KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 3 March 2015

WHATS NOW ? PICHA ZOTE ZA SHOW YA MWISHO NA YAKUWAAGA YAMOTO BAND IN NORTHAMPTON UK 2015 '' HOT HOT' MBUTA NANGA!!








 MWAONA MTOKO WA HOT VAAZI LETU EEE'' KUAGA VIJANA WANGU WAS ABOUT FULL KUJIACHIA MCHAGA ULAYA IN PINK'' MTANIPAKATAJE''MBUTA NANGA!










 HAHAHHAAA''NANI KAMNYIMA DDF YAKE PIPI ''MBUTA NANGA''NIMENUNAJE''

 THE BOY IS WANGU'' SINILIWAAMBIENI EEE''MBUTA NANGA!















HABARI NDIYO HIYOOOOOOOOOOOO''ASANTENI SANA VIJANA WETU WA YAMOTO BAND PAMOJA NA WOTE WANAO ZISIMAMIA KAZI ZENU '' HASA ALIE WAFUNZA HESHIMA'' HAKUNA KITU KIZURI HAPA DUNIANI KAMA KUWA NA HESHIMA ''YANI HATA UWE MA MIHELA YOTE YA DUNIA IKIWA HUNA HESHIMA NI KAZI BURE''  MBUTA NANGA''
USHAURI WANGU MDOGO KWENU NA WALIOWASIMAMIA KWENYE SHOW HII YA UK  KWA MARA YA KWANZA'' YANI NI HIVI ''
YAMOTO BAND'' MSIKUBALI KUWA CHEAP ''WAKATI MMPO HOT HOT OF THE MUJINI RIGHT NOW'' YANI FANYENI SHOW MOJA NA IWE AT THE POSH PLACE KAMA MLIVYO FANYA LONDON ''HATA KAMA TICKETS NI £70 WATU WATALIPA NA SHOW IWE NI MOJA TU''SASA HII YA NORTHAMPTON WAS CHEAP PLACE NA KUCHAFU CHAFU WATU KUGUSANA GUSANA NA MILEVI ''ILA MIMI NILIKUWA NIMESHAJUA NA NDIYO MAANA NIKAJA HIVI KAMA NIMEJIANDAA KWA VYOVYOTE'' HATA NGUO MWAZIONA EEE''YANI HATA WA MWAGILIE POMBE'' WAS SAWA SAWA TU ''NILIKUWA NIMEJIANDAA KWA HILO NA MENGINE MENGI YANI LETA FUJO NIKULISHE BOOT'' MBUTA NANGA''
KIUKWELI BOYS DONT BE CHEAP ''JUST YET''NYIE JUST  DO SHOW BABU KUBWA POSH IN LONDON PEKE YAKE KAMA HUKO KWINGINE MASTAGI MAZURI NA MAKUBWA HAMNA''WATU WATAKUJA KUWAFUATENI KAMA WANAVYO FANYA KINA KANYE NA WENGINE MASTAA WAKUBWA KUBWA DUNIANI ''ONLY POSH PLACE FOR THE SHOW '''NGACHOKA''

No comments:

Post a Comment