KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 26 July 2014

WHATS ON ? NI VIZURI WATU WAKIFUNGUKA LIVE'' MSIKILIZE ROSE NDAUKA HAPA'' URAFIKI WA MAKUNDI MAKUNDI KWAKE NI MAJUNGU TU''

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka. Afunguka  na kujiweka kivyake vyake' Rose Ndauka ameweka wazi kwamba kinachomfanya aishi vizuri na wenzake ni kutoendekeza makundi. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti moja  Rose alisema anampenda na atampenda mtu yeyote atakayekuwa tayari kuwa na urafiki naye kwa sababu hiyo ndiyo staili yake ambayo inamfanya hata wanaomchukia katika makundi hayo wampende.“Nampenda kila mtu na nipo tayari kuwa na urafiki na mtu yeyote atakayekuwa tayari kuwa karibu na mimi, makundi hayana maana kabisa zaidi ya majungu tu,” alisema Rose.

Habari ndiyo hiyo thanks kwa mpeperushaji 

'Flora Lyimo Fashion Police Blog'

No comments:

Post a Comment