NA MTUWACHE TU.......!!!! MBUTA NANGA''NACHEZAJE SASA'' AMA KWELI KUKOSA USINGIZI NI KUINGIA PENZINI KINOMAA''
MWAUONA MWANYA WANGU EEEE''YANI NIMEUPENDAA'ILA USIONGEZEKE ZAIDI YA HAPO'' YANI UWE HAPO HAPO ''YANI HAPO HAPO ULIPOSHIKILIA BABYYYY''HAHAAAAAAAA''
KILIMANJARO BLACK COFFEE'' SUKARI NA MAZIWA FOR MY AFRICAN KING''
LOVE IS UP THERE''AND I CAN FEEL AND TOUCH IT''' YANI MAPENZI YASOKUWA NA MFANOO''YES MAPENZI YA WAPENDANAO YASOKUWA NA MFANO NI YALE YA WAPENDANAO WENYE DUNIA YAO WENYEWE''' AND THAT IS WHAT I EVER EVER WANT ''' TUWE NA DUNIA YETU BABYYYYYYYYYYYYYY'' HALOO BEIBEEE''' ABEEE''''TULIPOANZIA HAWAJUI 'TUNAPOKWENDA WATAJUAJE'' BY:ERICK''' I LOVE MISTARI YAKE INAKUWAGA IMENYOOOKAJE''
HABARI NDO HIYOOO''JAMANI FANYA ILE KITU ROHO YAKO INAPENDA NA MOYO WAKO UMEAMUA'' MENGINE YATAJIPANGAAAAAAAAAAA'' SASA KAMA WEWE UNA MWANYA ...TUMA PICHA KWA flo1974@btinternet.com
KAMA HUNA WEWE TUAMBIE UNA MAANA GANI? YANI WENGI WETU TUNAPENDA KUJUAA'' HAHAHHAAA''NACHEKA NINA MWANYA MIE'' MBUTA NANGA''
HAVE A LOVELY DAY ALL'' STAY BLESS ALWAYS''FLFP''
KUTOKA KWA MMOJA WA NYIE NYOTA ZANGU''21.9.2013 AT MY FACEBOOK WALL'
- To be honest with you, I don't comment on your blog but I must go thru your blog everyday and I am so much amazed coz your blog stands out of all Tanzanian people who owns blogs. You are the best and you will remain an outstanding lady. The only thing I praise you today is haujaweka huu upuuzi( Which was about yule mnuka mdomo m.kimavi')kwa blog yako. Big up to you my lady. Waache wadiscuss upuuzi kwa blog zao maana watu wanasema low minded people discuss about people, so waache wakazane kujadiliana na kutafuta/kununua ugomvi, we twanga maendeleo ya kuwaendeleza wanawake wenzio na Mungu atakubariki mpenzi''
- MSHINDI WETU WA BUKU 50 tzsh'' ALIE WAHI KUWEKA COMMENT YAKE WA KWANZA INSTAGRAM YANGU NI''
- Zulfa_wa_ans
- Jibu was 2013
- HONGERA SANA MPENZI '' NOW nitumie whatsapp majina yako kamili ili niweze kukupa buku yako 50''
- Jamani FLORA LYIMO instagram kama mbutanangablog HUWA NATOAGA MASHINDANO YA BUKU 50'S tzsh'' SO UWE UNACHUNGULIA KULE HUWEZI JUA LINI UTAKUWA MSHINDI '' LOVE YOU MY DEARS''
- MBUTA NANGA THE ONLY ONE IN THE WORLD''
No comments:
Post a Comment