KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 18 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ WASTARA JUMA THE SUPER STAR WA BONGO MOVIE AMWAGIWA DRINK FULL KIKOMBE KWENYE DIAMOND &DIMPOZ LONDON SHOW'' ONA PICHA ZAKE HAPA HADI HURUMA''


 Wastara akiwa ananionyesha alivyolowa yani Top yote ilikuwa nikama kanyeshewa vile'' And this song of Diamond nataka kulewa ndio uliosababisha '' Mbuta Nanga'' Pole sana my Super Star wetu wa ukwee''

Wastara akinionyesha Alivyolowa ,huku huyu Dem kainama chini anajidai kalewaaa''Kumbe kuna walevi zaidi yake na wakumlisha mateke yale aliyolishwa Jay Z''Mbuta Nanga''
 Maskini Wastara hapa alikuwa karibu kulia'' Huyo msichana nyuma yake mwenye jacket jeupe ndie alie mmwagilia kinywaji  chake kilichokuwa kimejaa Kikombe kikubwa ''Wastara alikuwa anakunywa kasimama hapo hapo aliposimama'mara Diamond alipoanza kuimba live wimbo wake wa nataka kulewa leo'' ndiyo huyu Dem zikamtibuka na kujifanya kalewa huku akiwasukuma watu na chupa yake ya bia mkononi ,huyu nami pia alinipiga kikumbo na mimi karibu nianguke ila thanks God nilikuwa nimesimama Imara na bila kulewa maana leo nilikuwepo hapa kikazi zangu zaidi na camera yangu kubwa'' Huyo Dem akaenda  zake jukwani kucheza na Diamond ,Wastara ndiyo kanionyesha alivyolowa na alivyokuwa anatia huruma,Nilikwenda pale jukwaani na kumvuta yule Dem na kumuambia unajua huyu ulomwagilia Drink ni Big star wa Tanzania Movie''??'' Kwanini unajifanya umelewa kumwagilia watu vinywaji vyao ' nitakulewesha vizuri ili ujue Ulevi unavyokuwa na usituletee ujinga wako hapa'' Basi akawa mpole na kumuomba msamaha Wastara kama mnavyo waona hapo''wote waliishia kuwa na huzuni ''maana kama siyo kuomba msamaha hadi anataka kumpigia magoti ''angejuta leo kuja hii Show'' But bahati yake pia nisha apa sitaki kupigana na Watu tena'' Yani ni hasara tupu ''hakuna faida yoyote'
 Dem yuma ya Wastara bado hapo alikuwa anaomba msamaha''na Wastara kulia kabla ya kumwagiliwa kinywaji hicho 'aonekana wafuraha kama kawaida and akifurahia show''Huku Dem huyu pia akionekana akijilewea bia yake'' And unaona alivyopenda Wastara hizo Nywele ni by:Flora Lyimo Designs&Trades' mwanamke Nywele na siku izi kubadilisha nywele kila mtoko ndiyo the talk of mujini'' whatsapp +447787471024 get your Dream Hair now''and Shiny like the Super Star's ''

 Wastara akijipangusa kinywaji alichomwagiliwa'' Huku watu wakiwa wapo busy wanamtizama Diamond akiendelea kuimba wimbo wake huo wa nataka kulewa na huyu Dem hakurudi jukwani tena tangu nilipomshusha hapo kwa kumuuliza kwanini anajifanya kalewa na kumwagilia watu vinywaji vyao ''Yani kwa kifupi hujawanunulia ndiyo uwamwagilie''
 Wote wakionekana kwenye Huzuni baada ya huyu Dem kugundua Wastara she is a Big celebrity in Tanzania'' Kweli aliogopa sana maana hapa alianza kujiuliza maswali mengi sana''what if ,what if ''FFU wake wakijitokeza hapa''and Yes Flora Lyimo ni one of her FFU here in Uk ''chezeaaaa Uniambie nyoka anamiguu mingapi lol''
Wastara my Darling poleeee'ndiyo mambo ya Nataka kulewa na Diamond hayo Dem achizikaaaa'' hahhaaa'
But alikuwa anabahati sana kaomba msamaha vizuri ''La sivyo ''sijui ingekuwaje ''Habari ndiyo hiyoo''
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

1 comment:

  1. Good Job Flora Lyimo 'mpe pole Wastara''

    ReplyDelete