KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 14 August 2014

WHATS ON ? KENZO WA MANGE KIMAMBI FOR NIKE APATA MCHUMBA MODEL KAMA YEYE MWENYEWE NORTH WEST WA KIM KARDASHIAN MODELING FOR CR FASHION BOOK IN CHANEL ''MBUTA NANGA!!
 HAPA KENZO WA MANGE''AKIWA KAZINI TIYARI KWA PICHA'' KENZO FOR NIKE''' JAMANI MKIONA WATOTO WENU WANAFAA KITU FULANI WAPELEKENI HAMUWEZI JUA'' KWANI I DO THINK VITU VINGI HUPITA WATOTO WENGI KWA SABABU YA WAZAZI WAO KUTO KUFUATILIA NINI HASA WATOTO WAO WANAPENDA'' SO HATA KAMA MTOTO WAKO NI MKIMBIAJI ANAKIMBIA KIMBIA SAA ZOTE NDANI ''JUA HUYO ATAWEZA KUJA KUWA STAR MKIMBIAJI MKUBWA DUNIANI ''MPELEKE MAZOEZINI AANZE MAPEMA''MWISHO WA SIKU PIA ATAKAPO WEZA KUJIAMULIA MAISHA YAKE MWENYEWE NI POWA ILA UTAKUWA NA WEWE KAMA MZAZI USHAFANYA YAKO''
 KENZO WA MANGE '' WEARINGI SHOES FROM ZARA ,PANTS AND BELT FROM ZARA AND SHIRT FROM RALPH LAUREN ''
YANI MSIJESHANGAA MKAJA WAKUTA SIKU WAPO PAMOJA WAKIFANYA YAO NA SUPER STYLISH MWENZAKE BABY NORTH WEST WA KIM''

Never too early: North West makes her modelling debut clad in Chanel in the Fall issue of CR Fashion Book
SO FABULOUS PAMOJA JAMANI ''HADI RAHA ''YANI SIJUI NIKWANINI NILIPO ONA HII HABARI LEO SIKUPATA MTOTO MWINGINE ALIE NIJIA KICHWANI AMBAE NI MODEL PIA'' ONLY HUYU WA MANGE'' KENZO WETU KAPATA MCHUMBA''MBUTA NANGA''

Never too early: North West makes her modelling debut clad in Chanel in the Fall issue of CR Fashion Book

Never too early: North West makes her modelling debut clad in Chanel in the Fall issue of CR Fashion Book''
She is wearing a knitted Chanel jumper and a quilted bag by the fashion house rests against her little legs.
Next to the photo is a quote from the brand's creative director Karl Lagerfeld, which says: 'It is never too early to care about fashion.'
Nori, who has already appeared alongside her famous parents in Vogue, features in CR Fashion Book's Fall issue, which comes out on September 4.
Kim Kardashian and Kanye West's daughter may be just 13 months old, but she's already getting used to life in the spotlight.
North West has made her modelling debut in CR Fashion Book, and of course she's wearing Chanel.
The gorgeous image, which is in black and white, was revealed on Wednesday and shows the youngster looking off to the side.
Growing up in the spotlight: With Kanye West and Kim Kardashian as parents, North was always going to be a stylish child. The trio are pictured here in June on North's first birthday
WAZAZI WAZAA  FUTURE SUPER STARS MODEL'S Growing up in the spotlight: from left Wazazi wa North 'Kanye West and Kim Kardashian as parents, North was always going to be a stylish child.And like we always see post za Mange Kimambi in her Blog Always talk about how Kenzo love Photos''hata hivyo Kenzo kesha chaguliwa na NIKE kuwa model wao ' bila kusahau Mama yake Mwenyewe na Shangazi yake Flora Lyimo (mimi ) yani napenda kuitwa Shangazi jamani so nipo kwa upande wa  Mzungu 'Mbuta Nanga'' navyo penda Picha mie i think Mange namshinda kwa mapicha ''hahhaaa'' Kiukweli I LOVE PHOTO'S'' HATA KAMA SIYO ZANGU ZA WATU PIA'' I LOVE THEM AND NAWEZA KUZISOMA PICHA NIKAPATA KILA NINACHOKIHITAJI KUKIONGELEA''
Picha tumechota na kumimina kutoka DM and Blog ya Mange''
Follow me in Instagram :floralyimofashionpoliceblog
Pia follow this blog on the top mwanzoni kabisa penye sura za Followers wa blog hii wanaojiamini tiyari ''

No comments:

Post a Comment