KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 8 March 2015

WHATS NOW ? ITS SIKU YA WANAWAKE DUNIANI '' HAPPY WOMEN'S DAY '' MUNGU AZIDI KTUBARIKI WANAWAKE TUFANYE KAZI NA KUPENDANA HASA KUSAIDIANA KWA VYOVYOTE NA KUMBUKENI KAZI NI KAZI BORA IWE INAKUINGIZIA PESA NA HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI ''MBUTA NANGA!




 CHUPI ZA PATIKANA AT FLORA LYIMO TZUK LONDON  AND HATA IN TANZANIA ZIPO ''


 MWANAMKE NYAMA NA FULL KUJIAMINI ''MVUTOO WA MBUTA NANGA''


HABARI NDIYO HIYOOO'' HAPPY WANAWAKE DAY '' AND HAPPY FLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME'' YANI ''I' M Inspired by Women who embrace the ageing process but stay young in Spirit'' Mwanamke jipende fanya yako Wacha miaka ijihesabu yenyewe wewe songa mbele ukifanya what make you happy and kukuingizia pesa zako mwenyewe bila kumtegemea Mwanaume'' why Msitegemeane Wewe kama Mwanamke uwe ndiyo wakumtegemea Mwanaume siku zote'' kwani wewe ni Mlemavu ? Kumbuka Usumbufu na ulemavu wakujifanya huna pakwenda na huna kazi ndiyo chanza chakukufanya siku zote uonewe upigwe na Mwanaume wako na unyamaze kimnywa ''kisa ULEMAVU WAKUJITAKIA'' MWANAMKE AMKA FANYA KAZI ''
MY ROLE MODEL>  MY MAMA AUGUSTINA LYIMO 'AKIWA PALE KILEMA MARANGU KILIMANJARO MOSHI TANZANIA'' I LOVE HER SO MUCH'' YANI MUNGU ANAJUA HILO'' BARAKA ZOTE NAZOZIPATA NI KUTOKANA NA UPENDO WANGU TO HER AND MY PEOPLE WALE WANAONIKUBALI''
FLORA LYIMO TZUK CEO
FOLLOW ME INSTAGRAM>mbutanangablog

No comments:

Post a Comment