MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Saturday, 19 February 2011
SAIDIA GONGO LA MBOTO - UNITED KINGDOM:
SAIDIA GONGO LA MBOTO - UNITED KINGDOM
GONGO LA MBOTO FUNDRAISING UK
Ndugu zetu na marafiki zetu wapenzi kama mnavyo jua wiki hii kuna janga kubwa sana limetokea huko nyumbani Tanzania na maisha ya watu wengi sana yako mashakani. Watu hawana makazi, watoto wamepotea, wengine wako mahospitalini na hali ya kiuchumi pia ni utata. Nimefikiria na wenzangu tukaona tuanzishe kitu kinaitwa "SAIDIA GONGO LA MBOTO". Kwa wale marafiki zetu mliopo UK au popote pale na mtapenda kuchangia tumeona ni bora tukachangia chochote tulicho nacho and then tuwakilishe Ubalozini na majina ya wale wote tuliojitolea chochote ili ubalozi utusaidie kuwakilisha mchango wetu na kutupatia report ni wapi huo msaada umekwenda na kama ni pesa zimefanya kitu gani kwa ajili ya watu hao. Haijalishi ni kiasi gani cha pesa au kitu gani utatoa, utoe tu kutokana na uwezo ulio nao 'it will still make a difference to the people out there'. Msaada unahitajika haraka iwezekanavyo. Ukihitaji receipt pia utapata.
KWA WAKAZI WA LONDON NA MIJI YA KARIBU AU KAMA UTA WEZA KUFIKA TUTAKUWA:
AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT
81 BROAD LANE
SEVEN SISTERS
LONDON
NW15 4DW
SIKU: JUMAPILI TAREHE 27 FEB 2011
MUDA: 3PM - LATE
KWA WAKAZI WA READING NA MIJI YA KARIBU AU KAMA UTA WEZA KUFIKA TUTAKUWA:
VINCENT RESTAURANT
288-290
OXFORD ROAD
READING
SIKU: JUMAMOSI 26 FEBRUARY 2011
MUDA: 3PM - LATE
TAFADHALI LETA CHOCHOTE ULICHO NACHO ILI TUWEZE KUWASAIDIA HAWA NDUGU ZETU WALIO PATWA NA MAAFA HUKO NYUMBANI TANZANIA
KWA WAKAZI WA MIJI MINGINE AMBAO MTASHINDWA KUFIKA LONDON TUNAPANGA UTARATIBU WA JINISI GANI TUNAWEZA KUFIKA KATIKA MIJI YENU KUKUSANYA HIYO MISAADA. TUTAWAJULISHA MARA MIPANGO HII ITAKAPO KAMILIKA.
AU KAMA UNA CHOCHOTE UNAWEZA PIA UKAWEKA KWENYE ACCOUNT IFUATAYO NA TUNAOMBA UANDIKE JINA LAKO AS REFERENCE ILI TUJUE PESA IMETOKA KWA NANI AND CAN BE ACCOUNTED FOR!!
BANK: BARCLAYS
NAME: MISS SHILLA GABRIEL FRISCH
ACCOUNT NUMBER: 40974382
SORT CODE: 202941
FOR MORE INFORMATION YOU CAN REACH US ON: +447527190239,+447404332910, +447876126862, +4407747129987, +447944473389
TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO.
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
"SAIDIA GONGO LA MBOTO"
Posted by TM Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook Share to Google Buzz at
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment