KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 10 July 2014

WHATS ON ? SUCCESS: WHATS THE RUSH ? FED UP WITH BEING TOLD WHAT TO DO ? GOOD NEWS 'FLORA LYIMO OPPORTUNITY 2014 IS HERE TO HELP YOU TO GO EXTRA MILE AND MONEY TO FOLLOW YOU''MBUTA NANGA!!



FLORA LYIMO AKIWA DUKANI KWAKE OXFORD STREET LONDON MTAA WA MAPESA'' MCHAGGA ULAYA NINAZISAKA HELA KWA KILA BIASHARA AMBAYO NAONA NAWEZA KUJINYAKULIA VIJIMANOTI VYANGU VYA HALALI'
SASA TUMEKUJA NA BIASHARA MPYA KWA AJILI YA WATANZANIA WENZANGU HUKO NYUMBANI ZAIDI  '' WANAUME KWA WANAWAKE'' AMBAO WANAPENDA KUJIPATIA HELA ZAO ZA ZIADA AU ZA KUPAMBANA NA MAISHA YAO KWA UJUMLA'' 
FLORA LYIMO OPPORTUNITY 2014 IS A NEW BIASHARA AMBAYO TUNAANZA NA MABEG''
Kama unavyo Muona Hapo Pichani siyo mwingine ila the one and only TOP IN TOWN '' Flora Lyimo Independent Distributor.
MZIGO WAKO UTAUPOKEA MWENYEWE
Mizigo baada ya kujiunga tukisha pokea laki moja yako'' tunakutumia mzigo wako na utafika in Dar in 10 working day's Bila malipo yoyote ya ziada'' hulipii Garama za mizigo''
HOW TO JIUNGA''
Kujiunga you only need Shilingi LAKI Moja Tanzanian'' Amboyo utaituma kwa njia ya MPESA'' Na kwa maelezo zaidi ''
You need to WHATSAPP ''
WHATSAPP +44 7787471024 'TUMIA WHATSAPP NDIYO OFISI YETU UKITAKA KUJIBIWA MAPEMA NA BILA KUSAHAULIKA'' 
WHATSAPP +44 7787471024 KARIBUNI NYOTE'' 
NA HII BIASHARA YETU MPYA TULIANZA RASMI ON 27/6/2014 NA KWA WALE WASIOLAZIA DAM DILI LA NGUVU '' WALIO FANYA FASTA FASTA KUJIUNGA'' NA KUTUMA LAKI MOJA YAO KWA MPESA YETU '' HADI SASA HIVI  TUNA TEAM FLORA LYIMO OPPORTUNITY  38''BADO TUNAPOKEA WENGI MPAKA SASA HIVI TUMEKWAMA KIDOGO KWA SABABU SINA LINE YA TIGO PESA'' POLENI SANA WALE WOTE MNAOSUBIRIA TUPOKEE HELA ZENU '' TUTAKAPO PATA LINE YA TIGO  TUTAWAJULISHENI'' 
 FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES HANDBAGS ZOTE MNAZOZIONA HAPA ZINAUZWA KWA TSH.25.000 KWA WALE WOTE WALIOJIUNGA NA BISHARA YETU ZAIDI''














TO ALL 38 FLORA LYIMO TEAM '' CONGRATULATIONS 'YOU'VE MADE A WONDERFUL DECISION TO JOIN THE FLORA LYIMO FAMILY 'AND I BET YOU CANT WAIT TO GET STARTED ''UKIWA UNA SHIDA YOYOTE I CAN BE CONTACTED AT ANY TIME'' JUST WHATSAPP +44 7787471024 FOR SUPPORT AND ADVICE' KARIBUNI SANA NA PIA MKARIBISHE NA MWENZAKO'' MSIIFANYIE WIVU HII DILII KUBWA YA MJI MKUU LONDON'' KIZURI KULA NA MWENZAKO KIBAYA KULA PEKE YAKO''MBUTA NANGA''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

WHATS ON ? BAADA YA KIZEESHOGA aka Lemutz KUMUOGOPA FLORA LYIMO NA KUMUANDIKA KIWIVU NA KIMAFUMBA 'FANS WA FLORA LYIMO WAMJIBU ''LIVE''





 SASA WACHA NIKUFUE NA NIKUANIKE NNJE NA 360 NA OLE WAKO USIPOKAUKA,MAANA NITAENDELEA KUKUANIKA MPAKA UTAKAPO KAUKA MBWA WA SOKONI USOJIJUA'' WEWE APO KULIA PICHANI 'LEMUTZ aka LEMUTUMBAZ'
NI HIVI''' Kwa hiyo hapo umeamka na ulikuwa umelala na hilo kama dira vile'' kweli lijizeeshoga huwezi kukosa kulijua'' hapa huwezi danganya Wanaume wenye kuamcha mashine zao na kukobolea wanawake bidhaa zao kila siku 'yani uwadanganye wale mashoga wenzako ambao mashine zao zimeshalegea kama hiyo ya kwako ilolegea kama mlenda ulokosa maji''Yani mwanaume mzima unashindana na wanawake mitandaoni hadi kujipiga picha za uongo eti umeamka hivi na kupiga picha hii kwa hiyo na wao waamke asubuhi kujipiga picha waweke mitandaoni kama wewe ? una ona kweli hilo ni jambo la kuwaelimisha wanawake au wanaume wenzako ? yani badala waamke na kwenda kazini kuwahi dala dala na pia ofisini au sokoni kuuza bidhaa zao wao waje kuuza sura mitandaoni tena sura za kujificha ujinsia wao ?Yani hapa ndiyo umeonyesha jamii wazi how stupid idiot you are na hizo degree zako za uongo ''pumbavu na omba Mungu nimepata huu muda wakukujibu hapa Leo ''maana Instagram inakutosha mpaka utahama huko na hii Dunia kwa ujumla'''wewe shindana na Flora Lyimo the top in town ''alafu tuone'' sasa nasubiria picha zako kama hizi za kwangu ''ukiwa umevaa UNDERPANTS'' YANI UKIWA UMEVAA HIZO CHUPI ZANGU KUBWA ZA KIUME'' MAANA HATA FASHION HUJUI ''ETI HIZI CHUPI NILIZO VAA HAPA NI ZA KIUME''MBUTA NANGA!!





UPIGE PICHA KAMA HIZI NA UFANYE FASTA FASTA 'MBURULA MKUBWA USOJIJUA RUDI MAREKANI KUWATUNZA WATOTO ULOWAKIMBIA 'MWANAUME SIYO KUTOMBA TUNA KULEA HUWEZI HADI KUINGIA USHOGANI AIBUUU'' PUMBAVU KABISA ''KADONDOKEE KULEEEE MBALI KABISA''
Makelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa machupi makubwa ya wanaume,
I mean kwanza elimu hatufananani mimi nina Degree 3 hicho kizee ni darasa la Saba, halafu ninasema hivi hii ni picha yangu ya leo asubuhi bila kunawa wala kuoga sasa hebu kiambieni na chenyewe hicho kibibi kizee kipige picha kama hii aubuhi kama hayakuwa majangaz ya ajabu! ha! ha! ha! ha! ha! 

Malikah Jamal Malikah Jamal chap limutuzzzzzzz izo degree naona umepewa kama charity mwanaume wa kisawasa hawezikuji vs na mwanamke achana na sexlady mbutanangaa a.k.a Missy Flora lymo kama unataka kuvs na yeye basi vaa thong kwanza utuwekee picha yako na wewe umevaa chupi za kike kama yy anavaa za wanaume tatizo ni nini?........fungungaa tuujue ukwel


Love you my Angel Malikah Jamal.....UMEMUONA EEE'NA SASA APIGE PICHA ZAKE NA UNDERPANTS ASUBUHI KABLA HALIJAKUNYA TUONE NA MATAKO YAKE'' AU APIGE BASI NA CHUPI ZA KIKE ,,SI MIMI NI KIBOKO YAKE..NIMEPIGA ZANGU ASUBUHI ,NIMEPIGA ZANGU NA CHUPI ZOTE TENA NA ZA KIUME KAMA ANAVYODAI YEYE''Mtu mzima mwenye digrii za kishoga'' hajui hata fashion eti chupi za kiume''uwiii'' hahahhahaaa''' sasa aende kusomea mambo ya fashion aongee digrii itakayo msaidia kubishana na wanawake mitandaoni''' YANI ATAIHAMA DUNIA MWAKA HUU''HANIJUI JAPO NIMEKAA NAE FOR ONE DAY '' IN DAR ''NA KUNITAPELI HELA ZANGU ''YANI ATAKOMA NA HIZO HELA ZITAMZIBA MATAKO ''HATA HUO USHOGA ATAUSHINDWA SASA HIVI''' JUA KUNA MUNGU NA JASHO LA MTU HALIDHULUMIWI''' 
Eti hata nyumbani kashindwa kurudi...mbona karudi mara mbili tatu..tena mwenzako hayo machupi ndo yamemfanya kajenga nyumba kwao kilema...wewe Lemutumbaz kutwa kupiga picha na wanawake mitandaoni na kuwapamba watu wenye fweza zao..wewe hata kibanda huna unahangaika tu mjini...Tumia hizo degree zako tatu vizuri..acha upambe na kujisifu...Kamjengee na mama yako hata nyumba ya tofali...mwenzako kwajengea nduguze ya tofali huko Kilimanjaroo...Utaisoma kimya kimya hiii....Unadhau wanaoogesha wazee...kwa taarifa yako tumejenga huko TZ...Hhatuuzi sura mitandaoni na ku-kiss ass watu wenye pesa...JIPANGEEEEEEEE wee Lebig mbrurula...
Hawa si ndio wale watoto mayai wa miaka hiyo, shule wanapekekwa na yale maToyota Shangingi, darasani wao ni kusindikiza tu wenzao, saa za kutoka shule dreva ameshapaki shangingi lamsubiri. baadaye hawo wamerushwa sijui marekani sijui Uk yaani hawana hata akili zao binafsi kila kitu ni nyumba ya Babangu , gari la babangu mpaka uzee unakuta responsibility hakuna kabisa, yaani huyu Le mutuz akili yake mpaka sasa ni ya wa Under 5, shidaa sana, hata kubwaga mke na watoto inabidi alikuwa hajui majukumu kipindi chake, haweze kuhandle maisha ya kuhudumia wengine yaani yeyey ni yeye tu mke watoto ni ghasia anaona ni usumbufu flani hivi
sijui limedekezwa sijui lipoje ata nashindwa kumdefine lemutuz mwenzenu.. naomba pi a kujua zile keelele za my fiance msomi mwanasheria ziilishia wap? au kamwagwa? yan mimi kuliko nioelwe na lemutuz bora nibaki nungaembe. heheh.. mswahili kama nini akati lipare la ugweno uko milimani mfyuuu
Hahahah ukiona mwanaume anashindana kua na sura nzuri na mwanamke basi ni dalili za ushoga khaa!!Degree 3 izo unazoringia labda za kuchamba mwenzangu lakini za shule ni nehiiii....jamani kama uko vyuoni wenye degree 3 wanact hivi basi mie staki kusoma NIMEGOMAA!!Afu we babu mi sikuelewagi na swagg zako za U KNOW ME hahaha.....guys please search uniquedesignme kwa kununua nguo ambazo ni latest in fashion toka uk,brazilian hair,peruvian hair indian hair yani kila kitu toka uk unaeza agiza
AnonymousJuly 10, 2014 at 9:35 AM
mtu mzima ovyooo hiv we lemutuz unakil wewe eti degree unaelim ya kuwakilisha shule tuu lakin si ya ubongo mtu mzima na akil zako huwezi kuropoka utumbo unaoropoka hapo eti frola lymo hana akil we ndo huna akili let the woman do her business hata kama akiuza gunia we inakuuma nn and you babu frola she is naked she just sale wat she have ebpp mbona hamuwatukan kina maggie vampire na wao wanatangaza chupi opps au wao wanavaa baibui mwakati wantangaza mxiiiu ovyooo tena let the womn be sawa enh hata akileta vichaa si kazi yake wewe inakuuma nn tena inamuingizia kipato.....we kaaa pic pic na 360 asubuh afu ushindane na mwanamke ni dalil za ushoga..... bwabwabwahhhhhhhh ovyooo
hahahahaaaa.. hivi nyie watu mliwahi kutongozana enzi zenuu? maana yaelekea mnaoneana wivu vile! hehehee ncheke mie. alafu nyie wote watu wazima sijui kwanini mko hivi.... mnatufundisha nin wadogo zenu? kudadadeki lemutuz ungekua mchumba wangu au mume kwa huu uswahili wko kwenye media ningekuacha mchana kweuuuupeee jua linawaka kama leo! mfyuuuu!!! watu wazima hovyoooMakubwaa kwaiyo Lemutuzz huwa unaamka na kaunda sutii?? Usinambie apo ndoumeamka ivyo na kujifotoa? ? Mahugee basii
Makubwaa kwaiyo Lemutuzz huwa unaamka na kaunda sutii?? Usinambie apo ndoumeamka ivyo na kujifotoa? ? Mahugee basii

Wednesday, 9 July 2014

WHATS ON ? SCOTLANDS COMMONWEALTH GAME 'WATOA UNIFORMS ZAO ZA KIMASAI ZAIDI'' AND ONE MAN KAVAA ISIVYO VALIWA 'ONA HAPA LIVE'' MBUTA NANGA!!


Parade uniforms: The blue and tartan outfit will be worn by Scottish athletes at the opening ceremony
Parade uniforms: The blue and tartan outfit will be worn by Scottish athletes at the opening ceremony''
Scotland's Commonwealth Games athletes will open their home competition in a striking combination of light blue and tartan.
The parade uniforms, designed by  internationally known textile designer and artist Jilli Blackwood, were unveiled on Sunday. They will be used during the opening ceremony. 
Striking: Textile designer Jill Blackwood (left) designed the outfits which are modeled by the athletes
Striking: Textile designer Jill Blackwood (left) designed the outfits which are modeled by the athletes''
Looking good: Sean Lamont (left), Scott White and Lee Jones  (right) show off their new uniforms
Looking good: Sean Lamont (left), Scott White and Lee Jones (right) show off their new uniforms''
Floaty: Sean Lamont shows how not to wear a kilt at the unveiling of the new uniforms
Floaty: Sean Lamont shows how not to wear a kilt at the unveiling of the new uniforms
The uniforms are a stark contrast to Team GB's all-white dress for the opening ceremony of London 2012.MBUTA NANGA'' YANI NEVER WEAR KILT WITH UNDERPANTS '''
Sportsmail columnist John Greechan gives his view on the outfits...
 
Oh dear. Oh my. Like someone’s run an old tin of Export through a loom, then covered a swathe of electric blue — more screaming aquamarine, actually — fabric with wee dots. And what about those brown socks? 
If the posh-Jock hosiery, sported yesterday by boyfriend and girlfriend pair Lee Jones and Charline Joiner, was an attempt to tone down the excesses of the tartan and technicolour elements of Team Scotland’s official ‘parade uniform’, it didn’t work. 
Different tone: The blue and tartan uniforms are a far cry from Team GB's all-white dress for London 2012
Different tone: The blue and tartan uniforms are a far cry from Team GB's all-white dress for London 2012'' MWAIKUMBUKA HII'' I JUST HOPE TANZANIA NASI TUJE NA UNIFORMS ZETU''
Happy couple: Lee Jones and Charline Joiner pose in the parade uniforms
Happy couple: Lee Jones and Charline Joiner pose in the parade uniforms''
Scottish kiss: The two athletes, who are boyfriend and girlfriend, exhibit the colourful kits
Scottish kiss: The two athletes, who are boyfriend and girlfriend, exhibit the colourful kits
Still, at least they will be able to boost Glasgow 2014’s green credentials at the Opening Ceremony. 
If you dimmed the lights dramatically, you’d still spot our lads and lasses. They will be the ones with the bright red faces!

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM ILI MJIFUNZE'

FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

WHATS ON ? ONA MAUTAMU YA WAPENDANAO BAHARINI '' MAPENZI MOTO MOTO NI KUMPATA AYAJUAE HASWAA''MBUTA NANGA!!


Cheeky: The pair put on an amorous display as they went for the hands-on approach
Cheeky: The pair put on an amorous display as they went for the hands-on approach
Instead, Sinclair has enjoyed time north of all the Brazil 2014 action as he enjoyed a beach holiday with girlfriend Helen Flanagan in Mexico.
Sinclair has struggled to make an impact since joining the Premier League champions in 2012, failing to break into the team since moving from Swansea.
But ahead of a campaign where the winger will hope to get a once promising career back on track, Sinclair looked to have little concern for his City future as he relaxed with Helen Flanagan.
The pair looked loved-up as they walked hand-in-hand across the sand. 
Bikini babe: The 23-year-old beauty showcased her impressive physique in a turquoise two-piece as she strolled along the sand
Bikini babe: The 23-year-old beauty showcased her impressive physique in a turquoise two-piece as she strolled along the sand''
All smiles: Sinclair is looking to get his career back on track
All smiles: Sinclair is looking to get his career back on track''
Cosy: Scott and Helen were all smiles as they cuddled up to one another in the sea
Cosy: Scott and Helen were all smiles as they cuddled up to one another in the sea''
Sneaky smooch: Sinclair got up close and personal to Helen Flanagan in Mexico
Sneaky smooch: Sinclair got up close and personal to Helen Flanagan in Mexico'

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM ILI MJIFUNZE'
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

WHATS ON ? LOOK WHO IS ONE YEAR -OLD TIYARI '' HAPPY BIRTHDAY KING WETU WA HAPO MBELENI'''

Too cute: The image chosen for the prestigious cover was taken from the family's first official royal tour to Australia and New Zealand
Too cute: The image chosen for the prestigious cover was taken from the family's first official royal tour to Australia and New Zealand''
Edit

New brother or sister? The issue reports that the young family may soon be due to expand with palace rumours saying the couple are hoping to try in the summer
Edit
New brother or sister? The issue reports that the young family may soon be due to expand with palace rumours saying the couple are hoping to try in the summer'
Insiders also say the Duke and Duchess hope to give their son a 'normal upbringing' and regularly take him to play at the houses of friends who have children of the same age.
The young Prince has so far been well behaved throughout his public appearances, much to the relief of his doting mother.
However, it appears that behind closed doors, the toddler hasn't always been as composed, with the gorgeous 11-month-old apparently crying loudly and waking through the night while he was still breastfeeding.
The article also reports that Kate has been active in overseeing the decoration of her son's nursery which is said to include a white changing table and crib contrary to the palace's tradition of antique furniture.

First family photo: The young Prince has so far been well behaved throughout his public appearances, however it appears that behind closed doors, the toddler hasn't always been as composed
First family photo: The young Prince has so far been well behaved throughout his public appearances, however it appears that behind closed doors, the toddler hasn't always been as composed''
Vocal: The gorgeous 11-month-old, pictured here in an official portrait from his christening in October 2013, apparently cried loudly and often woke up through the night while he was still breastfeeding
Vocal: The gorgeous 11-month-old, pictured here in an official portrait from his christening in October 2013, apparently cried loudly and often woke up through the night while he was still breastfeeding''

WHATS ON ? BREAKING NEWS'' FLORA LYIMO AWAOMBA WATANZANIA WENZAKE WA ISHIO UK KUTOKUHUDHURIA KUKUTANA NA WAZIRI MKUU IN LONDON UBALOZINI'' ' HAO WATU HUKO UBALOZINI NI WANAFIKI WAKUBWA NA WANAFANYA KAZI ZAO WAKATI VIONGOZI WAMEKUJA UK TU'' WANATAKA MUENDE KWA KITU GANI WANACHO WASAIDIENI NYIE KAMA WATANZANIA WENZANGU MKIWA NA MATATIZO MKIENDA KWAO WANAWASAIDIENI ?WAO HUWAPENI KAZI ZA KUWATAFUTA VIONGOZI WETU SISI WENYEWE NA HUKU HIYO IKIWA NI KAZI ZAO TENA WAMESHAAMBIWA WAFANYE LIVE''' NA NAOMBA HII ''HAIMUHUSU BALOZI WETU UK ''INAWAHUSI WAFANYAO KAZI CHINI YAKE'''INGIENI HUM KUSOMA ZAIDI ''MBUTA NANGA' MPAKA KIELEWEKE'

FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO PICHANI  '
Ndugu zangu Watazania wenzangu ''kwanza Huu ni Mwezi mtukufu wa Ramadan kwa wale wenzetu Waislam '' napenda kuwatakieni Ramadan Njema''
Mimi hapa ninayo machache ''juu ya huu mualiko wa kukutana na Waziri wetu Mkuu Mh.Pinda'' Nadhani wengi wenu mnanifaham vizuri sana hasa kwangu Mimi kuipenda Nchi yangu na kujihusisha kwenye Mikutano au chochote kinachoihusu Nchi yangu au niseme Watanzania wenzangu'' 

Lakini Tangu Habari zangu kutangazwa wazi na gazeti moja maafuru kule Nyumbani Tanzania kuhusu Mimi kubakwa na Godbless Lema Mbunge wa Arusha '' Wengi wenu mlianza kunitenga ,kunidharau ,kutokunishirikisha kwenye Shughuli zenu za Watanzania na Vile vile kunizuia hata ninapokuja kama Watanzania wengine kuhudhuria mikutano yenu kama huu wa sasa hivi wakukutana na Waziri wetu Mkuu 'Ubalozini '' 
Yani Wanaofanya kazi mle au niseme pia Viongozi hao Wanakuwa na chuki zao juu yangu na maisha yangu 'mbali na kilichotukutanisha pale na vile vile kazi yao waliyo pewa''
MNAMO MWEZI WA NANE MWAKA 2013
Waziri mkuu Mh.Pinda akiambatana na Mkewe walikuwepo hapa jijini London na kulikuwa na mkutano Ubalozini wa Watanzania waishio UK kukutana nae'' Mimi sikuwa na habari hizo '' Ila Dula langu kwa bahati nzuri lipo karibu na Ubalozi wa Tanzania UK House'' 

Na nilipomaliza kazi nikawa najiendea zangu kukutana na Rafiki yangu ambae nae alikuwa in Town '' Nikakuta watu wengi wengi wamesimama Nnje ya Ubalozini ''Ndipo nikapitia kuuliza kuna nini ? Yani huwa siyo kawaida kuona Watu wengi pale ''Mimi hupapita Kila siku'' Nikauliza na nikaambiwa ni Waziri wetu Mkuu yupo hapa leo '' Basi nikampigia Rafiki yangu sim nikamuambia anisubiri nataka na mimi nimuone Waziri wangu Mkuu labda anaweza kunisaidi matatizo yangu '' Basi nikaingia ndani na kukuta ndiyo wapo karibu kumaliza'' Nikakaa pale na kusikiliza vya mwisho mwisho ''Wakamaliza na kuanza kwenda kupiga Picha za Pamoja'' Lakini Kwa sababu nilichelewa basi nikaona isiwe Tabu wacha niongee na Mama Penda'' Nilipotaka kuongea na Mama Pinda nilianza kuburutwa naanza kuambiwa yani hata kupiga Picha ya pamoja sikubaliwi ? kwanini ? Hata sikuelezwa sababu hizo ''Lakini kwli Ninavyojikubali hasa pale Mtu ananinyima haki yangu ''walahii pale nilipawasha moto ''mliokuwepo I think mnakumbuka what happen on last time'' Hizo Picha hapo Chini mtaona Mimi na Waziri Mkuu na Mke wake  kwenye Picha ya Pamoja ''ni baada ya kukataliwa kupiga Picha ya pamoja nikiwa nao kule ndani Ubalozini kama Wenzangu '' Basi nikajua Tatizo lao lilikuwa ni kunikataza nisiseme kwa Waziri kwamba nilibakwa na Godbless Lema'' Wajua nini ? I was this is it'' na mwambia wazi hapa hapa mbele zenu wote'' wakaanza kunivuta na kusema muda umekwisha'' Basi nikamshikilia waziri mkuu'' Kwa Heshima yako Baba yangu ''Mheshimiwa Waziri wangu naomba unisikilize ''Mimi nilibakwa na Godbless Lema 'Na hakuna Mtu anaetaka kunisikiliza na ndiyo sababu unaona wananikataza hata nisipige picha ya pamoja na wewe'' Yani unajua maana ya Kimnya'' Basi watu wote walikaa kimnya na kushangaa''Huku Waziri mkuu akinisikiliza na hakuenda tena Popote 'Yani wale waliokuwa wanamkimbiza kwamba Muda umekwisha''walitamani kujitia vitanzi'' Thats is Maana ya Kiongozi anae faa'' MHESHIMIWA WAZIRI PINDA'' MWINGINE HAKUNA'' YANI ALINISIKILIZA NA AKATOA AMRI KWAMBA'' KESI CHANGU ANAKIKABIDHI AMOS MSANJILA'' WA UBALOZINI ANISIKILIZE NA AMPE MAELEZO YOTE KUHUSU KESI CHANGU ''YEYE ATAKWENDA TANZANIA KUFUATILIA ZAIDI''
 Basi Mheshimiwa akaondoka na Mkewe na wakaniachia Hope wakaniacha na furaha hata hiyo picha unaona tunacheka sana ni baada ya kumaliza kumuelezea kuhusu kwangu Mimi kubakwa na watu wote unaowaona Pichani hapo na wengine wenggi hawapo pichani walisikia kila kitu ''na Mariam Mungula nae ndipo akaja kuniambia Pole pale adharani like hajawahi kusikia na wao ni Watu wa CCM tena Viongozi ambao Godbless Lema anadai ndio walionituma mimi kwenye Mkutano wake wa Chadema in London mnamo mwezi wa nane mwaka 2012'' na ADHABU YAKE NI KUNI BAKA''  Ndiyo maana nasema hivi'' 


WATANZANIA WALIOKO UBALOZINI NA VIONOZI WOTE WA VYAMA VYOTE NI WANAFIKI NA UKIWA NA MATATIZO HAWAKUSAIDII NA HATA WAKIAMBIWA WAKUSAIDIE WATAITIKA NA VIONGOZI WETU WAKISHA RUDI TANZNAIA NI BASI ''UTAZUNGUSHWA MPAKA UTAMANI KUJITIA KITANZI'' ALAFU BILA AIBU VIONGOZI WANAPOKUJA WANA ANZA KUWAITA WATANZANIA WAISHIO UK ''LIKE WANAWAJUA '' YANI HAKUNA ANAE KUJUA KAMA WEWE NI MTANZANIA UNAE ISHI HAPA UK ''
KWA SHIDA AU HATA KWA RAHA''
 UNAFANYA KABIASHARA CHAKO HUWEZI KUSIKIA HATA MTU AKINYANYUA HIYO SIM KAMA KIONGOZI NA MTANZANIA MWENYE KUTAKA MAENDELEO YA WATANZANIA WENZAKE ''KUKUPIGA SIM HATA KUKUPONGEZA'' AU BASI TUSEME WAFANYE MIKUTANO YA WATANZANIA WAISHI UK TUKUTANE KWA KUJUANA NA KAMA MTU ANA SHIDA TUJUE TUMSIKIZE NA TUTAMSAIDIA VIPI 'KWANINI MSIFANYE HIYO MIKUTANO YA KUWAJUA WATANZANIA WAISHIO UK NA SHIDA ZAO MBALI MBALI '' WENGINE TUNATAKA KUWASAIDIA NA WENZETU KULE NYUMBANI LAKINI TUNASHINDWA KWA UTARATIBU ULIOPO TANZANIA KWA BIDHAA ZINAZOTOKA UK '' NASEMA UK KWA SABABU Mimi MWENYEWE NATUMA BIDHAA KUTOKA UK KWENDA TANZANIA NA USHURU UTAKAO TOZWA BANDARINI NI NOMAA'''
 KWANINI ZANZIBAR HAWANA MATATIZO NA BIDHAA ZINAZOTOKA UK ? YANI MIMI SASA NAANZA KUHAMIA ZANZIBAR '' IKIWA TUNA PATA HUDUMA ZISIZO NA RUSHWA  SIONI KWANINI WATU TUSIANZE KUHAMIA ZANZIBAR ''SIYO BURE HATA HAWA VIONGOZI WETU HAWANA HABARI NA HIVI VITU NA NDIYO  MAANA WANAPO KUJA HAPA UK 'KUKUTANA NA WATANZANIA WAKAWAIDA WAISHIO HAPA UK ''WATU TUNANYIMWA KUTOA DUKU DUKU ZETU'' NA NDIYO MAANA MIMI HAWATANIONA TENA KWENYE MIKUTANO YAO '' NA WALA HAWANISAIDII KWA CHOCHOTE NA HATA MIMI SIJAWAONA WAKIWASAIDIA WATANZANIA WENZAO KWA CHOCHOTE'' WE NEED KUJIPANGA UPYA ''KWA MIKUTANO YETU KABLA YA KUWASHIRIKISHA VIONGOZI WETU '' HII MNAFANYA KUJIFUNIKA ILI VIAONGOZI WETU WAJUE MNAFANYA KAZI ZENU VYEMA WAKATI HAMFANYI ''TENA WENGI WENU MMECHEPUKA HATARI NA KWENYE BLOG YA FLORA LYIMO MMEIFANYA OFISI ZENU'' KAMA HUJAIFANYA OFISI ''ULIZIPENDAJE PICHA ZANGU ZA CHUPI NA KUANZA KUNIULIZA NI SHILINGI NGAPI ? NAOMBA UNIJIBU AMOS MSANJILA'' NA PILI NAOMBA UNIJIBU TANGU MHESHIMIWA ALIPOKUPA KAZI YAKUNISIKILIZA KESI CHANGU NA GODBLESS LEMA ''UMEFANYA NINI MPAKA SASA HIVI ? NA NI KWANINI MIMI NIKUULIZE IKIWA UMESHASIKIA CHOCHOTE KUTOKA KWA WAZIRI ''ALAFU UNANIPIGA CHINI NA KUNIAMBIA NIANZA KUMTAFUTA MIMI MWENYEWE? SI WEWE ULIPEWA HIYO KAZI TENA LIVE WATU WAKIWA WANASIKIA ? SASA LEO UNATAKA NIJE TENA HAPO UBALOZINI NIANZE KUBURUTANA NA NYIE? SASA NAKUAMBIA SITAKUJA NA WAZIRI MKUU NITAMSUBIRIA APO MLANGONI ''MBUTA NANGA'' MNANISIKIA TU'' MIMI NAISHI KWA SASA HIVI NIKIWA NA HASIRA SANA ''NI VILE HAMJUI LAKINI SIKU ZIKILIPUKA ZA KICHAGGA 100% NDIO WALE MNAO NIITA CHIZI MTAONA UCHIZI WANGU'' JAMANI NI HAYO TU'' MIMI NA HASIRA ZANGU HAPA NA NA SEMA HIVI''
MSIENDE HUU UKUTANO NI WAKUFUNIKA BOVU''SASA WEWE KAMA NI TEAM FUNUA BOVU aka TEAM FLORA LYIMO MAENDELEO '' USIENDE''  WAACHE WAKAE NA WAZIRI MKUU WENYEWE WAMUELEZEE NI KWANINI WATANZANIA HAWAJAENDA? ?? I THINK HAPO WAZIRI MKUU MH.PINDA ATAPATA PICHA KAMILI '' HAWASIKILIZI WATANZANIA NA MATATIZO YAO '' WAKATI HAMPO MHESHIMIWA WAZIRI NA MHESHIMIWA RAIS WETU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA'' WE NEED YOUR HELP '' BAADHI YA VIONGOZI MNAOWATEUA NI MICHEPUKO ,WASHINDA MITANDAONI (BLOGS SEXY ) KAMA ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG, NA WANAFIKI WAKUBWA''
NIMEMALIZA MWENYESHIDA ANIPIGIE SIM '07787471024 AU WHATSAPP +44 7787471024 EMAIL :flo1974@btinternet.com
PIA NAOMBA KUSEMA HIVII'' SAY NO TO RAPE NA UNYANYASAJI '' KWA WANAWAKE NA HATA WANAUME ''
FLORA LYIMO ''



MWAIKUMBUKA HII ''2012 ? NA GAZETI MAARAUFU TANZANIA''



MWAKUMBUKA HII'' 2013 NA MHESHIMIWA MWIGULU 'ALIPOKUTANA NA WANA CCM UK LONDON '' Nae alichukua kopi ya kesi changu na Godbless Lema na kuniambia atakwenda kufuatilia na kunijibu pia alinipa namba zake za sim..Yani hizo namba utapiga mpaka Uchoke ni haipokelewi kabisaaa'' Uwii Jamani ikiwa hapo Tiyari kufanya mnayo ahidi kufanya basi Msitoe namba za uongo au namba ambazo hamzitumii'' ni hayo Tuu''Mheshimiwa Mwigulu ''Bado nakusubiria jibu sijapata sasa ni miezi imepita'' Kila kitu changu unacho nilikukabidhi mwenyewe mwaka jana' Na hasira na Huyu Godbless Lema na Team yake inayomtetea Mbakaji mkubwa jamani yani nyie ni wacheni ipo siku zitanilipuka za Kichagga ''
Wana CCM '' WANAODAIWA KUNITUMA''WAKO WAPI WHEN I NEED THEM? HAWAJANITUMA NA WAMEKAA KIMNYA NI KAMA KWELI WAMENITUMA ? JE HUO NDIYO MUUNGANO NA UPENDO WAKUTAKA WATU WAJE MIKUTANONI KUKUTANA NA VIONGOZI WETU ALAFU WAKISHAONDOKA KILA KITU KINAWEKWA KABATINI MPAKA ATAKAPO KUJA TENA'' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO THE PROUD TANZANIAN UK EVER '' NA PICHA YA RAIS WETU MH. 'KIKWETE'' I LOVE YOU BABA''AKA RAIS WETU MZURI '' IPO SIKU TUTAKAA PAMOJA NIKUELEZEE YOTE'' THAT IS MY WISH''  JAPO JUZI JUZI KAMA KAWA YAO WALIKUWA WANAKUKIMBIZA MBIO KAMA UTAZANI KULIKUWA NA HATARI YA MOTO MLE NDANI' ''
HAPA NIKIWA NA MY BABA NA MAMA aka MHESHIMIWA PINDA NA MKE WAKE ''NDIYO SIKU NILIYO SIMAMISHA KILA KITU ''NA WENYE KUNIBURUTA NISIPIGE NAE PICHA MMOJA WAO AKIWA HUYO BABU MKONO WAKE KULIA AKIWA TIYARI KUNITOA HAPO...LAKINI KAMERA IKAMUAMBIA MZEE TULIA SASA WEWE UNATAKIWA KUKAA NDANI ULETEWE NA WAJUKUU WAKO MAVUNO YAO WANAYO YAVUNA LONDON '' MBUTA NANGA'' 
MSIMZIBIE MTU RIZIKI ZAKE  RIZIKI HUPANGWA NA MUNGU ''NA HII ILIKUWA NI RIZIKI YANGU KUKUTANA FACE TO FACE NA KUMUAMBIA YOTE WAZIRI WANGU MKUU'' IS SAD HAJANIJIBU LAKINI NAJUA SIYO BURE AMOS HAJATIMIZA ALOAMBIWA ATIMIZE NA MHESHIMIWA PINDA'' NA BAADHI YA USHAIDI NINAO '' TIZAMA EMAIL YAKE NA ALIYO NIJIBU BAADA YAKUTAKA KUJUA WHAT HAPPEN WITH MY CASE' JE KESHA PATA MAJIBU KUTOKA KWA MHESHIMIWA WAZIRI PINDA ? SOMA MAJIBU YAKE HAPO CHINI''


FLORA LYIMO DUKANI KWAKE LONDON OXFORD STREET ''WAKATI MH.PINDA ALIPOKUWA ANAKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UK UBALOZINI LONDON MWAKA JANA''MIMI NILIKUWA SINA HABARI KABISA NIPO JOB NATENGENEZA PAUNDI ZANGU ILI NIWEZE KUWASAIDIA WATANZANIA WENZANGU  KULE NYUMBANI NAO WAWEZE KUJIAJIRI ''FLORA LYIMO OPPORTUNITY 2014 IS NOW ON ''KUJIUNGA NI SHILINGI LAKI MOJA TU'' NA UNAANZA KUTENGENEZA PESA ''WHATSAPP +44 7787471024 KARIBUNI WOTE''
MNATUONA EEE'' MNAMUONA HUYU MZEE KULIA ANAVYONITOLEA JICHO ,YANI YEYE NDIE ALIE KUWA ANAIBURUTA KARIBU ANICHUNE NGOZI KISA HATAKI NIPIGE PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WANGU HAPA'' JILIMDONDOKEAJE SASA'' RUWA MANGI'' 
HAPA MHESHIMIWA AKITOA AMRI HIYO NISIKILIZWE 'HUKU NIKITIRIRIKWA NA MACHOZI '' MUNGU YUPO NA SITOCHOKA KUPIGANIA HAKI YANGU HATA NIKIFA LEO AU HUYO GODBLESS LEMA AFE LEO ''KWA MUNGU PIA LAZIMA NITAPEWA HAKI YANGU'' SAY NO TO RAPE''''

HAPA NI BAADHI YA EMAIL KUTOKA HUKO UBALOZINI aka KWA AMOS MSANJILA''
Amos >
Contacts za ofisi ya Waziri Mkuu unaweza kugoogle tu na kuzitumia, mie sina.
On 15 Feb 2014 20:35, "flo1974" <flo1974@btinternet.com> wrote:

Hi my dear!
Sawa nimekuelewa.naomba contact za hiyo ofisini kwake please. 
Asante na weekend njema pia
Flora Lyimo

Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: Amos Msanjila <-------------------@googlemail.com>
Date: 15/02/2014 11:39 (GMT+00:00)
To: flo1974 <flo1974@btinternet.com>
Cc: "Idrissa;Shaaban Zaharan" <-----------------@hotmail.com>
Subject: Re: WALIOKUWA WAKWANZA KUTOA HABARI HII WITH MY PHOTO..



Samahani sana dada Flora, kwa heshima na taadhima sisi hatuwezi kumtumia mkuu reminder. Huo utakuwa uvunjifu wa adabu. Yeye alitupa kazi ya kukusikiliza na kumpa taarifa. Sisi ni watumishi, tumefanya kazi yetu, yeye ndio wa kufanya maamuzi. Labda nikushauri wewe mwenyewe ndio umtumie hiyo reminder ofisini kwake.
Natumaini utakuwa umenielewa vizuri dada yangu.
Weekend njema.

Sent from my iPad

On 14 Feb 2014, at 23:18, flo1974 <flo1974@btinternet.com> wrote:
Salam ' Happy Valentines day pia my dear, pole kwa usumbufu najua mpo busy na hata Mh atakuwa busy pia..Mimi naomba kwa Heshima yako unisaidie kumtumia reminder tafadhali.yani anaweza kuwa kasahau juu ya ubizi.Natangulisha Asante sana
Flora Lyimo. 


Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: amos msanjila >------------@googlemail.com>
Date: 14/02/2014 12:46 (GMT+00:00)
To: F LYIMO <flo1974@btinternet.com>,Idrissa Shaaban Zaharan <--------------@hotmail.com>
Subject: Re: Fw: WALIOKUWA WAKWANZA KUTOA HABARI HII WITH MY PHOTO..

Dear Dada Flora,
Asante kwa mail yako na samahani kwa kuchelewa kukujibu. Nilikuwa busy kidogo na mikutano.
Ile barua yako na taarifa kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu tuliipeleka loooong time.
Hata hivyo na  s ie pia bado tunasubiri kusikia majibu toka kwa Mheshimiwa, bado hayajaja. Kaama unavyojua sisi ni wadogo, kwa hiyo hatuna la kufanya zaidi ya kusubiri. Tukijibiwa tutakuwasilishia ASAP.
Nakutakia siku njema na  valentino yenye amani. 

 NI HAYO TU WATANZANIA WENZANGU '' MIMI NIMEMALIZA MACHACHE YANGU ''
FLORA LYIMO +44 7787471024 LONDON UK '

Monday, 7 July 2014

WHATS UP? ANGALIA HUYU NA KIGAUNI CHAKE KIFUPI CHUPI NNJE NNJE'TENA MCHANA KWEUPEE''MBUTA NANGA!!


Whoops! Chelsee Healey exposes her pink knickers as she steps out in Manchester on Sunday
Whoops! Chelsee Healey exposes her pink knickers as she steps out in Manchester on Sunday''When Flora Lyimo how to look sexy at home Post her Sexy Knickers LIVE ' she don't say you go out for Lunch wearing them or left them on Show'' she is all about wear them at Home ''
Too short? Joined by Tulisa, the actress's tiny white dress left little to the imagination
Too short? MBUTA NANGA!! Joined by Tulisa, the actress's tiny white dress left little to the imagination''
Undeterred by her fashion fail, the former Waterloo Road star simply pulled down her frock and kept on walking.

Whoops! The 29-year-old quickly pulled down her dress
Whoops! The 29-year-old quickly pulled down her dress'But wenye KUCHUKUA walikuwa washachukua Picha zao ambazo ndizo hizi unazozitizama hapa sasa hivi za kichupi chake cha pink ''kama wimbo mpya wa Shilole 'NAMCHUKUA'' nitawawekeeni hapa soon ''I love it''I think mtakuwa mshausikia ''but 'yah I will post it here soon ''so dont miss 'follow this blog''

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM ILI MJIFUNZE'
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG