KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 17 May 2015

WHATS NOW ? ALBAM 2 OF PICHA ZA DIAMOND PLATNUMZ SHOW IN LONDON LAST NIGHT ''WAS FABULOUS 'MBUTA NANGA! ALSO WIMBO WAKE NA NAY WA MITEGO ..MAPENZI AU PESA''



MBUTA NANGA' MKONO WA MAPESA'' NASEMAJE? MAPENZI NI PESA KUDADADEKI '
IM SO KUBALIANA NA NYE KWA MAPENZI NI PESA'' YANI IM SO PROUD OF YOU MY SUPER STAR WANGU WA NGUVU'' MY DEARS''ENJOY THE SONG'' Yani is just FABULOUS'''
Ukitaka kumuona MBUTA NANGA AKIUCHEZA HUU WIMBO '' NENDA KWENYE INSTAGRAM PAGE YAKE'' 
@mbutanangablog

 MEZA ALOKAA MBUTA NANGA'' NA KULIPA £40 'JAPO WENGINE WALILIPISHWA £25 '' SAWA SIJALI SILALAMIKI MAANA NIMERIDHIKA'' LA SIVYO AISEE''THIS TIME BAHARI INGEKAUKA MAJI ''MAANA MOTO AMBAO NINGEUWASHA HAPA WANGETUMIA MAJI YOTEE KUUZIMA LAKINI WAPI '' HAHHAHA'' ETI MBUTA NANGA NI TAJIRI ANA PESA KWA HIYO HAKIKISHA ANAKUJA NA ANALIPA £40 POUND YEYE HIYO SIYO PESA '' HAHHAAA'' JAMANI Sina pesa mnazoniwazia but AMEN 'I cant wait kuzipata'' BUT WHEN ITS COME TO MAMBO MAZURI NIYAPENDAYO KAMA DIAMOND SHOW ''HATA £100 PALE MLANGONI NINGELIPA'' THAT IS HOW I DO THE THINGS I LOVE ''I JUST DONT CARE '''  Ila please wahusika naomba mzingatie utaratibu wenu wa hizo tickets price '' YANI MTU ALIKUWA ANA LIPA £25 ALAFU ANAINGIA NDANI NA ANAKWENDA KUKAA KWENYE ZILE MEZA ZA VIP ZA sijui £30 mara £40 zisizo kuwa na bei ya UHALALI '' yani wale walio lipa £30 to £40 pounds walibakia kusimama kisa hawakupata sehem ya kukaa'' then hata hvyo mwisho wa siku ,Mtu kama mimi nilikwenda kucheza pale mbele na gafla Diaomnd akaingia stejini na mimi nikajisogeza pale mbele kabisa ''Sikujua ndiyo nilijiweka jela'' Yani watu wote walikuja nyuma yetu na hatukuweza kupumua wala kujeuka nyuma sababu ya kubanana'' nilikaa pale pale natamani drink wala sikuweza kwenda kuchukua kwa sababu pia ningetoka pale na singeweza kurudi pale mbele tena'' so i stay mpaka to the ends'' AND WAS LIKE THAT'' NO MPANGILIO MAALUM FOR THE TICKETS'' SO JIPANGENI HAPA KWENYE SWALA LA TICKETS ZA VIP ''PLEAS''






















MBUTA NANGA MKONO WA MAPESA '' Nasemaje  ? MAPENZI PESA ''Yani mapenzi bila pesa ni sawa na BAHARI BILA MAJI ''

No comments:

Post a Comment