KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 11 August 2014

WHATS ON ? KING DIAMOND AONGOZA WASANII WENZAKE KWENYE SERENGETI FIESTA 2014 MWANZA'' LINAH SANGA NA DIAMOND NDIO MKAA MOTO NA HINDI CHOMA''MBUTA NANGA!!

Msanii wa Bongo Flava, Linah Sanga (wa pili kushoto) na mkali wa muziki huo na mshindi wa tuzo ya AFRIMMA 2014, Diamond Platinum (kushoto) wakifanya vitu vyao katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' (kushoto), akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la Tamasha la Serengeti Fiesta…
Msanii wa Bongo Flava, Linah Sanga (wa pili kushoto) na mkali wa muziki huo na mshindi wa tuzo ya AFRIMMA 2014, Diamond Platinum (kushoto) wakifanya vitu vyao katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana.



Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' (kushoto), akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la Tamasha la Serengeti Fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza jana jioni. Serengeti Fiesta inadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young D, akifanya vitu vyake ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, jana wakati wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, lilipofanyika kwa mara ya kwanza mjini Mwanza jana.
Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue akikonga nyoyo za umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza katika Uwanja wa CCM Kirumba katika Tamasha la Serengeti Fiesta.
Wasanii wa kikundi cha Makamandoo wakiwa kazini wakati wa Tamasha la Serengeti Fiesta la mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza jana.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba wakati wa tamasha hilo.
Wasanii wa kundi la Tanikando Group kutoka Igoma, Mwanza nao wakionyesha umahiri wao kupamba onyesho la muziki la Serengeti fiesta uwanjani hapo jana.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakishangilia baada ya kukongwa na burudani wakati wa Tamasha la Serengeri Fiesta lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. Maonyesho hayo yatafanyika katika mikoa 18 nchini.
TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA GLOBAL ILIMJIONEE''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

No comments:

Post a Comment