KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 14 August 2014

WHATS ON ? BREAKING NEWS '' THE TANZANIAN SUPER STAR KING DIAMOND PLATNUMZ AWAKOMESHA TEAM WEMA WOTE PAMOJA NA KUMUAMBIA WEMA ADHARANI APUNGUZE MASHOGA WAPENDA ANASA NA WEMA APUNGUZE STARAEHE ZISIZO NA FAIDA'' AISEE LEO DIAMOND KAWA MZUNGU BRITISH SAFI SANA'' HEBU INGIENI HAPA KUMSOMA ZAIDI ''MBUTA NANGA!!

 IS ABOUT THE TIME NOW KILA MTU Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii'''''MWANAUME ANAONGEA'''' ASANTE KWA KUCHANGIA MANENO YANGU DIAMOND'' YANI HAKUNA CHA FAKE FRIENDS NA UPUMBAVU '''NI MWENDO WA KUAMUA KUSUKA AU KUNYOA KIPARA WEMA'' WACHANA NA HAO FAKE FRIENDS'' KUWA NA YOUR MAN DIAMOND NA FAMILIA ZENU  PANDE ZOTE MBILI 'CHAPA KAZI NA DIAMOND ATAKUWA NYUMA YAKO '' KWELI KABISA HATA MIMI DADA YENU FLORA LYIMO NILISHALIGUNDUA HILO ''YANI HAKUNA MARAFIKI ''FEKIFEKI ''NI WABAYA MNO ''NIWANAFIKI AMBAO HATA UKIWAPIGIA SIM UNA SHIDA HUWEZI WAONA WATAJIFANYA WATAKUPIGIA BACK AND YOU WILL NEVER HEAR FROM THEM ''HAO NDIYO UTAWAITA MARAFIKI NA KUZUNGUKA NAO HUKU UKIWA UNA VAA NAO MPAKA ZILE SARE ZAKO'''IM SO GLAD DIAMOND KANISIKILIZA'' IM SO PROUD OF YOU DIAMOND''NA WEWE WEMA SASA JIPANGE UPYA MY DARLING''' BLESS NYIE ALWAYS NA WACHA KAZI ZIENDELEE MDOGO MDOGO ''

Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe... Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi.... Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng'ombe wake Kwenye Maji safi....ila yeye ng'ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!! Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi zako kwanza!... leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!....Mxieeeeeeeew!emoji Kama nimekuchefua Lamba ndimu Usitapikeemoji

Haya yote yamekuja baada ya Wema kujirusha stejini kama dancer wa Diamond kichafu chafu na pia team Wema kumlaumu sana Diamond na kumshtumu kwamba ndiye anae changia Wema kushuka. 

HABARI NDIYO HIYOOOOOOOOOO'''SASA MSHAAMBIWA IKIWA UMECHEFULIWA ''LAMBA NDIM USITAAPIKE''ILA MIMI NASEMA HIVIIII''TAAPIKAAAAAAAAA''UTAKOMA KUJIFANYA WAPENDA MWENZIO KULIKO UNAVYOJIPENDA WEWE'' YANI MWENZAKO ANALALA USINGIZI MZITO AKIBEMBELEZWA APATE USINGIZI ''WEWE UNA PIGA DEBE MITANDAONI NA KUFUNGUA ACCOUNT FAKE''KISA UNATUKANA WANAOSEMA KWELI '' KUDAGAAMBICHII''TAAPIKENI SANA TENA SASA NDIYO MTAKUFA KWA KUTAAPIKA''DIAMOND KESHA ONGEA NA KAMALIZA''' TEAM VIKO SIJUI TEAM UMA'' MKOMEEEEEEEEEEEEE''''MBUTA NANGA!!
Follow Flora Lyimo she is in Instagram kama>floralyimofashionpoliceblog

4 comments:

 1. Kimenukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''mimi shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii''''Diamond is talking''' bwana anazungumza''Flora Lyimo upo juuuuuuuuuuuuu'''mbuta nanga'''

  ReplyDelete
 2. Wacha diamond ampe ukweli wema apunguze mashosti wasio na kazi. Kutwa starehe

  ReplyDelete
 3. Kama wema hajui kujituma awasiliane na MBUTA NANGA FLORA ampe mbinu za biashara, Chezea mchaga wee

  ReplyDelete
 4. MBUTA NANGA yamekuwa hayo tena na babee kwikwikwiiiiiiiii. Wema fanya yako mama acha kumganda mwanaume kalioni, fikiria jinsi ya kpata pesa umri unasonga. ni hayo tu.

  ReplyDelete