KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 7 December 2015

WHATS NOW ? ALBUM PT2 'MCHANGANYIKO WA PICHA ZA SHOW YA LADY JD 5-12-1215 LONDON'' KAMA ULIBAHATIKA KUNASWA NA CAMERA YA MBUTA NANGA' UTAKUWEPO HAPA''


MBUTA NANGA MWENYEWE NDIYO ANAINGIA IVYOOOO'' #MYLIFESTYLE


MBUTA NANGA STYLE 'IDUMU MILELE ''I LOVE MY LIFE'SITAKI SHIDA KWA HIYO USINILETEE WALA KUNIPA SHIDA'THATS WHY I WOKE HARD EVERYDAY AND USE MY UBONGO WA MCHAGA HALISI ''
FABULOUS MY PAMBEEEE'' SHOWING OUR LOVE AND SUPPORT'' THANKS FOR COMING ALL THE WAY MBALI JUST KUJA TO Support SUPER STAR WETU'' LETS HOPE SHE DID SEE THAT''
I LOVE HII KABISA'' YANI WATU TUMEKUJA TO PARTY HARD'' KWA RAHA ZETU''



MSIZIONE HIZO COCA COLA HAPO MEZANI ''Yani tulizisubiria for lisaa limoja na nusu ''kudadadeki zako wewe mlendo ulosinyaa'' kweli I hate watu wasojijua walolegea then wanajifanya mitandaoni they can do things '' huku hawajui lolote in a real life' yani its like LIMWANAUME LISISODINDA'' #NGACHOKA'







MKONO WA MCHAGA ULAYA 'MKONO WA PESA''MBUTA NANGA'

HAAHHAHAHAA'' HAPPY HAPPY AND BLESSED'' KWA RAHA ZETU BFF''

MBUTA NANGA'' HAHHAHAHA'' I LOVE MY LIFE'' #MYLIFESTYLE








AISEEE I JUST LOVE HER ''YANI ANABAHATI SANA'' MAANA NIKIKUPENDA HATA UFANYEJE 'HUWEZI KUNIZUIA ROHO ALONIPA MUNGU KUKUPENDA''  Alafu huu wimbo wake wa YAHAYA''NDIYO BASIIII UMENIFIKISHAAAAAAAAAAAAAA''

FIRST LADY NAE ALIKUWEPO ,AKIFANYA YAKE'' YOU CAN SEE HER VIDEO ON FACE BOOK PAGE YAKE''
MKONO WA PESA MKONO WA MCHAGA ULAYA'' USHAKUPENDA NI KUKUMWAGILIA MIMANOTI MIPESA MIHELA TU'' HAHHAHAA'' MBUTA NANGA ''
What next is MBUTA NANGA FEEDBACK FROM HII SHOW '' WAANDALIZI WALIKUWA OVYO SANA'' WAVIVU NA WALOLEGEA KAMA MLENDA ULOKOSA MAJI''
#NGACHOKA''

No comments:

Post a Comment