyewe vinavyopatikana kwa bei powa ,Basi waandike wameziona namba Mwaka hawajauona na wala hii Harusi' kwa kifupi Vitenge kama hivi hapa vyote vya patikana at Flora Lyimo Designs &Trades' Also come in Rangi Tatu'' whatsapp +44 7787471024 ' KARIBUNI NA MADADAS KUSEMA KWELI MMEPENDEZA NA KUONYESHA UMOJA NA UPENDO''
No comments:
Post a Comment