KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 3 March 2015

WHATS NOW ? SO SAD''KIFO KWELI HAKINA HURUMA'' ON WALIVYO MUAGA MHESHIMIWA MAREHEM KAPTENI JOHN KOMBA '' YANI HATA RAIS WETU JAKAYA MRISHO KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA NA VIONGOZI WENGI NA WASANII NA YANI SIJUI NIWATAJE HAPA WOTE HAPATATOSHA'' YESU''' HIVI KUMBE ALIKUWA MTU MKUBWA NA WAKUHESHIMIWA HIVI ALAFU WAKAZUBUTU KUMCHAFUA KWA MAHABA NIUWEE'' YESU'' JAMANI WATANZANIA NA MITANDAO BADILIKENI JAMANI ''SO SAD'' R.I.P. HII NDIYO DUNIA NA WATANZANIA WENZAKO ''YANI NAKUMBUKA NILIKUJULIA MITANDAONI KWA PICHA ZA MAHABA''LEO NIMEKUAGA KWA KIFO CHA UKWELI '' RUWA MANGI''NGACHOKA'''

Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM,Marehemu Kapteni John Komba likiwa kwenye viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam,wakati wa shughuli ya kuaga.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassa Mwinyi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiifariji familia ya marehemu.
 Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania,Luteni Kanali Samuel Ndomba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista Mhagama akitoa heshima za mwisho akifuatana na Naibu IGP,Abdulrahman Kaniki.
 Kingunge Ngombale–Mwiru akitoa heshima za mwisho.
Kamanda Kova. SO SAD''
Baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wakiifariji familia ya Marehemu.
Mhe. Ole Sendeka akibubujikwa na machozi kuondokewa na Mbunge mwenzake.
SO SAD'' KIFO HAKINA HURUMA''
SO SAD'''''HADI CHOZI LIMENITOKAA'' RUWA MANGI''


Watoto wa Marehemu Kapteni John Komba wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu baba yao.SO SAD'' POLENI SANA MY DEARS'
POLE SANA DADA 'NAONA MUNGU KWELI KAKUPA NGUVU NA MOYO WA UTULIVU ''YANI NIKAMA SIYO MMEO WAMUAGA APA''  ENDELEA KUJIPA NGUVU DADA 'SO SAD''
Mjane wa Marehemu,Kapteni John Komba,Mama Salome Komba akiaga mwili wa mumewe
Khadija Kopa.Pole sana Dada langu la Nuvu my Top in Town mwenza 'TUPO PAMOJA JAMANI MY DEARS WOTEE''POLENI SANA ''
Umati wa viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Kapteni John Komba.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista Mhagama akitoa salamu za Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,Mh. Saidi Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati yake.


Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Mh. Joshua Nassari.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akitoa salamu za Chama.
Mh. Muhongo akitoka kuaga mwili wa Kapteni Komba.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana.kushoto ni Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda.
Mama Regina Lowassa akizungumza jambo na Mama Kawawa.
Mh. Mkapa akizungumza jambo na Mh. Anne Makinda.Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Lowassa

MC wa shughuli hiyo Bw. Saidi Yakub wa Bunge akiwa kazini
Mjane wa Marehemu.

SO SAD'''
HIVYO NDIVYO WALIVYO JITOKEZA KUMUAGA MHESHIMIWA WETU '
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI NA EMMANUEL MASSAKA.
ASANTENI KWA KURUSHA PICHA MITANDAONI PIA 'YANI UMOJA NDIYO NGUZO YAKUIJENGA NCHI YETU TANZANIA'

No comments:

Post a Comment