KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 3 August 2014

YESU NA MARIA 'HEBU MSIKILIZENI OUR RAIS ' YESU ''' BADO SIJAELEWA'' MBUTA NANGA!! HOTUBA YA MHE DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WANANCHI, 31 JULY 2014



 SHIKAMOO AKILI NA MIAKA MHESHIMIWA RAIS KIKWETE'' MUNGU AZIDI KUKUBARIKI WEWE FAMILIA YAKO NA NCHI YETU TANZANIA KIUJUMLA''
FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
NDUGU ZANGU WATANZANIA WENZANGU 'BAADA YA KUMSIKILIZA MHESHIMIWA RAIS WETU KIKWETE HAPO JUU KWENYE HOTUBA YAKE '' NINA MACHACHE AMBAYO YAMENISTUA SANA YAKU MUUULIZA'' PENGINE NANYI PIA MNAYO YENU YAKUMUULIZA BAADA YA KUMSIKILIZA''
SASA SWALI LANGU NI HILI ''

Mheshimiwa Rais 'Kikwete' Hivi ni kweli kabisa unayosema 'eti kwamba kwa Madactari wanafunzi kutumia Viungo vya Binadam waliofariki kufundishia ni jambo la kawaida POPOTE DUNIANI NI KWELI ? NA IKIWA NI KWELI ' VIUNGO HIVYO HUWA MWAVIPATA WAPI ?
Mheshimiwa Rais 'Hao watu huwa mnawapata pataje ? yani viungo hivyo huwa mnavipata vipi ? na je mnavitumia wakiwa wamekufa kwa sababu za kutengeneza nini hasa kwa hao madactari Wanafunzi ? na wanakwenda kuwaiba makaburini au wanaomba Familia za marehem kuwafufua na kutumia marehem hao au ndiyo wanafanyaje haswa ? Viungo hivyo vilitupwa na chuo cha kufundishia madactari huko mbezi ,Jamani yani hao ni watu wenzetu mnawenzaje kuruhusu watumiwe hivyo ? na je ni wangapi wametupwa na bila kugunduliwa ?'' Yesu na Maria mimi kweli sijaelewa '' yani vile viungo vyote ni vya Watu mliokuwa mnawatambua kabisa kwamba wanatumiwa hivyo na madactari wanafunzi ? Ama kweli kuna siri nyingi sana Serekelini na Mwisho wa siku zajichimbua zenyewe'' Mbuta Nanga''
Mheshimiwa Rais ni hayo tu'' Mimi nimechoka kabisaaa''
Asanteni jamani au nanyi mwasemaje kuhusu Viungo vya marehem kutumiwa namna ile'' Ruwa Mangi''
Flora Lyimo Fashion Police Blog''

No comments:

Post a Comment