KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 9 June 2014

BY FLORA LYIMO ~ MATOKEO YA KWENYE ARUSI YA ABBA &KOIYA'S WEDDING RECEPTION OF 7.06.2014 'AMBAYO DRESS CODE HAIJAJIFICHA NI ORANGE AND WHITE INATAWALA UKUMBINI 'SASA USIKOSE KUWAONA WALE WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULI ZA WATU''MBUTA NANGA!!

MAHARUSI MWAWAONA NA DRESS CODE YAO EEE'' HONGERENI SANA MR &MRS ABBA NDEZE'' MUNGU AIBARIKI NDOA YENU''


WATOTO WALIVYOPENDEZA MWAWAONA EEE'' 

MAMBO NDIYO KAMA HIVI''THE DRESS CODE''HAIJIFICHIIII'''
WAMEPENDEZAJE''HONGERENI SANA MR &MRS ABBA NDEZE'' MUNGU AIBARIKI NDOA YENU ''
FLORA LYIMO FASHION POLICE 'KWA SASA HANA LAKUSEMA 'JAMANI NIMEWAACHIENI NYIE MTIZAME PICHA ALAFU MSEME WENYEWE'' NADHANI MNA MACHO NA MNAONA'' 
PICHA ZOTE BY:JESTINA 'THANKS KWA KUZIPEPERUSHA ''SASA WACHA UCHAMBUAJI UENDELEEE''MBUTA NANGA!

3 comments:

  1. Hahahhahaaaaa''wacha nicheke mie''SASA NAWAAMBIENI HIVI''COMMENTS ZA MATUSI HAPA HAMTOZIONA''' NA NADHANI WENGI WENU MNAJUA MAGAUNI YA HARUSINI YAPO YAPO JE'' SASA HATA IKIWA MLIALIKWA NA HAMKUAMBIWA MVAE DRESS CODE 'SI MNGEVAA KIHARUSINI BASI''AU UNATAKA KUJITETEA KWASABABU NDIE ULIE CHAFUA EEE'' WENYE MACHO WANAONA ''SO MIE YANGU MACHO NA NISHAONA''BUT SIJAANZA KUWACHAMBUENI BADO....SUBIRINI NIWATOE WALE WALIOCHAFUA'' COMING SOON....

    ReplyDelete
  2. hebu tuwekee waliochafua mama sie hatuwezi mambo ya fashion police'' flora lyimo upo juu'aminiaaaa''

    ReplyDelete
  3. ila jestina kapendeza flora lyimo usije mtoa kachafua ''

    ReplyDelete