KULIA NI FLORA LYIMO MWAKA JANA DECEMBER NIKICHEZA MAUNO YA SHILOLE ALIPOKUJA LONDON 'YANI I DESIGN MY OUTFIT JUST FOR SHILOLE 'NA LEO KANIKUMBUSHAAAA' KULIA IS SHILOLE AKIWAPULIZIAAAAAAAAAAAAAAAAA''MBUTA NANGA!! ALIPULIZA KINOMAAA''
Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
Shishi Baby akiagana na Mashabiki wake baada ya kufanya makamuzi ya ukweli katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
FLORA LYIMO DANCING WIMBO WA SHILOLE LIVE WITH HER ON STAGE DECEMBER 2013 IM SO PROUD OF HER '' ANYWAY ''SASA TIRIRIKA NA SHILOLE MAKAMUZI YAKE NI NOMAAAA''' |
Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.…
Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.
Shishi Baby akifanya makamuzi.
TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA GLOBAL ILI MJIONEE''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
No comments:
Post a Comment