
Rais wa wasafi, Diamond Platnumz akiwa tayari kwa all white Ciroc party

Babu Tale naye ndani

Zari akipendezeshwa na make-up artist

Diamond hakucheza mbali

Perfect gentleman: Diamond akimvalisha Zari kiatu

Mambo ya kujipendezesha yamekamilia..Time to party

Perfect gentleman: Diamond akimfungulia Zari mlango wa limo, tayari kuelekea Guvnor

Club Guvnor imefurikwa na wahudhuriaji wakiwasubiri Diamond na Zari kwa hamu

Diamond na Zari wakiongea na waandishi baada ya kuwasili nje ya club Guvnor

Paparazzi wakiwa kazini

Rita Pausen naye aliwakilisha

Diamond akimuongoza Zari kuelekea sehemu ya VIP

Time to party!

Miguu ya nani hiyo?

Ugandan legend, Jose Chameleone naye aliwakilisha; ingawa aliamua kuvunja mandhari ya “all white” AND YES 'FORA LYIMO FASHION POLICE 'ANASEMA ''ALICHAFUA''
No comments:
Post a Comment