HEBU MSIKILIZENI HAPA'' KWELI WANAWAKE WENZANGU JIFUNZENI KUTOKA KWA HUYU MWANAMKE MWENZETU'''MSIOGOPE KABISA KUACHIKA'' TENA WASTAKINI KABISA IKIWA NI WAUME WENU WA NDOA ,KABLA HAMJAWANYIMA SEX NA KUANZA KUBAKA HATA NA WATOTO WENU'' JUENI SEX IS ALL ABOUT MME NA MKE'' NA UNAPOOLEWA SIYO BASI '' UNAANZA KUMPANGIA'' NA KUJIFANYA UMESHAPANDA MTU NA KUMEA'' JUA HATA UNAWEZA KUMEA NA KUZAA MATUNDA FRSH NA MWISHO WA SIKU UKAANZA KUSINYAA NA MWISHO KUANGAMIA KABISA'' MBUTA NANGA'' WANAUME NA WANAWAKE PENDANENI KAMA MLIVYOPENDANA KABLA YA NDOA ZENU''
MUNGU WANGU ''PICHANI HAPA NI MR &MRS MBASHA''
FLORA WAJINA WANGU 'POLE SANA'' ILA DADA YANGU ULIKUWA UNAOGOPA KUACHWA ? KWANINI UKAWA UNAYAFICHA MAUGOMVI YENU MPAKA HADI MSICHANA WA WATU MDOGO AJE KUBAKWA ? YANI SINA HATA LA KUONGEZEA ILA UMESEMA YOTE NA MENGI NAJUA YAPO NJIANI''HOPE MSICHANA WA WATU YUPO OK'' SO SAD''WHY NA POLICE WAMECHUKUA MUDA MREFU BILA KUMPANDISHA KIZIMBANI HUYU KITOMBI TOMBI NA MBAKAJI WA WASICHANA WADOGO'' NA AFUNGWE MAISHA NA VIBOKO 24'' ANYWAY ''SOMENI HAPA CHINI '' IM JUST FEELING BAD SO BAD OVER THIS'''
Na Mwene Said,MUNGU WANGU ''PICHANI HAPA NI MR &MRS MBASHA''
FLORA WAJINA WANGU 'POLE SANA'' ILA DADA YANGU ULIKUWA UNAOGOPA KUACHWA ? KWANINI UKAWA UNAYAFICHA MAUGOMVI YENU MPAKA HADI MSICHANA WA WATU MDOGO AJE KUBAKWA ? YANI SINA HATA LA KUONGEZEA ILA UMESEMA YOTE NA MENGI NAJUA YAPO NJIANI''HOPE MSICHANA WA WATU YUPO OK'' SO SAD''WHY NA POLICE WAMECHUKUA MUDA MREFU BILA KUMPANDISHA KIZIMBANI HUYU KITOMBI TOMBI NA MBAKAJI WA WASICHANA WADOGO'' NA AFUNGWE MAISHA NA VIBOKO 24'' ANYWAY ''SOMENI HAPA CHINI '' IM JUST FEELING BAD SO BAD OVER THIS'''
MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha (pichani wakiwa, amefikishwa katika Maha kwenye shughuli zao siku za nyuma) kama ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo ya ubakaji.
Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwimbaji alisomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Wilberforce Luago.
Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mawili maeneo ya Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam.
Katuga alidai katika shitaka la kwanza kuwa, Mei 23, mwaka huu eneo la Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria huku akijua ni kosa alimuingilia kwa nguvu msichana anayedaiwa kuwa shemeji yake (jina limehifadhiwa).
Katika shtaka la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25, mwaka huu eneo la Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria, mshtakiwa aliumuingilia kwa nguvu mfanyakazi wake (jina limehifadhiwa).
Hata hivyo, mshtakiwa alikana mashitaka hayo .
HEBU SUBIRI KIDOGO!!
HABARI HII HUKO ILIKOTOKEA SIJAELEWA KABISA KILICHOANDIKWA HAPA NI KWAMBA SASA ANADAIWA KUWABAKA WASICHANA (WAWILI ?)SHEMEJI YAKE EMMANUEL NA PIA MSICHANA WAO WA KAZI ? UWIII ''KWELI NINGEPENDA KUFUATILIA ZAIDI HICHI KESI AISEE BADO SIJAELEWA ''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

No comments:
Post a Comment