KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 16 February 2011

Sina Makosa


KUDADADEKI TIME FOR MY BED NOW..I WISH TO GO TO BED AT 8PM EVERY NIGHT ..aaa.. THIS SONG IS FOR MY CHAGA STAR MAMA YANGU MPENZI ....SHE LOVE THIS SONG SO MUCH ..NIMEMPIGIA SIM LEO NIKAMUWEKEA AUSIKILIZE YANI HAKUAMINI NIPO ULAYA NA"NAMUWEKEA WIMBO WAKE WA ENZI ZAKE ZA UJANA WAKE ASIKILIZE..BLESS HER.. KWELI HAKUNA KAMA UK -ULAYA.. BASI UKIWA MOSHI UKISIKIA ULAYA KAMA HUJAFIKA UTAFIKIRI MBINGUNI VILE..NAKUMBUKA WAKATI NILIPOKUWA SHULE DARASA LA TANO...KILA SIKU NI KUWAZA ULAYA..NOW HERE IM 16 NDANI YA ULAYA NA HATA NIMESAHAU NDO ILE ULAYA NILIKUWA NA WAZA KILA SIKU NA BILA KUSAHAU WAZUNGU WOTE NI WAINGEREZA ..LOL..... MBUTA NANGA"" SINA MAKOSA ..NI BAHATI YANGU KUWA ULAYA....!!! GOD IS GREAT ,KILA UMUOMBALO ATAKUPA SO BE CAREFULL WHAT YOU ASK HIM ..OR NINI UMEMUOMBA... LOVE YOU AND ASNTE KWA KUNISOMA NA KUUSIKIZA WIMBO ULIOPENDWA NA MAMA YANGU .MRS BASILEI LYIMO"XOX

No comments:

Post a Comment