KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 16 August 2014

WHATS ON ? FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 16/8/2014 IS AMY CHILDS THE RICHEST REALITY TV STAR TO COME OUT IN BRITAIN ..AKIWA KAVAA KIATU CHAKE CHA £12 FROM KIBOKO YAO PRIMARK SHOP ''MBUTA NANGA!!


Working gal: Amy Childs left the label on her Primark shoes when she stepped out on SaturdayWorking gal: Amy Childs left the label on her Primark shoes when she stepped out on Saturday
Working gal: Amy Childs left the label on her Primark shoes when she stepped out on Saturday''
She is known for being one of the richest reality TV stars to come out of Britain.
But Amy Childs is clearly careful with her millions and despite being able to afford clothes from anywhere, she can’t resist a bit of Primark!
The 25-year-old accidently left the label on the sole of her shoes when she headed to work on Saturday… revealing they cost just £12.
Working gal: Amy Childs left the label on her Primark shoes when she stepped out on SaturdayGreat value: Amy tried to take the label off her low-cost shoes
Great value: Mbuta Nanga'' Amy tried to take the label off her low-cost shoes'' Baada ya kustukiwa na rafiki yake kwamba paparazi wako nyuma na kiatu kinaonekana hajakitoa bei yake '' sasa Mdada ndiyo hapo hapo kastuka na kuanza kukivua 'huku hakujua ndiyo kawarahisishia kazi paparazi wenzangu'' Yani hapana chezea sie wasaka habari ''mtu upo tiyari kuacha safari yako na kuhakikisha unamfuata mtu huyo hadi umfotoe''hahhaaa'' Anyway ''my dears'' NISIWASIKIENI MWATURINGISHIA ETI UMEVAA NO FAKE ZONE SIJUI MANINI NINI'' IKIWA UMEJUA HUJA VAA FAKE AU UMEVAA KITU CHAKO CHA BEI POWA WEWE TUAMBIE TU ''SIYO KUTURINGISHIA ETI NO FAKE ..NO FEKERO ....Yani jueni mnajiumiza nyie wenyewe maana ikiwa kama mnavyo muona huyu mdada ni tajiri hata CL KUMI ANAWEZA KUNUNUA KWA SIKU MOJA''LAKINI MUONE HAPA ALIPO UMBUKA'' Yani angeulizwa hicho kiatu kakinunua wapi siyo ajabu angesema PRADA na watu tukamkubalia'' si mwakiona eee'na alivyo tajiri basi ''huwezi kabisa kubuni eti hicho kiatu chake ni cha Primark''' hahahhaa'''Primark Oyeeeeeeeeeee''upo juuuuu''Kiboko yao ''mimi nakuamini sana'' na nakuiga unavyofanya biashara zako sana''yani ipo siku itajikuta na Duka kubwa kama Primark na bei zake powa hatareee'' 
Habari ndiyo hiyoo''jamani mkinunua viatu toeni label zake'' mtajaumbuliwa bure''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

No comments:

Post a Comment