KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 3 August 2014

WHATS ON ? RAIS WETU MHESHIMIWA KIKWETE AWASILI MAREKANI AKIWA ANA AMBATANA NA MKEWE MAMA SALMA KIKWETE''


KARIBU SANA MHESHIMIWA RAIS 'TUNA FURAHI UJIO WAKO'' ILA MBONA MIKONO MITUPU 'EID IKO WAPI ''MBUTA NANGA!!

MNAONA VILE MAMA ALIVYO PENDEZA 'HIYO HINNAAAAAAH''MKONOS UTAJUA KULIKUWA NA SIKU KUU YA EID IKULU'' MBUTA NANGA'' MIMI I'M SO PROUD OF MY FIRST LADY MAMA SALMA KIKWETE'' KINA MAMA OYEEEE'' 
j
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji  (2-3 Agosti, 2014)  jijini Washington DC. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment