KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 10 August 2014

WHATS ON ? RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE NA RAIS UHURU KENYATTA WAKUTANA DUBAI BAADA YA MZUNGUKO WA NDEGE KUTOKA MAREKANI WAKIELEKEA NYUMBANI '' HIVI KUMBE HATA MARAISI WETU WANAZUNGUKA NA MANDEGE KWA MUDA MREFU BILA DIRECT NDEGE KAMA ABIRIA WA KAWAIDA? AISEE '' MIMI SIWEZI '' HIVI MBONA WASIFANYE KUKAWA NA NDEGE ZA MOJA KWA MOJA KUTOKA MAREKANI HADI TANZANIA NA VILE VILE KUTOKA UK-LONDON HADI TANZANIA'' ? MBUTA NANGA!!


Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Marekani'
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Kulia  ni Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe Omari Mjenga.
Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa na balozi wa Kenya katika UAE Mhe. Mohamed Gello katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai ambapo mabalozi hawa walifika kuwapokea Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta waliosimama kwa muda mjini hapo wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika ulioandaliwa na Rais BArack Obama wa Marekani.



(Picha na IKULU)

No comments:

Post a Comment